Salaam, shalom!!
MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni.
Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama?
Jibu ni Rahisi tu,
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI.
Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
Hellow Tanganyika!!
Uliyoyasikia kuhusu wewe kuchoka Si mwili pekee, Bali Fikra za kuleta uono Mwema wa chama na Nchi chini ya uongozi wako.
1. Kupoteza kumbukumbu ni kiashiria kikuu Cha Mkt Mbowe kuchoka, Ndugu Mbowe umeshasahau kuwa Mwaka 2014 chama chako kimekuwa mstari wa mbele kudai...
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
Kitabu kitakatifu cha Quran Kinatanabaisha kuwa binadamu na viumbe vyengine ni nafsi na lazima vionje(kupitia/mchakato wa kifo).
Swali langu linakuja vipi kuhusu mwili je,haufi?au ndiyo unazaliwa upya baada ya miaka kadhaa(aacording to indian Holly books).
Unapokufa sawa mwili unaachana na...
Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
Nguvu za kiume ni pesa na nguvu za kike kiuno na joto la samosa, nyakati hizi za mapenzi na maokoto tambua hilo, mwaga mpe chake mwambie tembea, funga mlango.
Mimi sio mwenyeji wako umekuja kibiashara ondoka kibiashara, Binadamu ni mwili sio nafsi.
Ondoka kama ulivyokuja sina muda.
Ubwela...
Wakuu si kwema kabisa
Kazi za site za ujenzi wa wachina zinafanana na mauaji. Kupandisha na kiroba cha saruji floor ya 4 huku subuhi umekula maandazi mawili na chai ya mia sio poa
Nimeingia site nikajiona shujaa wa maisha hali niliyokutana nayo ndugu zangu sio poa kabisa. Wiki hii yote mpaka...
Haijalishi ni muda gani Ila Unapokuwa free na mpenzi/mwandani wako asikae kinyonge wakati wa baridi
mtie mguu wa mtoto mpe mkwasa🤣wa mashavu ya chini.
Faida za tendo wakati wa mvua
1.kuimarisha upendo baina ya wenza
2.kuondoa stress za Kazi na biashara
3.njia ya kutatua Ugomvi
4.inachochea...
Mwili wa mtu ambaye hajatambulika umekutwa pembezoni mwa barabara chini ya mti wa muembe katika Mtaa wa Mtakuja, Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora mkoani Tabora. Tukio hilo limeripotiwa baada ya wakazi wa eneo hilo kuona nzi wakiruka katika eneo husika.
Mkazi wa eneo hilo, Dorothy Fungamizi...
Hakuna mechi kali Kama Ile inayoanza saa tano na kuendelea watoto wameshalala,
Aidha kama hamna watoto, basi mshamaliza task zote
👉Missionary style ndo iwe style ya mwisho, kutoa wazungu wenye asili ya wayahudi🤣
Kuna ile mechi fulani huwa inaanza Satisa usiku umeshtuka tu usingizini unavuta...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 26 Novemba, 2024 ameshiriki ibada ya mazishi ya Brigette Mbembela (Pude), iliyofanyika katika Kanisa la KKKT dayosisi ya Konde, Usharika wa Tunduma Mkoani Songwe.
Soma Pia...
Ratiba ya kesho Jumatatu 🌄
Asubuhi watu watakuwa nyumbani kwao tabata changombe.
Mwili utatoka mochwali utapitiliza kanisani Hautafika nyumbani Utaenda kanisani kwa ajiri ya ibada.
Walio Nyumbani na watakao toka mochwali tutakutana kanisani, Baada ya ibada Ni safari ya kuelekea Tunduma kwa...
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika amekutwa amefariki dunia katika Daraja la Mto Msimbazi mpakani mwa Msimbazi Centre na Kigogo.
Sababu zilizosababisha kifo chake bado hazijafahamika na tayari Polisi wameuchukua mwili huo ambao ulikuwa umeanza kuharibika kwa ajili ya uchunguzi.
Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞
Hakikisha unahusiana na mtu ambaye hata ukisikia sauti yake tu unapangawa, ukimuwaza unakosa utulivu bila kusikia sauti...
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko
Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Wanabodi,
Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na kwa maslahi ya taifa.
Mimi kama mwandishi wa habari, ni muelimishaji umma, ukiona jambo zuri la jamii fulani, waelimishe na wengine wafuate.
Hii ni mada ya swali jee wajua kuwa kwenye usafi binafsi wa mwili, kuna uwezekano Waislamu ni wasafi...
Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.