Habari wakuu,
Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo.
Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama...
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species).
Unapoamka asubuhi andaa hii recipe ambayo nakuwekea hapa;
CHEMSHA VIFUATAVYO,
Mdalasini, tangawizi , karafuu (...
Eheeee.
Habari nmeamua tu kukudokeza Uumbaji wa Mungu ni waajabu sana Mungu ametupa joto ambalo huwa linapungua na kuongezeka kulingana na mahali na vitu tunavyofanya. Shetani katika kutimiza malengo yake ameleta vitendea kazi ikiwepo Vipodozi vikali vya kujichubua n.k
Hivi Vipodozi vinapunguza...
Shalom,
Napitia wakati ngumu sana nyakati hizi, wanawake, wadada, mabinti wengi ninaokutana nao zama hizi kwa ajili ya kulijenga jumba la maraha jumba la zeze, kwa bahati mbaya wengi wao tayari wanafunguo za milango yote ya nyumba kubwa na ndogo.
Nasikitika sana nawaza uelekeo wa maisha haya...
Mpendwa Bachelor, Ikiwa sababu kuu ya kuwa mwanamke ni kwa sababu ana kifurushi kikubwa cha mbele aka Manchester united na kifurushi cha nyuma aka Arsenal, basi hauko kwenye MAPENZI. Haijalishi unafikiria nini, ikiwa unaona tu mali yake ya mwili basi UMEPOTEA katika TAMAA...
Wanabodi imekuwa ni jambo la kawaida kupotezana na mtu
kwa kipindi cha miaka 5 hadi 10, lakini mnapo kutana baadhi wanakuwa wamebadikia sana muonekano
wa sura na mwili kwa ujumla.
Wengine wanakuwa na mvi nyingi, kipara, sura imeanza kuchoka mwili mkubwa ila mwingine anakuwa hana hivyo au vipo...
KULA KWA JASHO NI KUHANGAIKA KUTAFUTA RIZIKI SIO LAZIMA UTOE JASHO LA MWILI AU UFANYE KAZI ZA NGUVU YA MWILI
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Kuna kasumba ambayo inatesa baadhi ya vijana wa kiume ndani ya jamii huku wakinukuu maandiko ya kwenye Biblia Kuwa "Mwanaume atakula kwa jasho"...
Dkt. Omary Ubuguyu (Mkurugenzi Msaidizi Magonjwa Yasiyoambukiza, Afya ya Akili na Ajali - Wizara ya Afya): Mazoezi husaidia kupunguza Kemikali ambazo zinachoma sehemu za Mwili
Mazoezi pia huupa Mwili uwezo wa kutumia Sukari iliyo ndani ya Mwili na kujenga Misuli
Ukitawala katika roho basi utatawala katika mwili.
Ikiwa hauna Energy spirituality hizo hard work
Saving,
Bado hazitoibadilisha history yako completely .
Without spiritual power you will end up die broke because you used to hustle in vain (naked)
Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi tumevichambua kwa faida na hasara kutokana na mahitaji yetu tunavyo hisi tunahitaji kuwa bora. Kila siku...
1.sekta ya Madini - ukikutana na mwekezaji wa Madini huko machimboni wanakuwaga na wasiwas muda wote sijui wa kuibiwa yaani rahisi sana kuchanganyikiwa ukiwa sekta hio
2.sekta ya ufugaji - hawa wachunga ng'ombe wanakuwa na akili zinazowaza ng'ombe tu muda wote.
Familia ya Mpanda Mlima kutoka Kenya, Joshua Cheruiyot Kirui, ambaye alifariki dunia akipanda Mlima Everest Mei 22, imesema Mwili huo utaachwa alikofia kutokana na gharama na hatari zinazohusishwa na mchakato wa kuurejesha mwili
Cheruiyot alianguka kwenye ufa umbali wa mita 48 kutoka kileleni...
Wataalamu hivi Kuna faida gani katika mwili kuingia kwenye barafu mengi
Mara nyingi tumekuwa tukiwaona hata wachezaji wakia kwenye pipa lililojaa mabarafu mengi sana
In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten.
The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
MBINU ZA KUKUSAIDIA KUUSHINDA MWILI USIWAKE TAMAA.
Nukuu; kwanza zinaa huwezi kushindana nayo ,bali nikuikimbia.
"KILA MMOJA Wenu Ajue KUUWEZA MWILI WAKE katika UTAKATIFU na HESHIMA; Si katika HALI ya TAMAA MBAYA, KAMA MATAIFA Wasiomjua MUNGU." (1 Thes 4:4-5)
✍🏽MOJA, Dhamiria Kutoka Moyoni...
Utafanya nini kama umefiwa, umeupeleka mwili wa mpendwa wako kuhifadhiwa alafu unapigiwa simu kwamba mwili hauonekani? Umepotea? Haujulikani ulipo?
Tafuta popcorn, ambaa na kisa hiki..
Baada ya kutokea ajali, mlinzi wa hospitali akigongwa na gari mita kadhaa kutoka eneo lake la kazi, inspekta...
Kuna kampeni kubwa inaendelea sehemu mbalimbali ambapo kuna wataalamu wanapita na kipimo cha kupima mwili mzima kwa 20,000.
Nina shauku ya kujua kutoka wizara ya Afya kuhusu msimamo wa serikali juu ya jambo hili.
Waziri Ummy, ikikupendeza tueleze.
Maziko ya Mwanafunzi Jonathan Makanyaga (6) wa darasa la kwanza Shule ya msingi Mrupanga, Rau Kusini mkoani Kilimanjaro yameshindikana kufanyika leo baada ya Polisi kuiambia Familia kuwa uchunguzi wa mwili bado haujakamilika.
Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro amesema baada ya Familia kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.