mwili kukosa nguvu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

    Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila...
  2. Symon Samba

    JamiiForums Tanzania Hali ya mwili kukosa nguvu inaweza kulinganishwa na namna akili na kompyuta zetu zinavyofanya kazi?

    Je, hali ya mwili kukosa nguvu inaweza kulinganishwa na namna akili na kompyuta zetu zinavyofanya kazi? Ubongo na kompyuta vyote vimeundwa na mizunguko isiyoelezeka kiurahisi. Vyote viwili huchukua taarifa ngumu kutoka duniani na kuzifanya zieleweke. Na vyote viwili hufanya kazi kwa ubora...
Back
Top Bottom