Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje.