Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
- Thread starter
- #41
27Unaumri gani?
Xidhani?? au Sidhani?
27Unaumri gani?
Xidhani?? au Sidhani?
Ndio sina jinsi itabidi niwaamini tu ntaenda kuangalia tenaYaan madaktar wetu ni wa mchongo sana ndio maana me nikumwa siendi hospt sina imani nao ata kdg
Achana Na Zoezi La Kushinda Njaa Kwa Afya Mgogoro Yenye Misongo Ya Mijimawazo Utang'ata Mbao Na Mbingu Huioni,,###ShauriYako###Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumu
Pole sana.Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje.
Hali kama hiyo iliwahinitokea July hadi August 2024.
Sawa shukranHali kama hiyo iliwahinitokea July hadi August 2024.
Baada ya vipimo vyote, nilionekana nina presha ambayo nayo haikuwa ya kutisha.
Nilishauriwa yafuatayo.
1. Kunywamaji mengi
2. Nipunguze chumvi
3. Mazoezi, kutembea au kukimbia taratibu
4. Matunda kwa wingi sana
5. Kula kwa wakati,balanced diet.
MATOKEO BAADA YA KUFUATA HUO USHAURI.
Baada ya kuanza zoezi la kutembea na kunywa maji kwa kiasi kinachotakiwa kulingana na uzito, hali yangu ilirudi kuwabora mpaka nimeanza tena kupiga beer.
Usiwe mvivu wa mazoezi.
Mkuu acha mawazo ya kufikiri kwamba suala la fasting ni la waarabu, wazungu huko wanafunga tena masaa zaidi ya 12 labda uwe hujui fasting ina faida gani kiafya.Watakuelewa sasa?! Washalogwa na waarabu
Wazee wa fursa!!kwenye kioo!!Huko koote umeshapima tayari.
Sasa karibu kilingeni na sisi tukupime.
Mkuu kwenye simu yako hakuna Herufi "S"...?Xidhani km kuna kitu alinixhauri zaid ya kunipa panadol
Ujauzito je? Kama hakuna utakua tu dehydrated kunywa maji mengi utakaa dawaKaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila nikimaliza kupata ftari nikipumzika kdg nikiinuka sasa ndo najiskia vibaya kiukweli hili hali inanikosesha raha leo nipeni ushauri mwengine nifanyeje.
Kwahiyo unaona ni kheri ufe kuliko kulipa funga?Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumu
🤣🤣🤣🤣Ngoma hyo,kapime tena
Hapana ila umeelewa nilichokiongea?ww umekaa apo kwenye funga angalia ilo tatizo halihusiani na kufungaKwahiyo unaona ni kheri ufe kuliko kulipa funga?
Jaribu kurelax unaweza ukawa una stress au hupati muda wa kupumzika vizuri. Ila pia nenda karudie tena sehemu nyengine hivyo vipimo ili upate uhakika.Kwamba unataka kuxemaje kaka?
Ok shukran ntafanya ivoJaribu kurelax unaweza ukawa una stress au hupati muda wa kupumzika vizuri. Ila pia nenda karudie tena sehemu nyengine hivyo vipimo ili upate uhakika.
Ila pia pumzika kwanza kufunga japo hata siku 5 na jaribu kunywa sana.
Haya mavyakula mnayokula hovyo hovyo ndio yanawaletea matatizo, wazee zamani walikuwa wanakula milo miwili basi na wanafanya kazi nzito. Nyie sku hizi mnakula mitatu halafu muda wote mnachat tu.HAPO TUU NDIO NAWASHANGAA NA HIZI IMANI ZENU, YANI MTU UNAUMWA HALAFU BADO UNASHINDA NJAA
Uzito 76Una kilo ngapi ya uzito?! Nataka kukuambia kitu