Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

Hio Glucose level unayosema Normal ni ipi, na ulipima under which surcumstance.
 
Hpo ni ishu ya brain imestaki inatakiwa iboostiliwe maana adui mkubwa wa mtu ni mawazo yake, ukipata mawazo mapya yanafuta Yale ya zamani unapata ufumbuzi.
 
HAPO TUU NDIO NAWASHANGAA NA HIZI IMANI ZENU, YANI MTU UNAUMWA HALAFU BADO UNASHINDA NJAA

Tulia wewe. Wafunge wengine mineno ikutoke wewe. Mtu mgonjwa katika Uislam unajua hukmu yake katika kufunga? Au unafikiri Waislam tunajifungia tu bila utaratibu. Dini yetu ni muongozo bora kabisa wa maisha kuanzia kuamka mpaka kulala, kuzaliwa mpaka kufa na kuzikwa.
 
Watu sijui wakoje, mtu anaomba ushauri wa kiafya wao wanakimbilia kukashifu Funga yetu Waislam. Wanabeba chuki na hasad vifuani wakipata fursa ya kuzimwaga wanazimwaga japo wanayoyaficha moyoni hubaki makubwa zaidi.
 
Hapo mchawi maji tu. Jitahidi kunywa maji ya kutosha. Kupumzika na mazoezi japo walking kdg. Inawezekana unafanya kazi za tension sana.
Nimeona hapo umetaja age yako na uzito wako, mbona kwa age hio kama huo uzito ni mkubwa au wewe ni kichabi??
Pia tumia turmeric safi tengeneza paste yake uwe unachanganya kdg kwenye maziwa fresh ya uvuguvugu
 
Hapo mchawi maji tu. Jitahidi kunywa maji ya kutosha. Kupumzika na mazoezi japo walking kdg. Inawezekana unafanya kazi za tension sana.
Nimeona hapo umetaja age yako na uzito wako, mbona kwa age hio kama huo uzito ni mkubwa au wewe ni kichabi??
Kabisa, na ukiona haija work, kapime ulcers , na Fanya kipimo Cha echo Cha moyo. Lakini zaidi hali kama inazidi kuwa mbaya acha kufunga, funga ni ibada , na sio mateso, utalipa Allah ni mwingi wa huruma .
 
Tulia wewe. Wafunge wengine mineno ikutoke wewe. Mtu mgonjwa katika Uislam unajua hukmu yake katika kufunga? Au unafikiri Waislam tunajifungia tu bila utaratibu. Dini yetu ni muongozo bora kabisa wa maisha kuanzia kuamka mpaka kulala, kuzaliwa mpaka kufa na kuzikwa.
ENDELEENI na ujinga WENU WA kufuata utaratibu WA Maisha WA waarabu
 
Tulia wewe. Wafunge wengine mineno ikutoke wewe. Mtu mgonjwa katika Uislam unajua hukmu yake katika kufunga? Au unafikiri Waislam tunajifungia tu bila utaratibu. Dini yetu ni muongozo bora kabisa wa maisha kuanzia kuamka mpaka kulala, kuzaliwa mpaka kufa na kuzikwa.
Ndio ufunge uku unaumwa!?

Emb tuache hii dhana potofu! then hali ikizidi kuwa mbaya aje kuomba msaada mwingine??
 
Back
Top Bottom