Naxria abdalla
JF-Expert Member
- Feb 28, 2025
- 204
- 379
- Thread starter
- #21
Hapana hutakua Sawa, endelea kushinda na njaa
Ok sawa hili nitaenda kupima ahsante kwa ushauriKapime TYPHOID kaka
Hapana hutakua Sawa, endelea kushinda na njaa
Ok sawa hili nitaenda kupima ahsante kwa ushauriKapime TYPHOID kaka
Kwann ulipe na ni mgonjwa?Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumu
Pia punguza mawazoOk nafanyaje sasa nigee uwo ushauri nianzie wapi
Nitatekeleza hili ahxante pia kwa uxhauri mzuriKuna kiungo ndani ya mwili wako hakifanyi kazi kiufasaha, siku mbili tatu hizi jitahidi kula vizuri; pata supu ya samaki sato mara moja kwa siku, kula matunda mchanganyiko, kunywa chai ya rangi iliyochanganywa kidogo na ndimu/limao, jifukize mwili utoe jasho, pata juisi ya ukwaju, pata glassi ya maziwa mtindi; na mwisho jipe mazoezi ya kukimbia, pamoja na ya kulegeza viungo; baada ya siku 5 uje hapa utupe mrejesho.
NB: Kutumia madawa mara kwa mara, si vizuri kwa mwili wa binadamu.
OkPia punguza mawazo
Hapana xijapimaUmepima typhoid mkuu?
Jaribu kupima pia maana nayo uwa ni tatzoHapana xijapima
Xawa j5 ntarudi hoxptal ntawaomba nipimeJaribu kupima pia maana nayo uwa ni tatzo
NAkunywa mara ngapi kwa siku na kwa kipimo ganiAcha kufunga ,chemsha majani ya mpapai kunywa
Ni kweli j5 nitabadili hosptal hlf nijaribu kupima tena nione nitajibiwa niniPia ni muhimu kuchukua vipimo sehemu tatu tofauti tofauti, wengine kwenye hizi hospitali huwa kuna usanii, inawezekana ata 'sample' zako zikatupiliwa huko pembeni, na ukapewa majibu yasiyo halisia.
Mkuu una akili timamu kweli?, yaani una jijua mgonjwa ila una lazimisha uendelee kufunga?.Jamani kuja kulipa funga ni jambo gumu
Nenda kesho wewe j5 ni mbaliXawa j5 ntarudi hoxptal ntawaomba nipime
Mi nashangaa ana sema Eti kuja kurudia kufunga ni kazi, hajui afya hainaga bargaining.Nilitaka kuuliza umri wako nikidhani labda ni uzee ila kwa huu mwandiko wewe ni kijana mdogo
Ushauri
Acha kufunga jenga afya yako kwanza
Una kilo ngapi?Ni kweli j5 nitabadili hosptal hlf nijaribu kupima tena nione nitajibiwa nini
Unaumri gani?Xidhani km kuna kitu alinixhauri zaid ya kunipa panadol
Yaan madaktar wetu ni wa mchongo sana ndio maana me nikumwa siendi hospt sina imani nao ata kdgXidhani km kuna kitu alinixhauri zaid ya kunipa panadol