Jamani habari,
Nina tatizo la kuwashwa huu mwezi wa 7 nililala na demu akaniambukiza gonorrhea nikatibiwa na dawa likapona, tatizo la kuwashwa linaendelea.
Nimetumia dawa za allergy cream lakini siponi nmepima HIV mara 4 lakini sina kaswende sina.
Naombeni msaada anayefahamu dawa au aliye...
Nina declare interests. Hata mimi nina thread 2 zinazokosoa makubaliano ya DP WORLD na Tanzania kama:-
(1) Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD na thread nyingine ni kama ifuatavyo:
(2) Jebra, Mtobesya na Wanasheria wengine...
Hiyo process inasemekana husababisha damu kuganda na moyo kusimama hapo hapo.
Kwani homa hii inaambukizwajwe?
Hayo maambukizi ya mfumo hewa yani mtu anaambukizwa vipi?
Nawezaje kutambua ninazo dalili za gonjwa hilo? Nauliza pia ili nijue nawezaje kumpatia huduma yakwanza mtu mwenye gonjwa...
ZIJUE FAIDA ZA MAFUTA YA SAMAKI MWILINI 🦈OMEGA 3 FAT ACIDS
Mafuta haya ya samaki, yana vitu vikuu viwili ikiwemo EPA & DHA ambayo husaidia ku-regulate pressure ikae kwenye level yake.
Faida za kutumia mafuta ya samaki(omega 3)
1) AFYA YA MFUMO WA MZUNGUKO WA DAMU.
👉Mafuta ya samaki yenye...
Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe.
Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu?
Au zinapobaki haziwezi leta...
Mambo vipi,
Naomba kujua kama kuna dawa ya kuondoa kovu, nilipata ajali ya boda nikapiga uso baada ya kupona nikabaki na kovu
Je, kuna dawa ya kuondoa hilo kovu na kama ipo inaitwaje ili niitafute?
Natanguliza shukrani.
Hii kero imezidi sijui ni mimi nakutana nao wa aina hii au ni mnyumbuliko kwa ujumla wake, ni aibu sana unakuta mdada au binti kasura kazuri kana kishepu, salale ikija kwenye kiota cha mnyanduo vipele na makovu kama yote, kwenye makalio ndio usiseme ni hatari.
Mimi na kinyaa changu naahirisha...
Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni.
Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu.
Ni kweli kuwa...
Julai 6 mwaka 2011 ni siku ambayo hatoisahaulika kwa Kulwa Makasi (32) baada ya kupigwa risasi tatu, moja kichwani, mgongoni na kwenye paja la kulia anazoishi nazo kwa miaka 11 sasa.
Mkazi huyo wa Shibula jijini Mwanza kwa sasa anatembea kwa kiti maalum kutokana na ulemavu alioupata baada ya...
Baadhi ya jamii huamini kuwa ulaji wa limao na ndimu husababisha upungufu wa damu mwilini.
Uvumi huu uliosambaa kwenye maeneo mengi hutoa maonyo makali hasa kwa watoto na wanawake wenye ujauzito wanaojaribu kutumia matunda haya.
Je, ni kweli kuwa matunda haya hukausha damu mwilini?
Naomba kufahamu aina ya lotion, cream au mafuta yanayofaa kwa ajili ya kuondoa madoa mwilini na yasiyochubua yaani kuondoa rangi ya asili.
Pia naomba kufahamu kwa matumizi ya cream kama goldie pearlybeauty cream ni nzuri kwa matumizi ya rangi nyeusi.
Madini ya zinc huhitajika kwa kiasi kidogo mwilini lakini huwa na faida kubwa sana kwa afya.
Kwa mujibu wa National Institutes of Health, wanawake wenye umri wa miaka 19 na kuendelea huhitaji kiasi cha 8 mg kila siku huku wanaume wakihitaji kiasi cha 11 mg.
Wakati wa ujauzito na unyonyeshaji...
Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
Ukuaji wa tishu mpya mwilini (Neoplasia) ni uvimbe usio wa kawaida ambao ukuaji wake haujaratibiwa na tishu za kawaida na huendelea kuleta mabadiliko.
Mara nyingi vimbe hizi hujulikana kama ''tumour''. Utafiti na uchunguzi wa vimbe mpya mwilini (oncology) ndio hubainisha kama vimbe hiyo ni...
Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa.
Nilishawahi kuleta Uzi humu jukwaani kuhusu maswaiba ya kazini na mauzauza kisa cheo, Sasa nahisi nimelishwa kitu...
Habari ya leo wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema.
Ningependa nipate msaada wenu kwa kunifahamisha dawa au tiba ya Uric acid nyingi mwilini.
Natanguliza shukrani
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI
---
---
UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI
Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni:
Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS.
Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
Baada ya jana kurudi nimechoka sana nyumbani, nikaanza kuwaza kwanini nafika nmechoka nyumbani ilihali sikuwa na kitu cha maana nilichokifanya wala kubeba mzigo wowote. Nikasema nuvue kila kitu ili mwili upate hewa vizuri, ndipo nikagundua kuna mizigo binadamu tunaibeba kila siku na inatuchosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.