Jambo watanzania wenzangu!!
Katika kubadilishana maarifa ninaomba kuulizwa chochote juu ya dawa asili za mimea na mitishamba katika kutibu magonjwa mbalimbali.
NB: Maswali hayo yasihusishe ramli na mambo ya kishirikina, ama mambo dhahania, maswali yajielekeze katika magonjwa ya kila siku...
Wataalam
Nimekuwa nikijiuliza hivi imeshindikana kweli kufanya surgery ya kuondoa mafuta toka kwenye tumbo? Mi naona jinsi yalivyojirundika sehemu moja tumboni kama mnavyotuaminisha kupitia michoro yenu nk ni kazi rahisi zaidi kama imewezekana kuzalisha mwanamke kwa kisu? Badala ya sijui...
Copy & Paste kutoka kwenye hii link ya Group la WhatsApp.
Safisha tumbo lako mara kwa mara ili uboreshe afya yako. Afya yako ni mali zaidi ya mali yako!
Chanzo kikuu cha magonjwa mengi ni matokeo ya chakula tunachokula kugeuka kuwa sumu mwilini. Ndio maana Watalaam wa afya wanahimiza sana...
CHANJO YA COVID19 HAISABABISHI USUMAKU MWILINI
Kituo cha CDC kinasema chanjo ya COVID19 haisababishi mwili au sehemu ya mwili iliyochomwa sindano kutengeneza nguvu ya usumaku
Chanjo hizo hazina viambata vyovyote vyenye asili ya chuma
======
Can receiving a COVID-19 vaccine cause you to be...
Katika siku za hivi karibuni nimekuwa na tatizo la kupigwa shoti ya umeme naposhika milango ya aluminium au mageti.
Hii hutokea ninapokua nimekaa kisha kuinuka either nifungue mlango wa ofisi wa aluminium basi huwa napigwa shot au ninaposhuka kwenye gari nifungue geti nyumbani basi pia...
Mwana jamvi, pengine unahisi nimekosea. Hapana sijakosea iko hivi, wengi tunatambua maziwa kama agent wa kuua sumu mwilini, hasa pale mtu anapozamilia kujitoa uhai akanywa sumu tunamuwahi kwa maziwa. Hiyo ni faida ndogo sana ukilinganisha madhara u anayoyapata kwa kutumia maziwa mara kwa mara...
Niliwahi kuwa nawashwa sana masikio kwa ndani, nilijaribu sana kwenda hospitali nikatumia dawa zikawa zinatuliza ila sikujua kuwa kuna kitu ninachokula karibia kila siku ndio kinacho tengeneza sumu kwenye damu kiasi kwamba nikila Karanga, Tangawizi, Parachichi… nasikia masikio yana washa sana...
KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA?
.
Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k.
Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
Salamu Waungwana na Wataalamu wa Baraza letu hili la Afya. ninaomba kujuzwa suala hili ambalo limekuwa likinitatiza sana.
Baada ya kupata matatizo ya Kisukari, miongoni mwa Ushauri niliopewa in ule wa kutumia Asali kwenye Chai na Maziwa ninayokunywa badala ya kutumia Sukari.
Ninaomba utaalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.