Habari zenu wanajamvi, naandika haya nikiwa nahofu kutokana na hali ninayohisi; nahisi mwili kupungua mwilini, nahisi baridi tofauti na awali bila mabadiliko ya hali ya hewa.
Nilishawahi kuleta Uzi humu jukwaani kuhusu maswaiba ya kazini na mauzauza kisa cheo, Sasa nahisi nimelishwa kitu...