Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.
Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha.
Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi amemtembelea kumjulia hali Rais Mstaaf wa Zanzibar awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, nyumbani kwake Kibele Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.
Salaam JF,
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye tija kwa Wazanzibar na taifa lao kwa ujumla ndani ya kipindi hiki kifupi.
Rais Mwinyi ameweza...
Zanzibar imetiliana saini na serikali ya Oman katika ujenzi wa bandari kubwa na ya kisasa zaidi Afrika ya mashariki.
Bandari hiyo mpya itakuwa na gati nyingi zikiwemo za container, mafuta, gesi, uvuvi, utalii wa bahari nk.
Utiaji sainu mkataba wa ujenzi bandari hiyo ya kipekee Afrika ya...
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.
Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar...
Salaam JF,
Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------
Bismillahi rahmani Rahim.
Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua
Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli za maziko zitaanzia Mwananyamala B Mtaa wa Berege karibu kabisa na shule ya msingi ya Mwananyamala B...
Akiwa mkoani Geita Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Wazanzibar sasa ni wamoja na wanajenga nchi yao kwa pamoja na amemshukuru Rais Magufuli kwa kuwezesha Zanzibar kuwa wamoja na watu wanaopendana.
Nakumbuka Tundu Lissu aliahidiwa kutafutiwa teuzi inayolingana na uwezo wake lakini...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ameshauri kuundwa kamati maalumu itakayowashirikisha wadau mbalimbali ili kulitafutia ufumbuzi tatizo la udhalilishaji wa kijinsia lililokithiri katika jamii.
Dk Mwinyi ametoa ushauri huo jana katika mkutano uliojadili masuala ya udhalilishaji wa kijinsia na...
Binafsi nashauri timu apewe Mwinyi Zahera aisaidie kuifikisha mwisho wa msimu wakati Simba wakitafuta mbadala wa Sven ambaye atakua ni wa muda mrefu.
Mwinyi si kocha mbaya japo anaongea mno kitu ambacho akipewa anagalizo anaweza kujirekebisha au wadau mnasemaje?
Wewe kama mdau wa mpira...
Kuna Mtu wako Mmoja wa karibu mno hasa kutoka Wizara uliyokuwa ukiiongoza huku Tanzania Bara kwa muda mrefu kanidokeza ya kwamba Role Models wako wakubwa Kiuongozi na ambao unawakubali sana ni aliyekuwa Rais wa Marekani Barrack Hussein Obama na Rais Mstaafu wa Tanzania kwa Awamu ya Nne Mzee Dk...
Mfumo wa chama kimoja unaendekeza tabia ya kuoneana aibu na huruma.
Yanayoendelea pale Unguja utadhani awamu iliyopita iliongozwa na upinzani kumbe walikuwepo CCM peke yao barazani na Serikalini.
Nyie vijana wadogo akina Tindo, Mrangi na wadogo zenu kajifunzeni Zanzibar.
Maendeleo hayana vyama!
Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
Qubhir
Eraisa
Baqoli
Hiolia
Isliac
Raiaca
Andika haya katika blocks kwa wino mweusi kwenye karatasi nyeupe weka pafyume kwa mbali weka mfukoni ingia kazini mwombe bosi nyongeza ya chochote put it in wallet and let it be there GIFT
Salaam Wana JF.
Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
Salaam Wana JF.
Kama mzalendo wa taifa hili kuna jambo nimeliona la kipekee kutokana na utawala mpya wa rais wa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi, Utashi, sera na falsafa zake zinazofanyika kwa sasa bila shaka zinaweza kuivusha Zanzibar katika daraja la uchumi imara na bora...
Rais wa Tanzania, John Magufuli leo Jumatano ataongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mawaziri jijini Dodoma. Matangazo ya moja kwa moja ya kikao hicho yatarushwa kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Historia itawekwa leo ikiwa ni mara ya kwanza kikao cha Baraza la Mawaziri kurushwa mbashara kwenye TV na...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amvunja bodi ya wakurugenzi wa shirika la meli na uwakala.
Taarifa iliyotolewa leo Jumanne Novemba 15, 2020 na katibu kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee inaeleza kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na Serikali kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa shirika...
Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi leo Jumatatu, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh na kusema atapangiwa kazi nyingine. Rais Mwinyi ametengua uteuzi huo zikiwa zimepita siku 37 baada kumteua na kumwapisha 7 Novemba 2020.
Pia soma > Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amteua...
Askofu mkuu wa Kanisa la kilokole la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali amempongeza Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Mwinyi kwa kumteua muumini wa Kanisa hilo kuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Dkt. Mtokambali alifika Ikulu ya Zanzibar kumfikishia Rais Mwinyi salamu hizo za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.