mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Zanzibar 2020 Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi kuapishwa Novemba 2

    Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi Novemba 2, 2020 ataapishwa kuwa Rais wa awamu ya nane wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Sherehe hiyo itafanyika katika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Dkt. Mwinyi alishinda baada ya kupata 76.27% ya kura zote halali.
  2. Pascal Mayalla

    Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Wanabodi, Kwa vile uchaguzi wa Zanzibar pia umesababisha vidonda na bado ni vibichi, damu bado haijakauka, hivyo naomba kuanza bandiko hili kwa a healing massage ya kuponya vidonda kwa kuungana na Watanzania wengine wote wapenda haki, amani na utulivu, kutoa pole kwa wahanga wa kilichotokea...
  3. Observer

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi ashinda kiti cha Urais Zanzibar kwa asilimia 76.27

    Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27% Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais kwa kupitia chama Cha ACT Wazalendo, Maalim Seif amepata kura 99103 sawa na 19.87% Mwinyi...
  4. Kabende Msakila

    Uchaguzi 2020 Dkt. John Pombe Magufuli, Adv. Tundu Antipas Lissu, Maalim Seif Sharif Hamadi, Dkt Hessein Ally Mwinyi na wagombea wengine - hongereni kwa kampeni

    Waheshimiwa:- Dkt. John Pombe Magufuli Adv Tundu Antipas Lissu Maalim Seif Sharif Hamadi Dkt. Hessein Ally Mwinyi, na Wengine - Salaam za 28/10/2020!!! Kwa niaba ya wapenda amani, haki, usawa, maendeleo na maridhiano nimeandika uzi huu kwa ajili ya kuwapongeza sana sana kwa kushiriki kampeni za...
  5. Analogia Malenga

    Zanzibar 2020 MATUKIO KATIKA PICHA NA VIDEO: Yaliyojiri visiwani Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Video ikionyesha wananchi wakiwarushia mawe askari visiwani Zanzibar Video ikiwaonyesha askari wakimshushia kipigo Mwananchi kwa madai ya kuwarushia maneno
  6. M

    Barua ya Wazi kwa familia ya Ali Hassan Mwinyi

    Kwenu Familia ya Ali Hassan Mwinyi 1. Mzee Ali Hassan Mwinyi Ulijiuzulu miaka ya 1970 kwa sababu ya mauaji ya watu wasio na hatia wakiwa katika mikono ya dola, leo napenda nikufahamishe mzee wetu kuwa kuna wananchi wa Zanzibar, wasio na hatia wanauawa Zanzibar bila haki, bila sababu za msingi...
  7. R

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, Waziri Mwinyi na Vyombo vya usalama vimejipangaje kuepuka Majuto kama Yale ya Mkapa kwenye Confession yake "My life my Purpose"?

    Sisi kama Raia wema tuna wajibu wa kukumbushana pale tunapoona Taifa letu pendwa linataka kudidimia kutokana na Uroho wa madaraka wa baadhi ya wagombea ambao tayari wako madarakani. Rais Magufuli bado ni Amir Jeshi Mkuu mpaka hapo tar 28 siku ya uchaguzi na mpaka kuapishwa kwa Rais mpya tar 30...
  8. Kabende Msakila

    Kikao cha Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu, Dkt. Hussein Mwinyi na Maalim Seif Sharif Hamad ni muhimu kabla ya utangazaji matokeo

    WanaJF,Salaam! Ninapendekeza kifanyike kikao cha haraka kitakachowakutanisha wagombea wenye nguvu kwa upande wa Zanzibar na Tanganyika ikiwezekana hata wasiokuwa na nguvu wahusishwe. Kikao hicho kiwe na uwezo wa kuwajenga kisaikolojia, kuwaangaliza na kuwataka kuheshimu katiba ya nchi, utashi...
  9. AKASINOZO

    Zanzibar 2020 Mzee Kikwete: Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio Rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi...

    "Mnataka Rais wa namna ya Dkt. Mwinyi sio rais mwenye makeke mengi, mbwembwe nyingi, kujimwambafai mwambafai kwingi, kujitutumua kwingi, kuona wengine hawana maana, lakini Dkt. Mwinyi hana hiyo, isitoshe ni mwana CCM ambaye imani yake haina chembe ya shaka"
  10. T

    Zanzibar 2020 Je, sheria kweli ni msumeno? Dkt. Mwinyi awataka Wazanzibari wajitokeze wengi wakampigie kura za ndio tarehe 27 Oktoba

    Wapwa Dr Mwinyi amewataka Wazanzibari wajitokeze kwa wingi kumpigia kura za ndio tarehe 27 October, ikumbukwe Mgombea wa ACT Maalim Seif aliwambia Wazanzibari wajitokeze tarehe hiyo hiyo 27 akapigwa nyundo na ZEC siku 5. Tunatega sikio kusikia kauli ya ZEC ya kumuita na kumpiga nyundo ya siku...
  11. Deogratias Mutungi

    Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi na dhana ya uchumi wa watu na vitu

    Nawasalimu wana JF, Nimekuwa mfatiliaji wa karibu sana wa siasa za upande wa Tanzania Visiwani kwa maana ya Zanzibar, nimegundua falsafa na maono makubwa ya Dkt. Hussein Mwinyi juu ya mipango yake ya uendeshaji wa serikali ya SMZ katika nadharia ya "Uchumi wa watu na vitu" Nimegundua Dkt...
  12. D

    Marais Wastaafu wa Tanzania, wajengewa nyumba na Serikali

    Raisi mstaafu awamu ya pili akikabidhiwa nyumba aliyojengewa na serikali Masaki Dar Es Salaam Muheshimiwa Magufuli akikagua ujenzi wa nyumba ya raisi mstaafu awamu ya nne anayojengewa na serikali Kawe beach Dar Es Salaam
  13. Replica

    Zanzibar 2020 Hussein Mwinyi: Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyotokana na kauli za watu

    Leo Dkt. Hussin Mwinyi anaendelea na kampeni ya kuwania Urais Zanzibar eneo la Micheweni kuiongoza serikali ya awamu ya nane na miongoni mwa mambo aliyoyazungumzia, amesisitiza kulinda amani ya Zanzibar. Mwinyi amesema sasa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani vinavyotokana na kauli za watu...
  14. Deogratias Mutungi

    Uchaguzi 2020 Dkt. Mwinyi uungwana wako wa hoja ni sharti ukupeleke Ikulu, Sijaona mpinzani mbadala dhidi yako

    Dkt. Mwinyi mgombea wa kiti cha urais Zanzibar ni kiongozi mwenye hoja mama na falsafa za ukombozi zenye kujikita kwenye uungwana wa utu kwanza katika kuwatumikia watu, anashawishi anapojenga hoja na ana jenga hoja zenye mwelekeo wa sura za kiutumishi kwa Wazanzibar, ni viongozi wachache wenye...
  15. Alwatan Mabruki

    Zanzibar 2020 Dkt. Hussein Mwinyi aonya ubaguzi Zanzibar

    Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania bara na Wazanzibari. Ikiwamo pia ubaguzi wa kijinsia, lakini aahidi atajitahidi kadri Mungu...
  16. Miss Zomboko

    Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi: Kiongozi anayetafuta kuongoza nchi hawajibiki kwa waliompigia kura tuu bali na kwa Mungu pia

    Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi,ameahidi kupambana na vitendo vyote vya ubaguzi ndani ya jamii pindi akipata ridhaa ya kuongoza Zanzibar. Amesema ili kutokomeza vitendo vya ubaguzi visiwani humo, lazima akiri na kukubali kuwa vitendo hivyo vipo, kisha achukua...
  17. Roving Journalist

    Uswiss yaipatia Tanzania msaada wa TSH. Bilioni 44.1 kusaidia kaya masikini

    Tanzania imepokea msaada wa Faranga za Uswiss milioni 17.8 sawa na shilingi bilioni 44.1 kwa ajili ya kugharamia Awamu ya Pili ya Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) na kuchangia Mfuko wa Pamoja wa Afya kwa mwaka wa fedha 2020/21. Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dodoma na Katibu...
  18. Miss Zomboko

    Zanzibar 2020 Dkt. Mwinyi: Kila nitakayemteua atawajibika kutimiza majukumu yake

    Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya Serikali ya awamu ya 8 ni kukuza uchumi katika Nyanja zote ili kuwapa vizuri wafanyakazi wake . Hayo ameyasema leo wakati akizungumza na wafanyakazi huko katika ukumbi wa Shehe Idrisa Abdul...
  19. Deogratias Mutungi

    Zanzibar 2020 DK. Hussein Mwinyi ndiye anayefaa kupewa urais Zanzibar, anazo sifa za kuulinda Muungano

    Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo anastahili kupewa nchi kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 28, Wanazanzibari kwa umoja wenu...
  20. Z

    Zanzibar 2020 Wasifu: Dkt. Hussein Ali Hassan Mwinyi, Rais ajaye wa Zanzibar

    Hakuna cha Makame Mbarawa wala nani. Huyu ndiye atayeiingiza Zanzibar kwenye karne ya 21. Wasifu wake ni huu hapa: Dk Hussein Mwinyi ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli. Kiongozi...
Back
Top Bottom