Kwenu Familia ya Ali Hassan Mwinyi
1. Mzee Ali Hassan Mwinyi
Ulijiuzulu miaka ya 1970 kwa sababu ya mauaji ya watu wasio na hatia wakiwa katika mikono ya dola, leo napenda nikufahamishe mzee wetu kuwa kuna wananchi wa Zanzibar, wasio na hatia wanauawa Zanzibar bila haki, bila sababu za msingi...