Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk amefungua mkutano wa wadau mkoani Pwani leo Februari 01, 2025 ambapo ametangaza ratiba ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwenye mkoa huo ambao utafanyika kwa siku saba kuanzia...
Kauli zinazoendelea kutolewa na viongozi wa chadema waliopo madarakani kwa sasa ni kana kwamba waligombea ili kumkomoa freeman mbowe kisiasa ,waliingia kwenye kinyang'anyiro kwa visasi na si kwenda kuongoza ! Kauli za kudhalilisha zinaendelea kutolewa mpaka sasa ! Na viongozi wapya hawana wisdom...
Kikao cha mwisho tulikubaliana kuwa bwawa likikamilika hatutahangaika tena kuhusu umeme, zaidi tutakuwa na umeme wa kutosha hadi tutauza kwa majirani. Ghafla mama akiwa Same amesema itabidi tununue umeme Ili kuzuia umeme kukatika Kanda ya kaskazini.
Kwaiyo mheshimiwa Samia tukuamini kwenye...
Marekani na DRC zinakaribia kufikia makubaliano katika kusaini mkataba wa madini adimu, katika makubaliano, Marekani itaruhusiwa kuchimba madini huku ikitoa ulinzi dhidi ya M23! Muda utaamua!
Washington considering ‘rare earths’ deal with African state – FT
8 Mar, 2025 19:36...
Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?.
Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa adhabu kwa kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho? Kama zipo, zilipewa adhabu gani? na je...
Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa mzabuni,,kule jkt
Habarini za jioni wana JamiiForums, husika na kichwa tajwa hapo juu.
Leo nilikuwa na safari ya kivukoni/posta, nikaona ni heri niende mbezi nikapande mwendokasi.
Nilifika mbezi mida ya saa9 hivi nikakata tiketi nikasubiri pamoja na abiria wengine kama nusu saa hivi, mpaka dakiki40.
Ikaja gari...
Hio ndio asili ya mwanadamu.
Mipaka imeundwa kwa mapigano.
Mamlaka zimeundwa kwa nguvu.
Jamii zime-survive kwa kujilinda kivita.
Umashuhuri wa jamhuri umeundwa kwa ushindi dhidi ya mnyonge.
Ila wewe umebaki tu kusema "haina noma, malipo ni hapa hapa duniani"
Katika documentation ya maisha yake, inasemaakana huyu simba aliua fisi karibia 400 na Madume wa simba 130.
Alijulikana kwa ujasiri wake na nguvu kubwa ya kupigania ngome yake kwa muda mrefu sana iliopelekea kuwa na kovi usoni mwake hadi kupachikwa jina scarface.
Alivutia sana watalii pale...
Wakuu,
Hivi ndio kusema kwamba amezidiwa na mapenzi au ndo muziki unaanza kumtupa mkono?
Simba aliachia Komasava Mei 2024 na tangu hapo hakuna project ya maana aliyoitoa.
Ametoa ngoma 4 ambazo ni Raha, Holiday, Moyo na Nitafanyaje zote zimebuma.
Huyu atakuwa na shida gani? Au ndo muziki...
Namna rahisi ya kuingia Marekani ni kupitia Fulbright programs ambazo huchukua watu vichwa kutoka Nchi zinazoendelea na kuwapeleka Marekani kujinoa.
Fulbright wanaratibu miradi ikiwemo FLTA ambayo walimu wa Kiswahili wanapata mashavu, pia kuna HHH Fellowship ambayo inachukua wakali wa field...
Wapendwa wangu katika Bwana niwakumbushe tu kwamba tupo katika nyakati za mwisho mnoo..
YESU yupo karibu kurudi mda wowote kuanzia sasa kwa iyo wew unaesoma ujumbe huu tengeneza njia zako na maisha yako
Acha ulevi
Acha uzinzi
Acha umalaya na ukahaba
Acha matusi
Acha kila aina ya dhambi na uchafu...
Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo.
Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
Mara ya Mwisho 5imba kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Tanzania bara mambo yalikuwa hivi -;
1.Laizer alikuwa na jiwe la Tanzanite, amelificha mahali anasubiri kuuza
2.Magufuli alikuwa mgombea Urais CCM
3.Zuchu alikuwa hajajiunga Wasafi
4.Mwana FA alikuwa hajaingia kwenye siasa
5.Billnas alikuwa...
Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Ilianza Bitcoin enzi hizo sarafu po chini sana watu na fursa wakaruka nayo... Sasa hivi sarafu haishikiki walioiwahi enzi hizo wanakula kuku kwa mrija.
Ikaja binance nakumbuka 2017 late yake ilikuwa 0.007 kwa coin kwa sasa ipo 500+ usd
KWa sasa naona watu wanatamba na hii #pai, na ni kitu...
Katika enzi ya kisasa ambapo uhasama wa mataifa makubwa unazidi kushamiri, hatari ya vita vya nyuklia haijawahi kuwa kubwa zaidi. Marekani na Urusi, mataifa mawili yenye silaha za nyuklia zenye uwezo wa kuangamiza ustaarabu wa binadamu mara kadhaa, hujikuta katika mgogoro mkubwa wa kijeshi...
Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu.
Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba.
Kwa...