Nilitegemea sana Yanga leo kucheza chini ya kiwango na hilo limeonekana dhahiri shahiri wachezaji wamechoka sana ratiba ya ovyo ovyo hii sijawai kuona, Pamoja na yote wachezaji wamecheza kikubwa na kushinda kikubwa cha muhimu leo ilikuwa ni point 3 na zimepatikana ashukuriwe Mungu.
Pongezi sana...
Nawakumbusha Yanga kuwa Club ya Africain ni ya mwisho kwenye msimamo wa ligi yao kundi B kwa mwaka huu na itashuka daraja bila shaka. Hii timu ni sawa tu na Ihefu hamna kitu. Hapa chini ni msimamo wa Ligi kwa kundi lao leo 9/10/2022.
Germany tells Serbia to choose between Russia and EU – Reuters
Belgrade itakabiliwa na "matokeo" ikiwa itashirikiana na Moscow, mwakilishi wa Ujerumani aliambia shirika la habari
Serbia lazima iamue kuungana na Urusi au EU, afisa wa Ujerumani aliambia Reuters Jumanne. Wakati Berlin imeionya...
Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali.
Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni!
Naomba kwa anayejua anisaidie!
Bodi ya Sukari nchini Tanzania imesema jitihada zinazofanyika za upanuzi na uanzishaji wa viwanda vya uzalishaji wa sukari, vitawezesha kufikia tani 756,000 ifikapo mwaka 2025 hivyo kuondokana na uagizaji wa sukari kawaida.
Hayo yamesemwa leo Jumanne Oktoba 25, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa bodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.