Leo asubuhi nikapanda zile gari hapa daressalam al maarufu zinaitwa daladala konda akawa anamsumbua abiria wa kike hataki kumrudishia chenji yake ikabidi niingilie ule ugomvi kwa kumpiga konda mkwara mzito mwisho wa siku akaanza kulalamika kuwa yeye ana familia na mimi sina familia. Kwa...
Taasisi ya tiba ya mifupa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MOI) imesema Mwanaume aliyeonekana akigongwa na Basi la abiria “mwendokasi” Jijini Dar es salaam jana, amelazwa Hospitalini hapo kwenye chumba cha Uangalizi Maalum (ICU).
Meneja wa Kitengo cha Uhusiano cha MOI Patrick Mvungi...
Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6...
Rip kwa Mzee wetu Magufuli na engineer Mfugale leo nichukue fursa hii kuwapongeza watu hawa pamoja na TANROADS kwa kazi bora ya pale barabara ya Mbezi mwisho.
Nilikuwa napita pale kwa Mishe zangu tu tena maramoja moja sana, nikaja kuona uzi wa mtu huku akitabiri kuwa uwepo wa stand ile...
Mwalimu wangu aliwahi kuniambia hata mvua inyeshe vipi, lazima ipo siku itakatika tu. Nami leo nasema hakuna marefu yasiyo na ncha.
Mimi Intelligent businessman kwa muda mfupi niliokuwa humu ndani, nimekuwa pamoja na baadhi ya ndugu,marafiki, washkaji na hata maadui humu jf.
Ila kiufupi...
Yesu Kristo ambaye ndiye NENO la Mungu alituachia injili na Roho Mtakatifu kutuongoza safari ya Mbinguni.
Mambo yafuatayo ni machukizo mbele za Mungu
Bikira Maria kws sababu hakuna maandiko yanayosapoti ibada ya kupitia Maria ili kumfikia Yesu au Mungu
Ibada ya Sanamu. Yapo makanisa yamesimika...
Kwa upande wangu...
1. Good Kid Maad City - Kendrick Lamar
2. The Verteller - Dizasta Vina
3. Damn - Kendrick Lamar
4. Doo-Whoop & Hooligans - Bruno Mars
5. Bad - Michael Jackson
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
Sayansi na dini zinapishana kidogo kwenye maono na mitazamo.
Siwezi kukataa dini zinavosema wala sayansi inavosema,vitu ambavyo vinaweza kunipa ukweli ni huu msemo kuwa "chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho".
Tuje kisayansi maana hapa ndio upande wangu:
Fahamu katika nyota unazoziona angani...
Karma is bitch.
Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote.
Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa...
Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki.
Kumbe tulipigwa
USSR
--
Rais Samia amesema haya...
"Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
Netflix itaanza kuzuia watumiaji wasitumie password za watu kuanzia robo ya kwanza ya mwaka huu (Q1). Hivyo inamaanisha mwezi wa tatu ni mwisho wa kutumia password za watu ambao hampo katika household ya pamoja.
𝗟𝗶𝗻𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶𝗸𝗼?
Netflix imesema March itakuwa ni mwisho kuzuia ku-share...
Wakati sehemu kubwa ya dunia ilipopitia mdororo mkubwa wa uchumi mwaka 2008-2009, China, kupitia juhudi kubwa za matumizi ya serikali, iliweza kukabiliana na dhoruba na kuinua uchumi wa dunia.
Huku ulimwengu ukitetereka "karibu hatari" kwa mdororo wa ulimwengu kwa nyuma ya vita vya Urusi huko...
Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa!
Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi!
Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
Katika kumtumikia Mungu Kuna dhambi moja inawashusha nakuwapoteza watu wa Mungu wengi, dhambi hii imeandikwa hata ktk maandiko matakatifu.
Neno la Mungu linasema kijapo kiburi na majivuno basi mwisho wake ni kuanguka. Kiburi na majivuno ndio kitanzi cha watu mashuhuri wengi. Unaweza kuniuliza...
Wakati tuhuma za kumtorosha mke wa manara kule Dubai na Kisha kumtembezea rungu pale konde village zikiwa bado hazijapoa , Harmonize a.k a konde boy mnyama amejikuta kwenye vita nzito na boss wa next level music Ray-vanny ,
Harmonize kupitia instastory amewashauri wasanii waachane na nyimbo...
Jana nilifuatilia mjadala ulioanzishwa na JF kuhusu maoni ya sisi Wananchi wa kawaida kwenda kwa viongozi wetu hasa Wabunge, kwanza niwapaongeze sana kwa hicho walichokifanya na ninawashauri wakiendeleza kwa kuwa kero zipo nyingi.
Binafsi naamini wanasiasa ni watu wanaofuata upepo, kuna muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.