mwizi

  1. Video: Tazama mwizi huyu wa simu alivyodakwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe

    Tazama huyu mwizi wa simu alibambwa kirahisi hadi akaona aibu mwenyewe
  2. Mwizi wa simu anaepigwa hapa kariakoo mda huu ni hatari sana

    Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa wanaelekea kumchoma moto hapa aisee Hawa jamaa sijui hawakomi
  3. Video: Birthday kwa mwizi

    Hapa ni maandalizi ya kwenda kukata cake😅
  4. S

    Unajisikiaje serikali yako inaponunua vifaa vya kukuumiza si kwa sababu wewe ni mwizi, jambazi, muuaji, mbakaji, nk, bali kwa sababu unadai haki?

    Angalia hili lidubwana hapa chini; Sasa madudu ya kutisha kama haya, serikali yako ya Tanzania imeyanunua kwa ajili ya kuumiza wananchi wake, ambao sio kwamba wana makosa makubwa kama uasi dhidi ya serikali, ujambazi, uharamia, ujangili, ubakaji, uuaji wa watu wasio na hatia, utapeli, ufisadi...
  5. Vipigo vikubwa vya Mbwa Mwizi katika hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika tangu 1998-2025

    Katika historia ya Hatua ya Makundi ya Klabu Bingwa Afrika, kumekuwa na matokeo ya kushangaza yaliyoweka rekodi za ushindi wa mabao mengi. Hapa ni baadhi ya ushindi wa tofauti kubwa zaidi katika historia ya mashindano haya: Mwaka 2019: • TP Mazembe 8-0 Club Africain Mwaka 2023: •...
  6. Hivi ukimkamata mwizi usiku umfanyaje?

    Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa ya mtu naombeni maoni yenu wakuu maana wezi wameshatuulia ndugu zetu wezi wanatia watu umasikini...
  7. Shemeji mwizi & Mzinzi, anayependwa sana na mumewe. Je, ukigundua anataka kumtoroka ndugu yako, utachukua hatua gani?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa) Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
  8. Askari Polisi asakwa kwa mauaji ya mtuhumiwa wa Wizi wa Simu

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamsaka Askari wa Jeshi hilo aliyefahamika kwa jina la Sajenti Rogers wa Kituo cha Polisi Ipogolo na Askari wa jeshi la Akiba aitwaye Thomas Mkembela kwa tuhuma za kumuua Nashon Kiyeyeu mwenye umri wa miaka 23, Mkazi wa Nyamuhanga, Manispaa ya Iringa aliyekuwa...
  9. Hifadhi ya Taifa ya Amboseli yakabidhiwa kwa kaunt ya Kajiado ili wasimamie, Ngorongoro Wamasai wanatimuliwa kama Paka mwizi

    Amboseli sasa ni rasimi itasimamiwa na kuendeshwa na kaunti ya Kajiado kumbuka hata Masai mara inasimamiwa na kaunti ya Narok ambayo ndio inachukua mapato. Sasa piga picha pale Ngorongoro jinsi Wamasai wanavyo furushwa kama digidigi ili eneo wapewe Waarabu Wajomba. Au jiulize Serengeti...
  10. G

    Wanaoua na kufanyia ukatili wazazi, ndugu, watoto, n.k hakuna anaependa! shetani hana mkataba, makubaliano na mganga ni kuuziwa kiwanja baharini

    Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto. Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu...
  11. Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi,

    Kutana na Mwanamke Maarufu mwizi zaidi duniani Phoolan Devi, Kutoka kwenye unyanyaswa kijisia, kuwa mwizi, kuingia jela na hadi kuwa mbunge kutetea wanawake nchini india. Anakumbukwa kwa famous qoute inayosema. "If there were justice in the world, I would have been a nobody" Na hii ndio...
  12. Baada ya Jaja Mwizi kuuliwa, Chadi Maela naye afariki kwa kipigo cha Wananchi huko Mikocheni

    ASSLAHAM ALHEIKUM USIKU WA LEO TUMEMPOTEZA MWIZI MASHUHURI WA KAWE CHADI MAELA NA DREVA MMOJA WA PIKPIK KIJANA BAADA YA KUMKOSA KOSA HUKU KAWE WALIAMUA KUFUNGA NIA KWENDA MIKOCHENI JANA WAKAFANIKIWA KUFIKA WATATU DUKA MOJA LA JUMLA WAMEFANIKIWA KUFUNGUA Duka WAKANZA KUTOA MIZIGO MWENYE...
  13. L

    Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi. Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
  14. R

    Nimeibiwa simu na mwizi ametoa pesa tiGO Pesa!

    Nimeibiwa simu yenye line ya Tigo na nilipoenda kuchukua line mpya naangia salio la pesa nakuta hakuna kitu! Kwenye statement inaonekana mwizi ametoa pesa mara tatu. Hii inawezekana vipi mtu hajui password yangu atoe pesa??
  15. Yule mwizi wa darajani Kawe alifariki dunia na kuzikwa

    HAPA MAJUZI KUNA MEMBER ALIWEKA UZI KUNA PIK PIK ZAIDI YA 200 PALE KAWE DARAJANI AMBAZO NILIWAPA INFO N MWIZI AKAKRUIIA KWENYE DARAJA KWA HESHIMA KABISA NIWATANGAZIE MTOTO WA DALALI MUHA AMEFARIKI NA MAZIKO YAMESHAFANYIKA KIJANA ALIPELEKWA SHAMBA HOSPT KAWE WAKAMPELEKA MUHIMBILI HATIMAE...
  16. M

    Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

    Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street. Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
  17. Mmh! Sio mwizi huyu?

  18. Video: Angalia Mwizi Bonge anavyoiba

  19. Hakuna Mwizi wa Gari anaendesha gari kistaarabu

    Ni hivi ndugu zangu nipo kuwakumbusha kuwa hakuna mwizi wa gari akaiba gari na kuliendesha kistaarabu kiasi kwamba hata ukija kulikuta utakuta kama ulivyo liacha. Ni hi atakanyaga mafuta hadi pedo iguse bodi la gari, atalikimbiza na kubadirisha gia bila fomula, atalikwangua pande zote na...
  20. F

    Nimemuona mwizi mahali ninapoishi

    Wakuu kwema? Ngoja niwape stori halafu mnishauri. Nyumba niliyopanga ina vyumba 7 na wapangaj 6 cha saba ni Maza house na mume. Sasa jana nilikuwa nimechill chumbani kwangu nimelala mchana na palikuwa hakuna mtu hata mmoja, nikaamka nikajisaidie ile natoka chumbani kwangu nikamuona jamaa (yeye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…