Popote mlipo, huu Ni ushauri wangu kwenu, mikutano yenu haiwezi kutegemea matangazo ya gari za matangazo na social media, katika pesa mliyonayo, ongeeni na ITV/ AZAM wawe wanarusha matangazo na ratiba za kampeni zenu. Ikishindikana kwa hizo media, basi boresheni CHADEMA TV iwe active LIVE 24...
Akizungumza katika kipindi cha Medani za Siasa kinachorushwa na luninga ya Star mbunge wa Bukoba mjini mh Lwakatare amesema Mbowe ni rafiki yake mkubwa na hata juzi alimsindikiza hadi Air port wakati anahamishiwa Dsm kwa matibabu.
Kuhusu wabunge wa CCM na Spika kuamini kuwa Mbowe alianguka...
Pale ofisini kuna dada mmoja mashallah huwa analeta chakula. Kaumbika sana yule, chakula anachokuletea hata akizidisha pilipili kama yupo mbele yako huwezi pata ujasiri au nguvu ya kumkosoa; utakiona sawa tu.
Nilichukua namba yake tuwe tunawasiliana nimwagize chakula ntakacho. Mtoto wa kizigua...
Naibu waziri wa Tamisemi anausurika kupokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Bwana Bwire Meya ( mkurugenzi wa shule za Alliance) wa huko jijini Mwanza.
Hii migogoro ya Ardhi wamuachie Lukuvi.
Chanzo: ITV Habari
Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii...
Sasa imefahamika kwa picha za satelite kwamba Iran iliitungua ndege ya abiria ya Ukrain na kuuwa zaidi ya abiria 170. Canada wamekuja juu, German wamekuja juu na uingereza wamekuja juu.
Kinachofuata ni kama kile kilichotokea Libya, Jeshi la Nato litaipiga Iran Muda wowote.
Na inasemekana si...
Duniani kuna mambo. Rochester, New York Marekani, mwizi amevamia nyumba ya ajuza wa miaka 82 ambae alikua akiishi peke yake ili aibe ila mwizi alichokutana nacho hakukitegemea, ajuza amshushia kibano kizito, polisi wamemuokoa.
Huyo mwizi alienda kwa gia ya kuomba msaada kua ana tatizo ajuza...
Habari wakuu!
Kuna kibaka mmoja kaiba simu yangu jana usiku ila bado anaitumia. Kwa bahati nzuri simu ina PIN sema anaweza kuiflash.
Tatizo tukiipiga namba inapokelewa na mtu anajifanya kauziwa hiyo simu na aliyemuuzia anamjua, tatizo tukimwambia tuonane atupeleke kwa huyo aliyemuuzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.