mwizi

  1. makaveli10

    Anahitajika mtaalamu (mganga) wa kumgandisha mwizi na mali aliyoiba sehemu alipoibia

    Ndugu zangu nimekwama, tena nimekwama haswa. Nimegadhibika pasina mfano 😠😡, mimi si mtu wa kwenda vilingeni ila kwa hili Mola wangu anisamehe sana. Shambani nina minazi takribani 100 ila siambulii kitu, Hawa waduwanzi naona sasa wanaleta mazoea yasiyovumilika. Zamani kila baada ya miezi mitatu...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
  3. J

    AG Jaji Werema: Kafulila aliniita mwizi nikamwita "tumbili"

    AG Mstaafu Mhe Jaji Warema azungumzia sakata la kumwita RC David Kafulila "tumbili" Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amezungumzia sakata la kumuita tumbili aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kusini (NCCR-Mageuzi), David Kafulila. Jaji Warema amezungumzia sakata...
  4. N

    Aliyepigwa na mashabiki wa Yanga jana, yadaiwa afariki dunia

    Nafikiri wote mliona ile clip ya shabiki yule aliyevaa jezi nyekundu kitendo kilichowakera mashabiki nguli lialia wa dar young africans wakamshushia kipondo heavy katika harakati za kulinda brand ya team yao Inasemekana jamaa kafariki dunia Hili ni onyo kwa makolo na wengineo watakaojaribu...
  5. T

    Wanaosherekea kifo cha Magufuli wanafukuza mwizi huku wameacha mlango wazi

    Kuna wengi wanaolalamika kwamba walipatwa kuumizwa na utawala wa magufuli. Kuumizwa huko kunahusishwa kibinafsi na utawala wa Magufuli, ikimaanisha walipitia waliyoyapitia tu kwa kuwa Magufuli alikuwa rais. Wanaolalamika sio wapinzani pekee bali pia wako wanachama wa chama cha mapinduzi ambao...
  6. J

    Tofauti ya Kibaka, Mwizi na Jambazi

    Naomba kufahamu tofauti baina ya Kibaka, Mwizi na Jambazi. Je ni lini Kibaka anakuwa Mwizi au kinyume chake? Na je ni lini Mwizi anaitwa Jambazi au kinyume chake? Ni mazingira gani yanamfanya mhalifu kuitwa Kibaka au Mwizi au Jambazi? Nawasilisha
  7. Memtata

    Ilinibidi kupitiliza kituo baada ya kuhisiwa mwizi

    Siku moja nimepanda bajaji kwenda eneo fulani nilikuwa nimekaa na mdada mmoja maneno mengi sana ambaye inaonekana anajuana na dereve bajaji au wamezoeana muda mchache. Nikiwa hatua chache kufika sehemu nayotakiwa kushuka kabla sijamwambia dereva anishushe mara namuona mdada anahangaika akisakua...
  8. Dr Msweden

    Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu. Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga...
  9. pascal luoga

    Msaada wa kumpata mtu aliyenitapeli

    Habari wakuu pia poleni kwa majukumu na migangaiko ya kila siku. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kwamba siku ya juzi Jumapili, niliweza kutapeliwa pesa na mtu ambaye nilikutana naye kwa ajili ya biashara ndipo aliweza kunitapeli karibu laki 5 taslim, kwa sura huyo mtu namfahamu na ilikuwa ni mara...
  10. S

    Je, Tanzania imewahi kuwa na Rais mwizi?

    Inawezekana Samia si katika hao na ndio ikawa shida kwa viongozi wa serikali ambao wameota mizizi ndani ya serikali tokea tupate Uhuru na hata marais wastaafu wanaonekana wakijichomeka kung'ang'ania serikali na sio serikali bali Raisi mpya anaeingia madarakani. Hisia zinaonyesha kuna magenge...
  11. Da Vinci XV

    Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  12. S

    Kiongozi anayependelea anakotoka, hakosi pia sifa ya kuwa mwizi na fisisadi kwa lengo la kujilimbikizia mali

    Ni hivi: Ukiona kiongozi anapendelea eneo(kijiji,n.k) anakotoka au alkkozaliwa, n.k, automatically (100% ) atapendelea pia familia yake kwa kujilimbikizia mali na fedha(sifa hizi mbili always zinakwenda pamoja). Kwa maneno mengine, kiongozi anaependelea eneo alikotoka au alikozaliwa, hatoishia...
  13. Meneja Wa Makampuni

    Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

    Habarini magreat thinkers Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
  14. Miss Zomboko

    Musoma: Akamatwa kwa tuhuma za kuwalewesha abiria Dawa ya Congo na kuwaibia

    Polisi mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kijiji cha Rugasha Bukoba Vijijini, Marco Saidi (68) kwa tuhuma za kuwalewesha abiria kwenye mabasi yanayofanya safari zake kati ya Mwanza-Musoma na kuwaibia. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Longinus Tibushubwamu amesema kuwa mtuhumiwa huyo amekamatwa...
  15. S

    TanFoam Arusha huyu Wakala wenu “Yahaya Mono Msuya” ni mwizi

    Kuna ndugu yangu alifika kununua godoro kwa wakala wa kampuni kongwe inayotengeneza magodoro ya TanFoam. Wakala mwenyewe anaitwa Yahaya Mono Msuya yuko Arusha mjini mtaa wa mjini kati karibu na soko kuu, yeye alitaka kununua godoro la Tanfoam badala yake walimshawishi kununua godoro la Besti...
  16. exalioth

    Nimemkamata mwizi wa Taa (balbu) usiku wa leo

    Inashangaza na inaskitisha... Ilikua ni majira ya usiku saa saba na ushee usinigzi uligoma kabisa nilikuwa naumwa, tumbo lilikuwa linasokota nikatoka nje kuskilizia maumivu, sasa nikiwa nmekaa kwenye maua yaliyostawi niliona kwa jirani yangu taa za nyumba yake zimeanza kuzima moja baada ya...
  17. ndege JOHN

    Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

    Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana. Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa...
  18. L

    Sungusungu Mburahati waua kijana anayedhaniwa kuwa mwizi

    Leo majira ya mchana maeneo ya Mburahati Beach Boy wilaya ya Ubungo sungu sungu wamuua kikatili kijana mmoja mkazi wa kitongoji cha Soweto kata ya Mabibo. Kijana huyo anajulikana kwa jina la Jumanne Jongo,kwa nyakati tofauti amekuwa akijihusisha na vitendo vya kihalifu. Kijana huyu alijeruhiwa...
  19. BAK

    Mwizi huyooooooo 😂😂😂

  20. benteke

    Nahisi naonekana kama mwizi

    Wazima wandugu, hili tatizo ni mimi tu au kuna mwingine linamtokea. Nikienda kwa vibanda vya mpesa mara nyingi wanataka Waone SMS iliyorudi kwangu ndio wanipatie pesa. Nikienda office za watu utaona mdada anahamisha pochi yake na simu, Bank teller anachukua muda mwingi kunihudumia.. saa...
Back
Top Bottom