Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu.
Sasa nilipofika...
Rose Muhando dawa yako iko jikoni inachemka siku sio nyingi utainywa.
Huyu muimbaji Rose Muhando pamoja na kujisifu kuwa ni mcha Mungu kumbe ni mwizi. Dhambi hii uliyoifanya kwa Michael Jackson itakuchoma hapa hapa duniani kupitia Team nzima ya usimamizi wa kazi za Michael Jackson.
Baada ya...
Miaka ya 2005 wizi wa kutumia silaha za jadi ulikithiri sana Dodoma. Katika kijiji tulichokuwa tunaishi. Pale nyumbani tulikuwa na duka kubwa hivyo siku hiyo jamaa walipanga kuja kuvunja na kuiba.
Mida ya sa 5 usiku duka limefungwa, tumeingia kulala, tukasikia jamaa wanafoka nje huku wananoa...
Kama Rais hana muda wa kupokea waandamanaji wote basi waratibu wa sherehe hizi za Mei Mosi walipaswa kupunguza makundi ya waandamanaji.
Watu wamepoteza muda wao kujiandaa, wakatafuta na t-shirts halafu wanapita mbele ya mhe rais wakikimbizwa kama kuku wa mgeni ama mbwa mwizi.
Watu wazima...
Nionyeshe rafiki yako nikwambie ulivyo!
Kila mwenye akili timamu katika nchi hii, anajua fika kabisa, ccm yote ni janga la nchi hii!
Mtu akitajwa fisadi, makao makuu ni ccm
Akitajwa mla rushwa, makao makuu ni ccm
Kijana uliyeko ccm, utakataaje msingi huu wa kizazi na kizazi?
Kijana wa ccm...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa kumpiga mwizi huwa tuna umoja wa dhati kwenye kushabikia Simba/Yanga. Kwenye ushabiki wa hizi timu...
Pasaka njema kwa wakristo wote, naomba niwape kisa hiki cha ukweli kilichotokea kusini mwa Tanzania mkoa x katika nyumba moja ya Bibi mstaafu.
Jinsi nilivyo muonekano wangu, sio mfupi sana wala mrefu sana niko wastani,mweusi ila nina sura ya upole, sina ndevu nina mwili wa wastani sio mnene...
Ameandika Patrick John Asenga, Kada wa Chadema kwenye Mtandao wa Twitter
“Huu ndio ukweli..... Kimsingi hakuna jina lingine unaloweza kuiita SEREKALI hii ya CCM chini ya Rais Samia zaidi ya kuiita ni SEREKALI ya MAJAMBAZI, MAJIZI, kutokana na Ripoti za CAG za kila mwaka. Hongereni nipashe kwa...
Kama bandiko linavyojieleza kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea umakini wa kuiba
Niwazi kuwa wote tumesikia masikitiko ya mama dhidi ya madudu yaliyo ibuliwa kwenye lipoti ya mkaguzi w hesabu za serikali
Mama analalamika mama anaudhunishwa na huu ujambazi unaofanywa kwenye hii miladi ya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini.
"Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
Habari. Uzi mfupi wa taarifa.
Katika maisha yangu, sitakaa nikakubali au nikaona mwizi atapigwa na raia wema na kuachwa hivi hivi..
Nitahakikisha anachomwa moto na nipo tayari kuchangia hela ya mafuta na tairi.
Wezi mlioiba na mnaopanga kuiba mlaaniwe kabisa mbwa mwitu nyie.
Usiku wa jana...
Je, Kosa lao ni moja ( linafanana ) au ni Makosa Mawili tofauti?
Je, mbele ya Macho na Hukumu ya Mungu kuna mwenye Afadhali Kiadhabu?
Je, Wawili hawa wakikutana kuna ambaye atamshangaa Mwenzake?
Na mkisema Makosa yao (Dhambi zao) ni sawa kwanini Waswahili wengi hukimbilia Kuwaadhibu kwa...
Juzi kuna rafiki yangu kutoka Urusi alifikia Chelsea Hotel iliyopo Lumumba street,Dar salaam.
Alikutana na watu nje ya hoteli wakamshawishi kuwa watampa huduma ya usafiri wa kwenda airport siku inayofiata, siku ya juzi baada ya kuingia kwenye gari yao wakiwa wawili walivyoenda umbali kidogo...
Nimekuwa nikiona wezi wa wake wakishushiwa vipigo mitandaoni nami nimewahi kushuhudia tukio kwa macho yangu jamaa kakamatwa na mke wa mtu akaanza kupigwa na mme halali.
Je kwa sheria za hapa kwetu mambo haya yanafanywa kwa mazoea bila kutii sheria ama sheria inaruhusu ?
Mtu mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika Mara Moja anayekadiriwa kuwa na umri wa Miaka 30-40 amefariki Dunia usiku wa kuamkia Leo October 19, baada ya kupokea kipigo kikali kutoka Kwa watu wenye hasira Kali.
Tukio Hilo limetokea katika Eneo la Malamba mawili(bwawa la Kwanza)ambapo...
Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikosi cha 08/691 KJ Chandarua mkoani Ruvuma, Sajenti Batsin Sanga amehukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la kuwaua kwa risasi mtalaka wake na mwanajeshi mwenzake.
Desemba 27 mwaka 2018 katika lango kuu la kambi hiyo, askari huyo mwenye namba za...
Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji.
Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
Ni kumchana live tu.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA amesema uzalendo sio kuvaa tai ya bendera. Amemwambia Dr. Mwigulu Nchemba asiwadanganye raia kwa kuvaa bendera na kumtuhumu kuwa yeye ndiye mwizi na fisadi namba moja nchi hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.