mwongozo

  1. Influenza

    Watetezi TV yapigwa faini ya Tsh. Milioni 3 kwa kosa la kutomiliki na kutochapisha sera na mwongozo kwa watumiaji

    Baraza la ushindani wa kibiashara (FTC) jijini Dar es Salaam limeihukumu televisheni ya Watetezi inayotoa maudhui yake kwa njia ya mtandao (Online TV) adhabu ya shilingi milioni 3 kwa kosa la kutokuwa,na kutochapisha sera na mwongozo kwa watumiaji (Online Policy) jambo linalodaiwa kuwa kinyume...
  2. Nyaka-One

    Kujifukiza kiholela kutaleta athari kubwa baada ya Covid 19: Wizara ya Afya itupe mwongozo wa mchanganyiko sahihi haraka

    Kwenye kipindi hiki cha covid 19 kumekuweko na shuhuda na maelezo mbalimbali kuhusu aina za michanganyiko ya viungo, majani au mitishamba ya kutumia kwa kunywa au kujifukiza na wakati mwingine maelezo yamekuwa yakipishana. Michanganyiko ambayo imekuwa ikitajwa sana na wengi inajumuisha vitu kama...
  3. Makirita Amani

    Mwongozo wa kufanyia kazi Nyumbani wakati huu wa Mlipuko wa Corona

    Kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona unaoendelea, moja ya njia kuu za kuzuia maambukizi ni watu kujitenga. Hivyo mataifa mbalimbali yanawataka watu wake kukaa nyumbani wakati huu wa mlipuko, ili kuepuka kuambikiwa au kuwaambukiza wengine. Kwa kuwa watu wengi wanakaa majumbani, kazi inabidi...
  4. J

    Waziri Kamwelwe atangaza mkakati wa kupambana na ugonjwa wa Coronavirus kwenye vyombo vya usafiri

    Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi a mawasiliano ameitaka mamlaka ya udhibiti usafiri wa ardhini ( Latra) kukutana mara moja na kutoa mwongozo juu ya idadi ya abiria wanaoruhusiwa kusimama ndani ya daladala na Mwendo kasi ili kupunguza msongamano. Waziri Kamwele ameyasema hayo mjini Dodoma alipokuwa...
  5. J

    CORONA: RC Makonda atoa mwongozo kwa wananchi wa mkoa Dar es Salaam na wageni

    Mkuu wa mkoa wa DSM ametoa mwongozo rasmi wa kudhibiti uwezekano wa virusi vya Corona kuingia mkoani Dsm. Mambo muhimu ni pamoja na vyombo vya usafiri kutojaza abiria kupita uwezi wake kisheria. Vyombo vya kunawia kuwekwa katika stendi zote na majumbani Kuepuka kusalimiana kwa mikono na...
  6. AMARIDONG

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi ya mikoa kama vile Kagera, Kilimanjaro na Mbeya na hivyo kulifanya muhimu, kufuatia mazao ya...
  7. MindKey

    Nimekuja, je ni nani atakayenifanyia orientation?

    Nahitaji mwongozo wenu, jukwaa gani nielekee moja kwa moja?
  8. mshihiri

    Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

    UVUMILIVU SASA BASI, WANACHAMA LINDENI OFISI NA MALI ZA CHAMA MAELEZO YA MSHAURI MKUU WA CHAMA CHA ACT – WAZALENDO, MAALIM SEIF SHARIF HAMAD, KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI OFISI KUU YA CHAMA ZANZIBAR – TAREHE 2 DESEMBA, 2019 Chama cha ACT – Wazalendo kinazo taarifa za uhakika za kuwepo...
  9. diana chumbikino

    Serikali yatoa mwongozo Uchaguzi Serikali za Mitaa

    SERIKALI imetoa mwongozo wa uchukuaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zinazoanza kutolewa Jana . Katika mwongozo huo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani Jafo, amesema ni marufuku kufanya kampeni katika...
  10. moto ya mbongo

    Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

    Naomba kuomba msaada wenu wanajamvi wa JF kuna kijana ametoweka wiki 2 sasa anaitwa JABIRI TIMBULA. Alikuwa ameajiriwa kama VEO kijiji cha Mwongozo Tarafa ya Ulyankulu Wilaya ya Kaliua mkoa wa Tabora. Pamoja na kuajiriwa alikuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza wa chuo kikuu huria (OUT) tawi la...
  11. M

    Mwongozo (circular) ya utaratibu wa uhawilishaji wa ardhi ya kijiji katika ngazi ya kijiji

    YAH: MWONGOZO (CIRCULAR) YA UTARATIBU WA UHAWILISHAJI WA ARDHI YA KIJIJI KATIKA NGAZI YA KIJIJI Mwongozo huu unakuja kufuatana na muongozo uliotolewa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia kwa kamishna wa Ardhi unaohusu uhawilishaji. UTANGULIZI: Tarehe 1 Mei, 2001...
Back
Top Bottom