Heading inahusika kama ilivyo. Lakini kwa mtazamo wangu hili jambo linaenda kuibua mjadala mkubwa huko mbeleni.
Najaribu kuweka link ya rasimu ya Kanuni hizo. Mnaweza kupeleka maoni kabla kisu hakijawekwa
=======
Simu: 255 22 2863748
Barua pepe: info@basata.go.tz
Tovuti: www.basata.go.tz...
Wadau hakuna mahala unaweza kupata updated info kama Jf.
Wadau mwenye info kamili atujuze kwa sasa utaratibu uko vipi kuzika mtu aliyefariki kwa covid-19.
Ifahamike kwa sasa vifo ni vingi sana uraiani na vina ukaribu na matatizo ya kupumua.
Nawakalishe mimi Idugunde
Habari wanajamvi,
Kuhusiana na janga hili la Corona sasa tumeanza kujionea tena kuwa kila kiongozi wa sehemu anapiga marufuku mikusanyiko isiyokuwa ya lazima. Lakini ukiachilia mbali hili pia tunajionea kuna mikusanyiko inaendelea lakini inahisiwa siyo ya lazima. Sasa kumekuwa na Mkanganyiko...
Je haya mawazo ni sahihi au kuna sehemu nimekosea nipeni mwongozo.
Mawaziri na Spika: Waziri mkuu, mawaziri wa wizara, spika wa bunge na naibu spika wa bunge wanatakiwa wasiwe wabunge.
Matokeo ya uchaguzi Mkuu: Matokeo ya uchaguzi mkuu yahojiwe mahakamani.
Tume huru ya uchaguzi: Kuwepo na...
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu.
Naombeni ushauri kwa hili jambo ingawa ni la kiofisi ila naamini humu nitapata muongozo au mawazo yatayoniongoza kufanya maamuzi sahihi.
Ipo hivi, nipo kwenye kampuni ambayo inajihusisha na mambo ya afya narudia tena (a profit kampuni) kwasasa nimepewa...
Nina uhitaji wa Subwoofer kwa matumizi binafsi (nyumbani). Kama mnavyojua siku hivi kuna kampuni nyingi au aina kedekede za kichina zinazotengeneza hizo bidhaa.
Hivyo naomba mwongozo kwa wataalamu na wazoefu. Je, ninunue/nichukue ya kampuni gani,- ambayo ni imara na ina muziki wa ukweli...
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe...
Kwa mujibu wa Shirika la Afya duniani (WHO), Mtoto anapaswa kuanza kunyonyeshwa saa moja baada ya kuzaliwa hii husaidia maziwa ya mama kuweza kutengenezwa kwakuwa mtoto anapowekwa kwenye kifua cha mama huchochea Hormones zinazozalisha maziwa.
Pia husaidia mtoto kupata choo cha mwanzo ambacho...
Ni swali ambalo frankly speaking sina jawabu lake la moja kwa moja.
Wabobezi wetu wa masuala ya Constitutional Law watusaidie. Alternatively, kama kuna uzi wowote humu jamvini unaotoa mwongozo katika hili please share.
Mimi na wenzangu kadhaa tumedhamiria kwa dhati kabisa kufungua kesi dhidi...
MUHTASARI
Kulingana na Kituo cha Utafiti wa Udongo cha Mlingano cha mkoani Tanga chini ya Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, Tanzania ina jumla ya Kanda Kuu saba (7) za Kiutafiti wa Kilimo. Ndani ya kanda hizo kuu saba, zipo Kanda ndogo 64 za kiikolojia zinazoonyesha aina ya mazao yanayoweza...
Katika enzi hii ya teknolojia, kila siku tunaona mabadiliko mapya katika maendeleo mapya. Kasi ya kuvutia tunayoona, haswa katika teknolojia ya mawasiliano inashangaza sana. Na hapa ndipo 5G inapoanza kucheza. Lakini kabla ya kuingia kwenye mada, lazima tuelewe ni nini 5G kwanza. Kwa hivyo, bila...
Mimi nlikuwa ni mwanachuo wa chuo Kikuu huria lakini nilipofika mwaka wa pili niliandika barua ya kusitisha masoma na kuondolewa kabisa kwenye system ya chuo hicho ili niweze kujiunga na vyuo vingine.
Lakini cha kushangaza hadi leo sijafanikiwa kuondolewa na hivyo nashindwa kujiunga na chuo...
Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
TCRA imetoa mwongozo wa maudhui ya vipindi vya redio na televisheni kipindi cha maombolezo ya kitaifa ambapo vipindi vinatakiwa kuwa vya maombolezo na vituo vya kijamii na ki-wilaya vijiunge na TBC au kituo chenye leseni ya kitaifa ili kuendelea kuwahabarisha Wananchi.
Wakuu,
Naomba Mdau yoyote mwenye User Manual (Mwongozo wa Mtumiaji) gari ya aina ya Toyota Probox anisaidie. Nahitaji soft copy ya mwongozo huo. Waweza attach hapa.
Asante
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na
1.wajumbe wake
2. Ikidi
3. Meza kuu wanakaa watu gani
4. Linatakuwa lifanyike Mara ngapi kwa mwaka
5. Mwenyekiti wake anapatikanaje
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa muongozo kwa watumiaji wa Magari ya mwendokasi ili kujikinga na maambukizi ya #CoronaVirus.
Wasafiri wanaotumia magari ya mwendokasi wanatakiwa kuvaa barakoa hususani asubuhi na jioni, kukaa umbali wa mita moja kati ya mtu na...
Kwa mujibu wa chama cha madaktari nchini MAT kimeandaa jopo la madaktari bingwa ili kutoa mwongozo namna wagonjwa wanaoumwa mfumo wa kupumua wapate tiba ya namna gani.
Kwa mujibu wa Dk Mwaibambe ni kuwa mwongozo huo utaelekeza ni dawa zipi ambazo mgojwa aliyeathirka mfumo wa kupumua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.