Acheni janjajanja za kisiasa
Acheni janjajanja za kisiasa na badala yake jikite katika masuala ya msingi na maendeleo ya wananchi. Epusheni siasa za matusi, ugomvi wa kibinafsi, na uzushi ambao hauchochei maendeleo na umoja wa taifa. Jitahidini kuwa wabunifu, na wajibika katika kuwasilisha...
SERIKALI YAZINDUA MWONGOZO WA USHIRIKIANO WA WADAU KATIKA UPELELEZI, URATIBU NA KUPAMBANA NA MAKOSA YAO
Katika kupambana na vitendo vya ugaidi na utakatishaji fedha haramu, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Katiba na Sheria imezindua mwongozo wa ushirikiano wa wadau...
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani?
Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
Kwa wenyeji na wazoefu wa maeneo ya Kibamba nataka kuhamia huko. Naomba mnisaidie kufahamu ni Kibamba ipi nzuri kwa mtu anaeishi maisha ya kibachela na rahisi kwenda na kurudi katikati ya jiji.
Pia namna gani naweza pata chumba au nyumba ya kupanga na bei zake zipoje, kwa nyumba standard iliyo...
Serikali imejaa ujanja yaani unataka msomi wa degree umgeuze msukule eti awe mchuuzi?
Hizi rasilimali tulizonazo zinabidi. Kulisaidia Taifa kwa watu wote .
Hizo Kazi za bodaboda wapeni watoto wenu huko CCM wavunjike Miguu wawe walemavu wapate Tb n.k yaani hamna Huruma Wala utu.
Habari ya wakati huu wakuu.
Ninaomba maelekezo na mwongozo kwa vibali ambavyo mtu/kampuni inapaswa kuwa navyo ili iweze kufanikisha kusafirisha mbao/magogo kwenda nje ya nchi hasa Kenya na nchi za Asia.
Pia kama kuna mamlaka nyinginezo zozote ambazo nitapaswa kupita kabla ya chochote ili...
Kwa wale wanaohitaji kufaham kinagaibaga biashara ya madini kitabu hiki kitakupa mwanga wa wa kujua yafuatayo
1.Aina za madini na mahali yanapopatikana nchini Tanzania
2.Bei ya madini sokoni na yanauzwaji
3.Jua namna ya kupata leseni za uchimbaji wa madini , ununuaji wa madini na usafirishaji...
Habari wadau?
Naomba kufahamishwa wapi vinapatikana vifaa vya kujenga banda la greenhouse kwa bei nafuu. Pia nina hitaji la kuandaa project ya ukubwa wa robo acre.
Ninaomba kama naweza kusaidiwa kujua gharama za kuanzisha na kuendesha mradi. Lengo ni kufanya shughuli hii katika maeneo jirani...
Ni matumaimi yangu wote wazima.
Naombeni kujuzwa kwa kawaida inachukua muda gani kutoka siku ulipeleka barua ya posa ukweni mpaka siku ambayo utatakiwa kurudi kutoa mahari? Kama hakuna muda rasmi basi ile kibishi bishi unaweza ukawapiga kalenda wakwe kwa muda gani?
Huyu binti siku moja...
Na Mwandishi Wetu, WMJJWM, Pwani
Serikali imezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Uanzishaji na Uendeshaji Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi wenye lengo la kuleta ufanisi wa utekelezaji wa majukwaa haya ikiwa ni pamoja na kuyafanya yajulikane ngazi zote hapa nchini.
Akizungumza katika uzinduzi...
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Anne Makinda amesema asilimia 93.45 ya kaya zote Tanzania zimehesabiwa hadi kufikia leo Jumatatu Agosti 29, 2022 saa 2 asubuhi.
Makinda amesema hayo jijini Dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Sensa ya Watu na Makazi.
Sensa ya Watu na Makazi ilianza...
Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya..
Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao.
Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
Nimejaribu kupick European Cars ambazo watu wanazinunua sana.
Kwa bahati mbaya sina story nyingi za kununua Mercedez Benz, japo nilitamani ningeweka maelezo ya C class na E class sababu ndio gari za M/Benz watu wanazinunua sana.
Gari ambazo nimezilenga hapa ni gari ambazo zimezalishwa kati ya...
Habari wana JamiiForums, naomba msaada wa mawazo kwa aliyewahi kusafirisha nyanya kutoka Moshi, Iringa, Makambako, e.tc kuleta Dar es Salaam naomba anipe mwongozo wa chochote anachokijua kuhusu hii biashara. Natanguliza shukrani zangu.
Wadau humu ndani. Nilikuwa nataka kujua kwa wale waliofanya interviews za ICT Officer DUCE tarehe 05/01/2022 mifumo ya maswali ilikuwaje kwa Kada za Business Analysts, Network Administrator, System Design and Development na User and Support kwa paper za written.
Siyo mbaya kwa waliofanikiwa...
Rafiki yangu mpendwa,
Huwezi kutoka nyumbani kwako na kwenda popote kama huna mwongozo unaoufuata.
Hata kama haujauandika mahali, unajua kabisa utapita wapi na wapi ndiyo ufike kule unakotaka.
Na hata unapokuwa njiani na kukutana na njia nyingine, hutahangaika nazo kwa sababu unajua njia...
Ndugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani (New York) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.
So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.