mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. David Harvey

    Bora kuoa wa dini yako,mchana wa leo nimenyimwa mzigo

    Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma. Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu. Daaah inauma sana chakula unakiona...
  2. matairi Bora ya scania

    Karibu wote tuwahudumie mzigo upo wa kutosha

    Habari zenu wapendwa, Karibu ujipatie matairi ya aina mbalimbali Kwa bei ya punguzo la mwezi wa Ramadhani bei zetu ni nafuu kabisa . Matairi ya brands mbalimbali na size zote yanapatikana mikoani tunatuma pia Dar es salaam, Tanzania tunafanya delivery Kwa uaminifu mkubwa. Location Vingunguti...
  3. Kikwava

    Ushauri: Maswala ya Elimu yote kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vya ualimu yawe chini ya Wizara ya ELIMU, TAMISEMI wapunguziwe mzigo.

    Husika na kichwa habari hapo juu; Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake. Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
  4. The Watchman

    Pre GE2025 Wananchi Arumeru Magharibi wasema mbunge wao ni mzigo, ameshindwa kutekeleza ahadi ya ujenzi wa barabara

    Wananchi wa Kiranyi wilaya ya Arumeru wamefunga barabara kwa zaidi ya masaa matatu kwa lengo lakufikisha ujumbe kwa serikali, kutokana na ubovu wa barabara hiyo kwa muda mrefu huku wakilaumu MBUNGE wa eneo hilo kuwa mzigo kwa wananchi hao kwakushindwa kutekeleza ahadi yake ya Ujenzi wa Barabara...
  5. Crocodiletooth

    KERO Prof. Mkenda suala la chakula Shuleni, limekuwa mateso na mzigo kwa Wazazi / Walezi, bora kipangwe kiasi fulani cha fedha kwa wote

    Mara kadhaa Serikali imesisitiza kuwa suala la malipo ya michango ya ziada ni suala la makubaliano kati ya Shule na Wazazi au Walezi wa Watoto, hilo linaangukia pia kwenye suala la chakula kwa Wanafunzi, ambapo utaratibu ulivyo umekuwa kero kwa wengi wetu. Utaratibu ulivyo kwa sasa kila shule...
  6. Yoda

    Hata kama Wapalestina hawakubaliki Marekani hili la mzigo condom wamesingiziwa.

    Katika kufafanua zaidi kuhusu kusitishwa kwa msaada wa Marekani chini ya utawala Trump Msemaji wa Ikulu ya Marekani akizungumza na vyombo vya habari amesema walipofanya ukaguzi wamekuta Gaza imepewa $million 50( takribani bilioni 100Tsh) kwa ajili ya kununua Condom. Huu ni uzushi mkubwa sana...
  7. B

    Meli imeshusha mzigo, imeelekea Mombasa na kushusha na sasa imeishafika india! Siku 11, bado mzigo haujatoka bandarini, kisa mfumo wa TRA

    Salam wanabodi. Hakika haya ni maajabu, inawezekanaje meli iliyoshusha mzigo Bandarini siku 11 nyuma, ipitie Mombasa na hadi sasa imefika India, lakini bado mzigo wangu haujatolewa bandarini? Kila nikiuliza agent (BE FORWARD naambiwa kuwa ni tatizo la mfumo wa TRA. Haya ndio Mabadiriko chanya...
  8. BabaMorgan

    Mke wangu ni mpambanaji anafanya biashara mara nyingi anasafiri mikoani kufuata mzigo.

    Kama mwanaume inabidi ujisikie aibu kutoa statement ya namna hiyo sisi graduate wa Cuba tunakuchora na kukuonea huruma jinsi mali yako inavyotafuna bila huruma na wafuatao. 1. Supplier 2. Dalali anayetafuta mzigo 3. Transporter 4. Dalali anayetafuta wateja 5. Mteja Kila trip ambayo mkeo...
  9. mr.general

    NATAKA KUAGIZA MZIGO CHINA,ILA NASHINDWA KUFANYA MALIPO

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo. natanguliza shukrani za dhati
  10. Mganguzi

    Moto unaoiteketeza California ingekuwa Tanzania lawama angeangushiwa Rais na Serikali yake. Tujifunze kuiamiani serikali, haiwezi kuzuia kila janga

    Karma ama moto kutoka mbinguni usiozuilika unaishangaza Marekani yote na ulimwengu mzima! Wanasema ni moto wa nyika lakini hapana California inachomwa na Mungu ! Jitihada zote zimegonga mwamba ujuzi na uweledi wote umefika mwisho sasa moto umesambaa Kila mahali! Magorofa makubwa na mall pamoja...
  11. M

    TP Mazembe wameingia kwenye mfumo, kesho mnaobet wekeni mzigo wa kutosha

    Mitego ya Utopolo ilikuwa mingi Sanaa, mingine wameikwepa kwa kusaidiwa na wakongo wenzao waliopo hapa nchini, mitego mingine wamesaidiwa na waliokuwa wachezaji wao wa zamani ambao ni raia wa Congo. Lakini Mazembe wameingia kwenye mfumo wa Gusa Achia Twende Kwao. Miiba wameikanyaga tayar...
  12. M

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
  13. Rorscharch

    Mfumo wa Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi: Suluhisho la Kupunguza Mzigo wa Kodi kwa Wananchi

    Nilipata bahati ya kufanya mafunzo ya vitendo (field) Halmashauri ya Jiji la Mwanza mwaka 2012, ambapo nilikutana na Muisraeli aliyekuwa sehemu ya exchange program kati ya halmashauri yake na Jiji la Mwanza. Alionyesha mshangao mkubwa jinsi halmashauri zetu zinavyoshindwa kupanua vyanzo vya...
  14. B

    Mzigo mpya wa Azam.

    Hapa Azam wameupiga mwingi. Sio kwa gari hizo. Aisee......!
  15. Kibosho1

    Kwa jicho la 3 ndoa za Kikristo ni mzigo kwa waume

    Ule msemo wa kosea kujenga sio kuoa huwa unakumbukwa sana kwenye ndoa yenye changamoto na changamoto hiyo ukute ni ya mwanamke utajuta na kuomba poo. Ukishafunga ndoa ni mkataba, mkataba huo unatenganishwa na kifo na uzinzi tu. Mambo mengine yoote nihayawezi kuvunja ndoa. Ukiwa mume mkeo...
  16. Roving Journalist

    Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  17. Rorscharch

    Hitimisho la Uchunguzi: Jiografia kama Sababu Kuu ya Kudumaa kwa Maendeleo ya Afrika (tumtue kidogo mkoloni mzigo wa lawama)

    Kwa yoyote ambaye amekuwa akifuatilia makala zangu za hivi karibuni, bila shaka ameona kwamba nimekuwa na mtazamo tofauti kuhusu sababu za kudumaa kwa maendeleo ya bara letu. Ingawa ukoloni mara nyingi hupewa lawama kubwa, uchambuzi yakinifu wa kihistoria na kijamii unaonyesha kwamba hata bila...
  18. Rorscharch

    Umewahi kutana na mtu ambaye mawazo yake muda wote yamekaa kingono tu?

    Katika safari ya maisha, mara nyingi hukutana na watu wa tabia tofauti, kila mmoja akiwa na changamoto zake. Wapo watu ambao mawazo yao yanaweza kuelekezwa kwenye masuala maalum kama kazi, familia, au maendeleo binafsi. Lakini pia wapo ambao, kutokana na sababu mbalimbali, maisha yao huzungukwa...
  19. TODAYS

    Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

    Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii. Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo. Haya maisha yetu yanafikirisha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
  20. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
Back
Top Bottom