Askofu mkuu wa Kanisa la KKKT nchini Dr Shoo ameiomba serikali ya Rais Samia kuwapunguzia kodi katika shule na hospitali za taasisi za kidini kwani mxigo wa kodi ni mkubwa na umewaelemea.
Askofu Shoo ametoa ombi hilo mbele ya waziri mkuu mh Majaliwa katika ibada ya kumuweka kitimi Askofu Mbali...
Tunalojukumu lakumsaidia Rais kuboresha utendaji. Lakini pia tunalo jukumu lakubainisha Mawazi na Manaibu Waziri wasio faa ili kuwafanya wakaze buti au kumfanya anayeteua kumtambua nakumweka kando.
Kwa kuanza natamani Waziri wa Sheria Kabudi abadilike nakufanya kazi kitaalamu kuliko...
Wakuu habari za kazi nina shamba langu mahali baada ya mavuno, nina ndoto ya kununua gari ya mzigo isiyozidi tani 3 ambayo itaniingizia kipato kwa kubeba mazao ya wakulima na mazao yangu kupeleka sokoni.
Gari za mizigo sizijui mwenye kuzifahamu naomba msaada anitajie, hata kuweka picha na sifa...
Unatongozwa unakubali unatoa ahadi vizuri, siku ya kwenda kutoa mzigo ndio unaanza kupiga mizinga, hii ni tabia gani?
Kwa nini usiseme mapema kama unauza papuchi mtu akakukatia chako alafu mkamalizana? Huu sio uungwana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.