Waziri wa Afya wa Kenya amethibitisha kuwa kuna meli yenye shehena ya Radioactive imepita Kenya na inaelekea Tanzania. Je serikali ya Tanzania inataarifa ya meli hiyo?
====
Kenya secures ship suspected to be carrying radioactive substances
Saturday, December 18, 2021
Health Cabinet...
1. Hakabi akipoteza
2. Anajiona Messi tayari
3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira
4. Mchoyo (Mbinafsi)
5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija
6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza
7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea
Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
Wakuu!
Habari ya majukumu.
Naomba msaada wa kampuni ya usafirishaji kwenda Pakistan, gharama kwa mzigo wa nusu kilo, iwe kwa ndege au meli. Mzigo ni iliki.
Natuma sample nusu kilo, akiipenda, nitatakiwa kumtumia kama kilo 100+.
Natanguliza shukrani.
Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali"
======
Waziri wa Elimu, Prof...
Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
Ni kweli kutiwa mimba kwa mwanafunzi au msichana chini ya miaka 18 inamnyima fursa huyo binti ya kusoma na kutengeneza maisha yake ya baadae!
Leo waziri wa Elimu Joyce Ndalichako anatarajiwa kutoa waraka wa kuwaruhusu mabinti waliotiwa mimba kuendèlea na masomo! Je nauliza maswali yafuatayo...
Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia.
Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside.
Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas...
Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini.
Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi.
Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila...
||FY2021|22 Rais Samia kutoa Jumla ya Trilioni 11 kulipa madeni ya nyuma yaliyoaachwa na mtangulizi wale,
===
Rais Samia Suluhu Hassan kimyakimya ameendelea kulipa madeni mbalimbali kwa makampuni binafsi au taasisi.
Kwakuanzia tu mwaka huu pekee Rais Samia analipa madeni yenye thamani ya...
Pole na hongera kwa kutimiza majukumu ya nchi.
Mheshimiwa rais kilio chetu wakulima ni kile kile.
Pembejeo zipo juu sana mama hasa mbolea na inazidi kupanda kila kukicha mpaka kufikia sasa.
Urea imefikia laki na elfu ishirini. Mama hii ni bei kubwa sana kwetu wakulima wadogo.
Mheshimiwa...
Kumekuwa na mijadala iliyoibuka haswa kwa hizi timu zetu kongwe huku kila upande wakijaribu kutumu kuwa Refa alipendelea timu kubwa.
Mbaya zaidi ni pale hata wale wenye nafasi ya kusikilizwa au kuaminiwa kama Makocha, nao wakiingia kwenye mkumbo huo.
Inashangaza na kuhuzunisha kwa Mtu Mzima...
WapambanaJi..
Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote).
Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla,
Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Sijui sana kuhusu awamu nyingine za uongozi, lakini nimemuona Kikwete, nimemuona Magufuli, na sasa namuona Samia.
Kati ya Marais hao, siajona aliyepitia mambo mazito ndani ya muda mfupi kumzidi Samia:
1. Kuchukua uongozi kufuatia kifo cha mtangulizi wake.
2. Suala la Corona. Huu umekuwa...
Ni saaa nzuri za kisasa za ainatofautu
Zinapatikana kwa bei na fuu
Pia mzgo unaweza kutumwa
Au kuletewa popote ulipo
Kwa galama nafuu wai sasa
Mawasiliano ni 0719257400
Niko dar maeneo ya Yombo Dovya
Habari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.
Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni...
Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali.
Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.