Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola.
Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola.
Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
Pale Manchester United kuna mchezaji ambaye amekua akishutumiwa na kupewa lawama nyingi kutokana na ufanisi wake uwanjani Harry Maguire hivyo hivyo kwa Waziri January Makamba ambaye wizara yake iimepoa mithili ya mchuzi wa juzi usiokua na nyama.
Habari zenu wakuu,
Nilikuwa naulizia kama kuna kituo au stend ya basi linalokuja Mbeya hapo kariakoo ili iwe rahisi kutuma bidhaa kwenda Mbeya.
Mizigo ni kava za simu
Habari wadau!
Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde?
Msaada jamani
Jamani mimi niliagiza mzigo kikuu nawanasema upo tayari Dar muda wowote utatumwa mkoani niliko. Ila naona kimya hadi saizi. Anaejua anielekeze nifafanyaje
Hellow wakuu,
Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote,
Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu...
Habari zenu wakuu niliagiza parcel kupitia aliexpress na mzigo unaonesha umesha wasili kwenye destination country
shida inakuja nilikurupuka kuagiza mzigo kabla ya kuwa na sanduku la posta je naweza kuupata kweli mzigo au ndo imesha kula kwangu?
Naomba msaada wa ufafanuzi juu ya hili wajuzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika maadhimisho ya 'Siku ya Wanawake Duniani', Zanzibar, hivi ni baadhi ya kauli zake:
"Tunajua kwamba wanawake wengi wanajishughulisha na biashara ndogondogo ambazo hazipo kisheria na hazina kanuni, na sasa tunataka...
Habari wana mzengo!
Nafanya biashara za kuagiza laptops, ipad, camera mitambo tools machines magari ,spare za magari ya kukata, Generators na nk , kama unataka kimoja wapo kati ya vitu nimetaja hapo juu, nipe ordar nikuagizie kwa pesa zangu mzigo ukifika unakuja kulipia na kuchukua mzigo wako
Dubai ni mji wa kiv=biashara ambao watu kibao wanaenda kufata mizigo yao na kuiuza hapa bongo.
Naamini kuna wazoefu humu wengu wanaofata mizigo huko Dubenga, tunaombeni ushirikiano.
Binafsi nimecheki videos mitandaoni za wahindi wengi na wapakistani wakippategemea sana Dubai kwenye kujumua...
Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai NATO na Marekani wanatania tania lakini pia Troops zinamiminika Ukraine kwa upande wa Nato pia...
Waziri Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali za Rufaa kuboresha huduma ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa Muhimbili, Amesema hospitali za kanda, rufani, mikoa na wilaya huwa wanawahamisha wagonjwa wenye matatizo wanayoweza kuyatibu kwenda Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH).
Agizo hilo alilitoa...
Habari za muda wakuu.
Hapa nimepata fursa nzuri kidogo ambayo natarajia kuifanya lakini sitaki kukurupuka.
iko hivi , kuna rafiki yangu yuko canada nimemwomba anitaftie computer for parts(spare) kwa bei ya chini kwasababu kule vitu ni rahisi kidogo na akishazipata azipack halafu tuangalie...
Caroline Nassoro
Vyombo vingi vya habari vya nchi za Magharibi pamoja na baadhi ya wanasiasa katika nchi hizo wanadai kuwa, China inaibebesha Afrika mzigo wa madeni, na kwamba inaendeleza ukoloni mamboleo kwa nchi hizo.
Tukiangalia kwa undani, uhusiano wa China na nchi za Afrika ni wa...
Mzigo umefika katika ofisi za FedEx local facility, cha ajabu tracking inaonesha utakua delivery tar 4 mwezi wa pili, zaidi ya siku kumi na tano mbele, nami nataka nisafiri, namba za simu hawapokei, naomba mwenye uzoefu anipatie
Nimetembea Tanzania sehemu nyingi kabla ya Magu (RIP) kuwa Rais kulikuwa hakuna barabara za lami, leo hii kila mahali hadi Mitaani lami, lakini wanasema ni Awamu ya 4 ilijenga, kwa nini wanadanganya na kulazimisha uongo?
I mean, kuna mambo mazuri tu yalifanywa na Awamu ya 4 kama UDOM au daraja...
Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua kupitia kikuu pekee...
Nahisi namna ya kuagiza sio shida sana maana naweza kusoma kwenye tovuti yao na...
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira.
Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini?
Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana...
Nimesikia kuwa serikali ya Tanzania ina mipango ya kupanuka kidogo kuongeza Wizara moja au mbili hivi. Serikali yoyote kubwa sana yenye wizara nyingi huwa siyo mzigo tu kwa nchi, bali pia ni serikali ambayo huwa haina ufanisi kutokana na baadhi ya maeneo ya utendaji kuingiliana. Kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.