Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14.
Nipo Ikungi Singida muda huu nilikuwa napita kwa wakulima natafuta alizeti na mahindi, ni kweli mashambani...
Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani.
Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu.
Hili ni tatizo kubwa kwasasa...
Hivi jamani hii Serikali ya "Anayeupiga mwingi" haitambui kuwa wananchi wanateseka na hali mbaya ya maisha? mbona hatuoni juhudi za makusudi za kuwapunguzia mzigo mzito wa maisha ikiwemo mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa muhimu kama chakula na vifaa vya ujenzi?
Badala ya kuwapunguzia wananchi...
Mtandao wa Starlink umeanza kupiga kazi Rwanda tena porini huko vijijini.
Mimi kijijini kwetu mtandao ni shida, sasa Starlink ije niipeleke bush niwe naenda kwa uhuru.
Huh Nina washkaji home dili ikija wanapindisha sera
Inawaumiza napopiga hela
Wote wanangu bado sijawahi wapinga jambo
Hata wakificha Cargo Bado nawapa hi ‘cause we best friends
Wapo wavivu wapatwe na dhiki
Wako hoi hawatoboi hata uwape matrick
Ni marafiki na wanaita wanawake ma-bitch
Utadhani...
Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
Tanzania tunatafuta vitu vya kusaidia kudumisha muungano wetu kila siku. Hakuna haja Wala faida ya muungano kwa Tanganyika na Zanzibar kuwa na ligi mbili tofauti. Hata kule Spain Barcelona ni timu ya visiwani lakini Iko kwenye ligi ya Spain.
Mashindano ya mapinduzi cup Yana lengo la kudumisha...
Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar.
Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu, kama unauza vanilla grade one (kuanzia sentimita 13 na kuendelea) njoo PM kwa mazungumzo zaidi.
Iwe Dar es Salaam.....
Call/Whatsapp: 0710535327
Neno mzigo Lina maana nyingi sana....
Mzigo - pesa ....Utasikia jamaa ana mzigo..
Mzigo - mchepuko...Utasikia Yule dada mzigo wa jamaa...
Mzigo- makalio makubwa ...Utasikia Yule dada ana mzigo....
Mzigo ..-kifurushi...
Mzigo - mtu asiekuwa na faida..
Utasikia jamaa keshakuwa mzigo Kwa familia...
Kayaandika haya
KILA KAZI INA GHARAMA YAKE!!
Acha tulipe gharama ya tulichoitiwa.
NAKUPENDA MPAKA PUMZI YANGU YA MWISHO MKE WANGU.
Hili nalo litapita🙏🏿
TUOMBEENI NASI TUNAOMBA.
MTETEZI WETU YU HAI🙏🏿
Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya.
Mpango huu una lengo la kuongeza ufanisi miongoni mwa madaktari mbalimbali nchini Ukraine.
==========
Dutch Stichting Zeilen Van...
Kwema wakuu,
Nafanya sole distribution ya bidhaa zifuatazo kwenu wenye maduka ya bidhaa muhimu ama FMCG na hata Pharmacy.
1.Sabuni za Ariel size zote (35gm, 500gm,1kg, 1.5kg. 3.5kg)
2.Always sanitary pads aina zote. (Long, Extra long) Cottony Soft, Maxi Soft, Ultra.
3.Gillete Razors(Silver...
Anaandika, Robert Heriel
Angalizo; lugha itakayotumika inaweza isiwe nzuri. Hivyo Kama ni mwepesi WA mihemko basi unashauriwa kuishia hapahapa. Endapo utaendelea kusoma, na ukapata madhara yoyote ya kihisia au kisaikolojia basi sitakuwa sehemu ya lawama.
Nafahamu ili familia ianguke basi Mama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.