mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Sijwahi kuona waziri fix na mzigo kama huyu mchengerwa na tamisemi yake,maneno meeeeengi vitendo zero

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema mtumishi wa umma kwenye Mamlaka za Serikali za Mitaa atakayefanya kazi kwa bidii na uadilifu atamlinda lakini yule mzembe katika kazi hatasita kumuondoa kwenye nafasi yake. Mchengerwa ameyasema...
  2. Chakorii

    Ni kampuni gani kwa Moshi au Arusha naweza safirisha nayo mzigo kwenda Marekani?

    Habari wanajukwaa mko salama? Nina rafiki yangj yuko USA nataka kumtumia mzigo wake huko alipo, so naombeni msaada wenu wa kujuzwa kampuni ambayo naweza safirisha nao mzigo ukamfikia mhusika kwake. Natanguliza shukuran.👏
  3. Uwesutanzania

    Pandisha HISIA, Shusha MZIGO Tembea. Ni kama ushauri tu

    Ushauri wangu wa leo ni kwa wanamume tu. Ndugu yangu mwanamke wa kileo Ukifika au akija getoni kwako chakufanya ni KUPANDISHA HISIA, Shusha MZIGO tembea Hio ndio iwe kauli mbiu yako. Sio unaanza kuzuia hisia huku ukiisi kuna kunasehemu utamfikisha huko ni kujichelewesha tu, Mara sijui...
  4. Kariakooking1978

    Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  5. sky soldier

    Hawa vijana wanaovimba mtandaoni kwa maburungutu ya milioni 40 ni washamba wa pesa, Ili uvimbe kama don walau uringishie milioni 200

    Dar es salaam unakuta kijana ana coaster 10 na bado ukaonekana wa kawaida kabisa, ni tofauti na huko vijijini ama mikoani tayari umefika kipimo cha kuitwa tajiri. Shida inakuja kwa hawa vijana wageni wa jiji wanatokea vijijini ama mikoani walikokuwa wanapata attention ya kuonekana ni matajiri...
  6. ChoiceVariable

    Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  7. R

    Esther Bulaya: Sirro arudishwe aje kupambana na hali yake!

    Akichangia kuhusu ripoti ya CAG Esther Bulaya asema Sirro arudishe ambako anahumu kama Balozi aje kuwajibika kwa ubadhirifu aliofanya. Bulaya amesema mwaka 2018-21 Inspekta Jenerali wa Polisi alikuwa Simon Sirro, ambako kwenye mfuko wa Tuzo na Tozo na kufa na kuzikana katika jeshi la polisi...
  8. Morning_star

    Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  9. sky soldier

    Uliwahi kukamwatwa kwenu unavusha?

    Katika harakati za ujana nimevusha round mbili nakuvushwa round moja. 1: Siku ya kwanza na vusha mother alikua kasepa kikazi na dingi akaona acha akazurure zake kijijini kumdekea mama yake, msela nimeachwa zangu home kama sungu sungu nalala gheto la nje machalii ndani. Zoezi lilikua hivi...
  10. N

    Makato ya 2% Chama cha Walimu Tanzania ni mzigo kwa walimu

    Kitendo cha mwalimu kukatwa 2% ya mshahara kabla ya makato kwa ajili ya chama 'kisicho na msaada' ni mzigo mkubwa sana kwa mtumishi. Kumkata mtu zaidi ya laki mbili kwa mwaka, ni kuongeza sonona tu kwa mwalimu huyu wa kijijini ambaye hatokuja kusaidiwa chochote na chama zaidi ya "t-shirt ya mei...
  11. B

    CHADEMA wakaneni hadharani chawa hawa wa mitandaoni

    Huu ni ushauri wa bure kwenu kama mdau. Niliwahi kuandika uzi huu pia: Lissu rudini ubaoni, Majukwaani hakutamng'oa CCM Humo pia kitengo cha Habari na Propaganda kiliangaziwa ambayo haya yaliwekwa wazi: Kulikoni kuwaendekeza watu hawa ambao kwa sasa wanapigania utengano, badala ya...
  12. A

    Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

    Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu. Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders. Tunaomba Mahakama immulike...
  13. Kaselele

    Nimepokea mzigo wa kwanza kutoka AliExpress

    Wakuu habari. Baada ya kusoma ule uzi ambao jamaa alielezea jinsi ya kuagiza smart watch kutoka AliExpress na mimi nikasema wacha nijaribu. Kuna simu yangu ilivunjika kioo nilipouliza dukani nikaambiwa kinauzwa laki na nusu. Nikasearch AliExpress nikakuta kinauzwa 58,000. Niliweka oda na...
  14. B

    Misafara ya viongozi ni mzigo kwa wananchi

    Tumezowea kuyaona haya Nigeria: Kumbe na kwetu napo hali ingali ni hiyo hiyo. Umeme wa uhakika tuupate wapi sisi kama haba na haba tungali hatujui hujaza vibaba?
  15. G

    Mzigo wako mbona umekuwa mdogo?

    Wasaalam! Kutokana na kuwa jobless kulana ndio imekuwa sehemu ya kupunguzia mawazo. Leo ikanibidi nimtafte X wangu mmoja angalau tupashe kiporo, tukapanga mida ya saa 10 atakuja geto tufanye yetu. Shetani hakuniangusha saa 10 katimba geto tukaanza kufanya yetu katikati ya mchezo akanambia...
  16. KENZY

    Hakuna mzigo mgumu kuubeba kama huu!!

    Furushi la nyege ni sawa na kubeba gunia la misumari inayokuchoma mabegani au unaweza kusema ni sawa nakutembea na mkongojo wa muwa anytime anyplace you can nyamnyam!😂 Wale wa no fap mlifika wapi? Kama ni mbio nafikiri zilikuwa ni mbio fupi kuliko. Hamu inakaba, mwili unataka, akili haitulii...
  17. R-K-O

    Kiuchumi kukaa kwa ndugu ni mzigo anaaona aibu kukwambia uutue. Mageto ya elf 10 hayapo kwa bahati mbaya. Tafuta shughuli yoyote halali ujitegemee

    Haihusiani na kwenda kumjulia ndugu hali kwa wiki moja ama mbili, haihusiani na kukaa kwa ndugu ukienda mkoa wake kikazi. Walengwa ni watu wazima miaka 24+ wenye kuweza kufanya shughuli yoyote halali. INAVURUGA BAJETI - Ndugu yako kapanga nyumba anaanza kujibana ajenge kwake ila wewe unaenda...
  18. P

    Kwa hili la mzigo huu, wacha tu bandari ibinafsishwe

    Nina konteina kutoka china, leo ni wiki ya pili tangu meli imefika dar port ila mzigo haujashushwa, sasa hapa kuna nini? Zaidi ni tubinafsishe tu hii bandari ili tulete maendeleo hakuna njia wala namna Wanaopinga vaeni viatu vya mfanyabiashara kwanza halafu ndio uje na point, tena ziwe fupi fupi
  19. aka2030

    LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  20. BRN

    Mzigo wa Jezi za Simba umeshafika

    Timu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Twitter imetoa taarifa ya kuwasili mzigo wa jezi za timu hiyo kwa msimu 2023/24. "Mzigo wa Jezi Mpya za msimu wa ligi 2023/24 tayari umewasili Tanzania tena wa kutosha na zitaanzwa kuuzwa mara tu baada ya kutambulishwa rasmi mwanzoni mwa Julai" Mwisho wa...
Back
Top Bottom