mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HONEST HATIBU

    Usibebe Mzigo Peke Yako

    Usibebe Mzigo Peke Yako 1. Usihifadhi hisia zako mbaya moyoni bila kushirikisha mtu. 2. Tafuta msaada unapohisi kuzidiwa na matatizo. 3. Ongea na marafiki au familia unapokutana na changamoto kubwa. Ukweli ni kwamba... 1. Kunyamaza na kubeba mzigo peke yako kunaweza kuathiri afya yako ya...
  2. M

    Serikali ianzie hapa, kupunguza matumizi yasiyo ya msingi ili kubana matumizi. Ili kutompa mtanzania mzigo mkubwa

    Serikali tunawashauri mapema. Msije kusema hamkushauriwa kwenye upande wa matumizi ya fedha za wananchi bila mpango mzuri. Kwanza futa post za wakuu wa wilaya na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama atachukua DSO, Futa post za wakuu wa mikoa na majukumu ya uenyekiti wa ulinzi na usalama...
  3. Tajiri wa kusini

    Miaka 63 ya uhuru Bado tunatumia katiba ile ile ya mkoloni. Tumlaumu nani? Nyerere au waliomfuatia?

    Viongozi wengi wa waAfrika ambao Nyie mliwaita freedom fighters wengi walipigania uhuru kwa manufaa yao na familia pengine na koo zao Mimi Nina hakika na hilo hususani kwa hapa Africa mashariki labda kidogo Patrice lumumba na wengine wengi ila kwa Africa mashariki wengi walipigania kwa maslahi...
  4. Roving Journalist

    Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
  5. G

    Kihasibu Yanga wamepata faida iliyofichwa kwa kupandisha matumizi, Mfano ni kipengere cha mishahara ya bilioni 7.3

    kwa makadirio makubwa mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi kwa timu kuu, Yanga princess na vijana ni BILIONI 4 kwa makadirio ya juu, Timu kuu mishahara ni BILIONI 3 Wanaopata milioni 25 wawili Wanaopata milioni 20 wawili Wanaopata milioni 15 watatu Wanaopata milioni 10 sita Hao wengine...
  6. G

    MO alishatia Bilioni 20 kitambo na bado anaendelea kugharamika kwa mapenzi ya timu, ni wajinga pekee wanahoji nami nawaelimisha kuwatoa ujinga

    mnadhani hivi vyote vimetokea kimiujiza ? furaha tulizokuwa tunazopata hasa kimataifa mnadhani ni mpera umetoa zabibu ? Kufuzu robo fainali mashindano ya caf ishakuwa kawaida, timu kubwa kama al ahly zinaiheshimu Simba, Simba ni klabu ya 7 kwenye ranking za Afrika, wachezaji wa simba wana soko...
  7. Kaka yake shetani

    Mfumo wa ununuzi ardhi (TAUSI) kuna katabia ufanywa na wafanyakazi halmashauri zenu

    Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu. Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
  8. S

    Usimuulize nikufanyie nini ili uridhike, utaumbuka. Piga mzigo uwezavyo

    Basi mazee nikapata demu flan hivi mngoni. Kila nikinyoosha goti ametulia tu hatikisiki wala nini, ikabidi nimuulize nikufanyie nini ili uridhike, akacheka kidogo harlafu akanionesha kijiti cha uzazi wa mpango. Akanambia ili nimridhishe natakiwa nimpelekee moto taratibu sana, harafu nikisha...
  9. G

    Mnaosema kuna fixed matches kwanini hamtumii hela zenu zote, kukopa na kuuza mali zenu ili mpige hela kirahisi kwa uhakika mtajirike?

    tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ? Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
  10. PAZIA 3

    SoC04 Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro

    Bwana Yesu ASIFIWE .... Assalamualaikum...... Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
  11. M

    Usafirishaji mzigo mkubwa kutoka Mbeya kwenda Mwanza

    Wakuu habari.... Nahitaji huduma ya kusafirisha mzigo mkubwa kutoka mbeya kwenda mwanza tarehe 14 mpaka 16 may 2024 kama kuna mtu ana lori na ana safari ya mbeya mwanza ama yeyote anayehusika kusafirisha mzigo mkubwa kwa tarehe tajwa hapo juu naomba tuwasiliane kwenye namba hii 0758630294...
  12. Mwamuzi wa Tanzania

    Huyu mtoto alijifanya mjanja, pesa anataka mzigo anasema mpaka tuzoeane kwanza

    Mahusiano yana siku 3 nikamwambia Jmosi tuvunje amri ya 6 akasema mpaka nimzoee nijiridhishe kama ana tabia njema naye pia ajiridhishe ndipo tufanye. Hivi mtu munaishi mitaa tofauti muchunguzane tabia ili tu mupate kufanya tendo inawezekana vipi? Ingekuwa tumepanga kufunga ndoa sawa...
  13. M

    Michango ya Rambirambi za Misiba kwenye makundi ya Whassap imegeuka mzigo kwa wachangiaji

    Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi unakuta lina wastani wa watu 20 mpaka 50 na mengine yanafika watu 100. Katika makundi haya, ndani ya...
  14. D

    Kama una mzigo mzuri wa NYANYA CHUNGU njoo pm tufanye biashara

    Salam! Habari za jioni wakulima popote pale mlipo,kichwa cha habari kinajieleza vizuri. Mwenye mzigo wa nyanya chungu tuwasiliane ili tufanye biashara
  15. Nyendo

    Ungekuwa na Mamlaka Serikalini, ungefanya nini kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumuongezea mzigo mwananchi?

    Kama ungekuwa na uongozi ngazi za juu, ungekuwa au kuja na mpango au mbinu gani ya kuikuza Tanzania kiuchumi bila kumtwisha mzigo wa kodi au makato mengine mwananchi? Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu mzigo wa kodi au tozo kwa wananchi, huku watu hao wakiwa na hoja ya Tanzania ni nchi...
  16. Genius Man

    Vitu gani vya muhimu unatakiwa uwe navyo ili kutuma au kupokea mzigo bandarini?

    Habari, Kwa wale wazoefu wa kutuma mizigo na kupokea kutoka nje ya nchi kwa njia ya bandari hapa Tanzania, hivi ni vitu gani ambavyo ni vya muhimu mtu anatakiwa awe navyo wakati wa kutuma au kupokea mzigo kutoka nje ya nchi?
  17. Intelligent businessman

    Kaa kimasta kijana, hisia sio mzigo mzuri kwako

    Unapokuwa mwanaume wa hisia hisia, ina maana ni rahisi kuumia, kupelekeshwa na chochote kilichopo mbele yako. Hata hisia za za kufanya maamuzi bora zinapokujia, zinakushinda na unajikuta una jiumiza zaidi. Japo akilini unajua ni mbaya lakini hisia zina nguvu na zinakushinda. Kwasababu upo...
  18. Sumbi Sanchez

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  19. Mr_kim_joh

    Kuna huu mzigo

  20. baraker88

    Gharama za Umeme ni Mzigo kwa wananchi wa Kipato cha chini

    Kuelekea Bunge la bajeti 2024/2025 naishauri serikali kupitia upya gharama za umeme ambazo zimekuwa na makato mengi sana na kuwa Mzigo kwa Raia. Haya na mengine mengi ndiyo mahitaji yetu sisi wananchi, wabunge punguzeni kusifiana na kutukuzana bungeni, elekezeni mijadala yenu katika kujadili...
Back
Top Bottom