mzigo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KingsStore

    Phone4Sale Tumeshusha mzigo wa Simu za Mezani na Simu nyingine zote pamoja na tablet

    Habari wakuu, Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini. Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi. Bei za simu...
  2. C

    SoC03 Kamba ya mbali haifungi mzigo

    Siku zote wahenga husema kamba ya mbali haiwezi kufunga mzigo na fimbo ya mbali haiwezI kuua nyoka, Vijana wengi hasa wa wakulima na vijana wa maskini hupata shida sana katika utafutaji wa ajira. Utakuta wazazi wamepambana kumsomesha kijana wao kwa kuuza mazao shambani na wengine hata kuuza...
  3. BARD AI

    Mrisho Gambo: Kuongeza Tsh. 100 ya Mafuta na Tsh. 200 ya Saruji ni kuongeza mzigo kwa Mwananchi

    Akichangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali ya mwaka 2023/24, Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo amepinga pendekezo la Serikali kuongeza Tsh. 100 kwenye kila Lita ya Dizeli na Petroli kwa maelezo tayari Mafuta yana Kodi 22. Akifafanua zaidi amesema tayari baadhi ya Kodi zinazotozwa kwenye...
  4. sky soldier

    Nawezaje kutumia mifumo ya computer kurahisisha kurekodi mauzo, madeni na kuhesabu mzigo

    Na ningependa zaidi wachangiaji wawe ambao wanatumia hizi system, sio ku google ama kusikia. Nipo mkoani nina stoo yangu kubwa ambayo ndipo mizigo inapofikia kutoka Dar kwajili ya kuitunza na pia huwa nauzia hapo kwa order kubwa kubwa. kuna mtu wa kazi ndie nimemweka hapo awe anafanya stock...
  5. S

    Rwanda kujengwa bandari kavu kwa ajili ya mzigo wa DP World, Kagame nae anaiuza nchi Rwanda kwa Mwarabu?

    Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai. Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
  6. sky soldier

    Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

    wanaokula bila kuhonga Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii...
  7. Infinite_Kiumeni

    Jiulize haya ili uweze kufanya maamuzi haraka na ujipunguzie mzigo wa mawazo (stress)

    Maamuzi ndio yanachagua tufanye nini, tufanye nini na maisha yetu, au tufanye nini na wapenzi wetu. Ili kufanya maamuzi kwanza inabidi kujiuliza; ~ Ni kitu gani nataka? ~ Kitanifanya nijisikiaje? ~ Je, kitanisaidia kusonga mbele? ~ Ni kitu gani ningependa kitokee? Ukishajipatia majibu ya hayo...
  8. Equation x

    Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  9. Equation x

    Nimeutua mzigo mzito jana usiku

    Nilikuwa kwenye mahusiano na dada mmoja mrefu (aliyenizidi), mwenye shepu yake. Kusema kweli, amejaliwa kwa kiasi fulani. Nimekuwa naye kwenye mahusiano kama miezi miwili hivi. Changamoto aliyokuwanayo, ili awe na hisia na wewe inabidi uwe mwepesi wa kutoa hela pale anapohitaji. Nimepambana...
  10. Infinite_Kiumeni

    Unapata shida ukitaka kutongoza sababu unajiwekea mzigo mkubwa, lakini ukitongoza hivi hutopata shida

    Kutongoza ni mchakato wa kujuana. Ni kitendo cha kuruhusu nyie wawili mjuane zaidi. Ndio maana hautakiwi kuacha kumtongoza mwanamke wako. Hata kama mna miaka mingapi pamoja. Mchakato unaohusisha; Kujuana historia zenu, Kupata muda pamoja, Kufurahi pamoja, Kuchombezana, Kufanya mapenzi, na...
  11. jashmoe32

    Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  12. amshapopo

    Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
  13. monotheist

    Kuagiza mzigo alibaba

    Wakuu nimeongea na seller alibaba kama watatu nataka kuagiza smartwatch 30 pcs akanipa mchanganuo wa cbm 30*5.65=169.5usd naona kama gharama kubwa zaidi ya bei ya bidhaa au mimi ndo sijaelewa maana ni mgeni kwenye sbm nimeshazoea kuagiza AliExpress Je kuna njia yoyote naweza kutumia kupunguza...
  14. Erythrocyte

    Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

    Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli, Dkt. Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa CHADEMA. Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo...
  15. V

    Pre Order Mzigo kutoka Kiwandani China

    Wanaotaka huduma ya mizigo mikubwa(bulk goods) kutoka kiwandani China pre order mzigo unaotaka utlpia 60% mzigo unakuja na meli very cheap ukifka unamlzia Nina connection na watu wa viwandani 0713310711
  16. LA7

    Sungusungu ni mzigo tunaoongezewa sisi makapuku

    Basi ni hivo tu yaani, Ofisini naambiwa 5000, nyumbani naambiwa 2000, hizi hela ni nyingi sana. Endeleeni tu kutuumiza sisi tusiokuwa na sauti, maana mkija kudai siwaoni mkigonga mageti na kuomba huo mchango wa ulinzi.
  17. ChoiceVariable

    Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

    Akichangia mjadala wa Bajeti ya TAMISEMI, mbunge wa Ukonga Jerry Silaa kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza kwa Serikali iweke Tozo ya Shilingi 100 kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam. Jerry Silaa amesema amesema...
  18. Stephen Ngalya Chelu

    Je, Ukifungua sanduku la posta mtandaoni unaweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?

    Wakuu, Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo? Natanguliza shukrani.
  19. monotheist

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    Nilianza kuagiza mizigo midogomidogo (small parcel ) miaka mitatu iliyopita na sijawahi kulipa kodi zaidi ya ile tsh 2350 ila mwaka huu nikapata shauku ya kuagiza mzigo kwa ajili ya biashara niliagiza saa pieces kama 20 pamoja na airpod Mzigo wangu ulichukua takribani siku 12 tu toka china hadi...
  20. Hemedy Jr Junior

    Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
Back
Top Bottom