mzima

Mzima Springs are a series of four natural springs in Tsavo National Park, Kenya. They are located in the west of the Park, around 48 km from Mtito Andei. The source of the springs is a natural reservoir under the Chyulu Hills to the north. The Chyulu range is composed of volcanic lava rock and ash, which is too porous to allow rivers to flow. Instead, rain water percolates through the rock, and may spend 25 years underground before emerging 50 kilometres away at Mzima. The natural filtration process gives rise to Mzima's famously clear stream, which flows through a series of pools and rapids. Two kilometres downstream from the springs, the stream is blocked by a solidified lava flow and disappears below the surface again.
Mzima is one of Tsavo's most popular wildlife attractions owing to its resident populations of hippos and Nile crocodiles. Mzima's isolation makes both species are dependent on its waters: other sources are too distant for them to reach by overland travel. The hippos also sustain an entire food chain. They browse the surrounding savannah by night and return to Mzima's pools by day, where their dung fertilises the water. Fruiting trees such as date and raffia palms, waterberrys and figs grow beside the water, using their submerged roots to absorb nutrients. Their fruits are a source of food for vervet monkeys and a variety of birds. Below the water's surface, the invertebrates which feed on the hippo dung are preyed on by fish and cormorants.The springs were made famous by wildlife film-makers Alan and Joan Root's 1969 nature documentary Mzima: Portrait of a Spring, which featured underwater footage of the hippos and crocodiles. They were also the subject of the Survival Special Mzima: Haunt of the Riverhorse in 2003, which featured the first footage of a hippo infanticide.In 2009, a prolonged drought proved catastrophic for Mzima's wildlife. Starving game animals were driven to permanent water sources in their thousands, bringing them into competition with the resident hippos. The grassland surrounding the spring turned to desert and hippos began starving to death. In September 2009, only five remained, down from 70 in 2003, and journalists reported seeing carcasses floating in the pools.

View More On Wikipedia.org
  1. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  2. Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanaoπŸ₯°πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜

    πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰πŸŽ‰ ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  3. J

    Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  4. F

    Hili la TANESCO kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa, halina dalili za upigaji?

    Nimemsikia Waziri wa Nishati Mh January Makamba alisema, wizara yake imepanga kufumua mfumo mzima wa Gridi ya Taifa. Anadai wataweka vifaa vipya. Hii hujumuisha pia Sub stations ya vituo vidogo vya uzalishaji umeme. Hii gharama ya kuufumua mfumo itakuwa kubwa mno. Atakayeumia ni mlipa kodi...
  5. Nini kifanyike juu ya majengo ya kwenye viwanja vya Nanenane na Sabasaba ambayo hukaa bure na wazi kwa mwaka mzima?

    Hasa majengo ya nane nane. Kwenye viwanja hivi ambavyo vipo karibu kila mkoa, utakuta taasisi nyingi zimejenga majengo mazuri na ya kudumu. majengo haya huwa hayatumiki na watu kwa mwaka mzima isipokuwa Kwenye sherehe za nane nane au sabasaba. Tunawezake kuyatumia majengo haya kwa faida kwa...
  6. M

    Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  7. Mwanaume mzima kumkuta akiwa Serious na Katulia kabisa anasikiliza Simulizi za Veronica Frank wa EFM Radio ni Aibu mno

    Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
  8. Mara: Kijana apanda kwenye grid ya taifa

    Angalia hapa
  9. Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel: Katika kipindi cha Januari hadi Disemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zimetumika

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI. Chanzo: ITV Tanzania Na kwa ninavyowajua Watanzania (Wabongo) kama kuna zilizotumika kwa mwaka...
  10. Ni kitu gani mtu mzima (Mwanaume) anaweza ingia katika chumba Cha Makahaba na jinsi kilivyo kichafu na kidogo?

    Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja . Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali . Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
  11. Mwanaume mzima unaishi Nyumba ya kupanga?

    Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
  12. Sugu jaribu kuwa mtu mzima

    Kwa umri wako wa miaka 50 ni aibu sana kufanya mambo yanayotakiwa kufanywa na wajukuu zako.
  13. Kim Jong-un taratibu anaendelea kujipenyeza kwenye mzozo wa vita ya Ukraine, haingilii ki-maneno matupu tena bali sasa anaanza kuingia mzima mzima!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini imesema inalaani hatua ya Korea Kaskazini kupeleka silaha kwa kampuni binafsi ya kijeshi ya Urusi ya Wagner Group. Wizara hiyo imesema leo pia inaunga mkono shinikizo la Marekani kuliwasilisha suala hilo mbele ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa...
  14. J

    Picha ya mchezaji wa Argentina yachafua ulimwengu mzima

    Jamaa baada ya kupewa golden globe akafanya ishara Kama Ana**MBA vile mbele ya watu bilioni 4
  15. Mgunda achana na wazee na kupeana fadhila. Mohamed Quattara ni mzima na Yuko kwenye kiwango kizuri. Acheze nafasi ya Kanute

    Mgunda anahitaji shinikizo kwenye kupanga kikosi. Akina Mkude, Boko hawaoneshi uhai Tena simba. Asiwakingie kifua. Ukweli utambwaga chini. Nyeupe haiwezi kuwa nyeusi. Ampe nafasi leo Quatara ingawa yeye Ni beki lkn ana kila kitu kinachoweza kumfanya acheze Kama kiungo mkabaji. Akina Mkude umri...
  16. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepora mamlaka yasiyowausu ili kuzitawala ndoa

    Na ndio maana nikaona mapema nioe tu ndoa ya kimila kama kwenye biblia, ukilipia mahari unaondoka na mwenzako, imeisha hivyo !! ni ndpa inayotambulika na serikali kama ndoa za dini na cheti cha ndoa ya kimila mtakipata ofisi ya wilaya bila kero yoyote. Utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani...
  17. Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Hapo vip!! Binafsi nimeshindwa kumpa ushauri kuhusiana na tatizo hilo. Kuna jirani yangu leo amekuja kunieleza jambo la ajabu sana nikashangaa Hivi anadai ameingia chooni kukojoa usiku alivyomaliza mkoja gafla akapatwa na kizunguzungu na kupoteza ufahamu gafla akajikuta amepiga magoti akiwa...
  18. Inakuaje wazazi wenye tattoos mwili mzima wanazaa Mtoto asiyekuwa na tattoo hata moja?

    Hili swali nimejiuliza muda mrefu Sana lakini nimekosa jibu. Yaani mama amejaa tatoo mwili mzima baba pia amejaa wino mwili mzima lkn Mtoto anazaliwa Hana hata tone la tattoo. Wataalam wa sayansi nipeni msaada wa hili suala
  19. Msichana aliyepooza mwili mzima adaiwa kubakwa Mkoani Mara

    Mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Ligamba (45), mkazi wa Kijiji cha Kibubwa, Kata ya Butuguri wilayani Butiama mkoani Mara anadaiwa kumbaka binti mwenye umri wa miaka 19 ambaye ni mlemavu aliyepooza mwili mzima tangu kuzaliwa kwake. Akisimulia kwa masikitiko tukio hilo la kubakwa...
  20. Ni nani aliyefanya research iliyoleta maamuzi kuwa mtoto anakuwa mtu mzima akiwa na miaka 18?

    Hili swali najiuliza sana...? Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18. Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…