Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole.
Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia mara kwa mara.
Hii hali ilimkumba mama yake Eric Kabendera baada ya mwanawe kuwekwa nguvuni na...
Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani listi ya pedophile maarufu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa anawatafutia matajiri na watu maarufu wasicha...
SEHEMU YA KWANZA
MTUNZI: The Last Joker
Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya kilichozidi hata cha kaburi. Ukapigwa na upepo wa ghafla—ukaja kama kicheko cha majini waliokuwa hawajala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.