mzimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbuyu wa Erick Kabendera, ukaondoka na mama yake na Namba 1 pia. Vivyo hivyo mzimu wa Humphrey Polepole utaondoka na mama yake na Namba1 pia.

    Leo umetimia mwaka mmoja tangu atoweshwe Balozi wetu mpendwa Humphrey Polepole. Kituo cha BBC Swahili, kimemuhoji nduguye Humphrey Polepole, anasema mama yake ana depression na amekuwa akizimia mara kwa mara. Hii hali ilimkumba mama yake Eric Kabendera baada ya mwanawe kuwekwa nguvuni na...
  2. JamiiForums Tanzania Mzimu wa Epstein waundama utawala wa Trump, raia wazidisha kuidai listi ya wateja wake waliyohadiwa na Trump

    Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani listi ya pedophile maarufu Jeffrey Epstein ambaye alikuwa anawatafutia matajiri na watu maarufu wasicha...
  3. JamiiForums Tanzania Simulizi: Mzimu wa mashuaa (Jini la Msitu wa Mtende)

    SEHEMU YA KWANZA MTUNZI: The Last Joker Mwanzo wake haukuwa na kelele nyingi. Saa tano za mchana, jua lilipokua limeyumba pembezoni mwa msitu wa Mtende, kulikuwa na ukimya wa ajabu. Kimya kilichozidi hata cha kaburi. Ukapigwa na upepo wa ghafla—ukaja kama kicheko cha majini waliokuwa hawajala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…