Habari zenu,
Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...