Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

tehama

Member
Joined
Nov 21, 2018
Posts
72
Reaction score
107
Habari wakuu

Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT

Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana

Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si hivyo tu, wageni wanaotoka nje wanakosa activities za kufanya jijini hapa. Hii inatufelisha kupata experts wa ku transfer skills kwetu na wengi wanaishia nchi za jirani kama Kenya + Rwanda.

Napendekeza misitu ya Makongo na changanyikeni itolewe kutoka kwenye JWTZ, ziwe ni public parks za watu kwenda kupumzika, ku hike na michezo mbali mbali.

Hii itasaidia katika ukusanyaji wa kodi katika jiji hilo na kuongeza umaarufu wa jiji na kuhakikisha Tanzania inajiweka katika nafasi ya kupokea wageni wa kutosha

Msitu wa Pugu uko mbali sana na foleni ni kubwa kufika huko

Pia majiji mengine ya Arusha, Mwanza na Dodoma yajipange katika hili

Mifano kadhaa ya Parks katikati ya jiji

1. Karura Forest, Nairobi
2. Central Park, New York
3. Nairobi Arboretum, Nairobi
4. City Park, New Orleans
 
Mkuu unataka tuanze na hewa nzito km india?

Hiyo misitu ndio inaasaidia kuwa na hewa safi hasa wakati wa joto
 
una hoja!!👿 maCCM yangekuwa masikivu simple tu wazo lako lingezingatiwa ila duh?!!
Tatizo la mipango miji si la Chama bali Watanzania wote.
Angalia hata viwanja vinavyopimwa havina green Park za maana. Angalia ujenzi holela unaoendelea
 
Habari wakuu

Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT

Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana

Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si hivyo tu, wageni wanaotoka nje wanakosa activities za kufanya jijini hapa. Hii inatufelisha kupata experts wa ku transfer skills kwetu na wengi wanaishia nchi za jirani kama Kenya + Rwanda.

Napendekeza misitu ya Makongo na changanyikeni itolewe kutoka kwenye JWTZ, ziwe ni public parks za watu kwenda kupumzika, ku hike na michezo mbali mbali.

Hii itasaidia katika ukusanyaji wa kodi katika jiji hilo na kuongeza umaarufu wa jiji na kuhakikisha Tanzania inajiweka katika nafasi ya kupokea wageni wa kutosha

Msitu wa Pugu uko mbali sana na foleni ni kubwa kufika huko

Pia majiji mengine ya Arusha, Mwanza na Dodoma yajipange katika hili

Mifano kadhaa ya Parks katikati ya jiji

1. Karura Forest, Nairobi
2. Central Park, New York
3. Nairobi Arboretum, Nairobi
4. City Park, New Orleans
Dar ni one big slum. chafu, no drainage, pollution za aina zote zimejaa. Hamna open space/ parks kwa ajili ya watoto na famililia. Baa na makelele ya mziki kila kona.
 
Ni takataka. Hakuna jiji hapo mkuu. Afu kuna kiongozi mmoja anapenda kusifia kwamba ni jiji
 
Back
Top Bottom