nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hakuna Nabii na mtumishi wa Mungu aliyejiingiza kwenye siasa akashinda pasipo kuwa Mpiganaji wa Vita. Manabii wengi walioingia kwenye siasa waliuawa

    HAKUNA NABII NA MTUMISHI WA MUNGU ALIYEJIINGIZA KWENYE SIASA AKASHINDA PASIPO KUWA MPIGANAJI WA VITA. MANABII WENGI WALIOINGIA KWENYE SIASA WALIUAWA KWA SABABU HAWAKUWA WARRIOR Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni angalizo kwa wale Watumishi wa Mungu, Manabii na mitume wa wakati huu...
  2. Huyu nabii alitabiri Museveni kuangushwa, na Rwanda kunyimwa misaada. Uijeruman na Ubelgiji tayari zimesitisha misaada kwa Rwanda

    sikikiza kwenye video hapo chini https://m.youtube.com/watch?v=NZI68ek9aOU
  3. B

    Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  4. Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
  5. Nabii & Mch. Steven Gumbo: Kuna matukio 7 atakayoyafanya Tundu Lissu kuuangusha utawala wa Samia na CCM. Yameruhusiwa na Mungu. Hakuna wa kuzuia

    Nilikuwa napitapita kwenye Youtube nikakutana na video ya ndugu huyu ambaye ni nabii na mchungaji wa huduma iitwayo "Huduma ya Kristo (Christ's Ministry) iliyoko huko Arusha, Tanzania... Anachokisema hapa kinafikirisha na kutafakarisha sana na naileta hapa kushea na kujadili kwa pamoja...
  6. Huko Arusha kuna ndoa imevunjika kisa mke kachora tattoo yenye jina la nabii GeorDavie

    Ule msemo wa mwanamke mjinga huvunja ndoa yake mwenyewe unaendelea kujidhihirisha. Mkoani Arusha kuna mama mmoja mrwmbo kajilipua kuchora jina lanabii GeorDavie begani. Mama huyo mrembo kweli kweli baada ya kuchora tatoo hiyo, mumewe alimkomalia aifute ila akagomaa Baada ya kugoma mume aliamua...
  7. Maneno aliyoyaongea Nabii Mkuu kipindi anampa gari Muimbaji wa nyimbo za injili yalikuwa ndiyo zawadi na siyo gari: Mwimbaji alishindwa kutafsiri

    Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu (material world) ila ukweli ni kuwa yule Mwimbaji alipewa mguvu ( energy). Waliomshauri kuchoma gari...
  8. R

    Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

    Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU...
  9. Mtume & Nabii J. Mwingira - Tundu Lissu

    =>HOW ARE YOU GOING TO CONQUER THE MAN WITH THE SPIRIT OF VICTORY? => Mshindi Huwezi Kumshusha. => Mshindi Huwezi Kumuangamiza. => Mshindi Huwezi Kumtishia. => Mshindi Huwezi Kumshinda. #Said, Apostle & Prophet J. Mwingira Of Efatha Church
  10. Je Kuna Usahihi Wowote Wa Kisayansi Katika Hiki Anachokisema Huyu Malaika Kupitia Nabii?

    Wakuu niko najifunza kwa kusoma makala za hadithi za Sunnah za waislamu. Haya ni masimulizi ya mtume wao kwa watu wake wa karibu. Lakini nimesoma Sahih Bukhari 3366 Book 60 Hadithi ya 4 (Link:- Hadithi hii hapa) nakutana na hiki kisa kama kinavyoonekana kwenye hii picha. Hapa ni tafsiri...
  11. M

    Kuzaliwa Kwa Nabii Issa ( YESU)

    Katika Uislamu, kuzaliwa kwa Nabii Issa (Yesu, AS) kunahusiana na muujiza mkubwa wa Mwenyezi Mungu. Qur'an inamwelezea Nabii Issa kuwa ni miongoni mwa Manabii watukufu waliotumwa kwa Wana wa Israeli. Kuzaliwa kwake ni tukio maalum linaloonyesha uwezo wa Mwenyezi Mungu. Kuzaliwa kwa Nabii Issa...
  12. B

    Mdude Nyangali amfananisha Mbowe na Nabii Musa, Lisu na Nabii Joshua

    Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
  13. Inakiwaje Nchi ya Misri imekosa nabii hata mmoja?

    Kwanza naomba kujua ni sababu zipi wazungu waliziona kwa misri na nchi nyengine za mashariki ya kati kuziunganisha na bara la Afrika? Je ni usalama au Kuwagawa waarabu? Jambo la pili inakuwaje nchi kama Misri ambayo inahistoria kubwa mno,imeshindwa kutoa hata nabii mmoja,Kiongozi(sayansi...
  14. Tukio la Nabii Musa kuona Moto unawaka kwenye kichaka cha majani mabichi kujirudia tena tarehe 20&21 Dec2024 nchini Israel Mlima Karkom! Je tulipigwa?

    Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la shabaha kwa silaha za moto la IDF, tarehe 20-21. Desemba 2024 Watu wataruhusiwa kuzuru Mlima Karkom...
  15. Hivi kulingana na biblia nani alikuwa ni nabii wa mwisho na nani alikuwa ni mitume wa mwisho ?

    kulingana na mtiririko wa biblia wa manabii unaishia kwa yohana kama ndie nabii wa mwisho yani yule alieandika kitabu cha ufunuo ambacho ndio kitabu cha mwisho kwenye biblia na ukiangalia manabii wote katika mtiririko wa biblia walikuwa ni waisrael na sio wa mataifa tofauti na hilo na hawakuwai...
  16. Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

    Wanabodi Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono...
  17. Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  18. Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  19. L

    Kuna uhusiano gani kati ya kupokea zawadi kutoka Kwa manabii na kupoteza kimaisha?

    Tumeshuhudia anguko la goodluck gozbert baada ya kupokea zawadi kutoka Kwa nabii mkuu...je tutarajie Nini kutokea baada ya dada yetu mpendwa shusho kupokea million kumi Kwa nabii mkuu pamojaa na kusemekana kuishi kinyumba na mtume maarufu wa kuuza mafuta ya upako Ila spiritual life is real ...
  20. Huyu nabii GeorDavie achunguzwe, anagawa Hela Kama karanga

    Nilikuwa nafuatilia Ibada yake kwa njia ya mtandao kule Facebook nimestaajabu Sanaa. Yani anagawa pesa Kama takataka kwa waumini wake na anakupa cash kabisa Anakuita mbele, unaeleza shida YAKo na kiasi unachotaka then anakupa hiyo Hela cash hapohapo Mfano Kuna mmoja aliomba laki mbili (...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…