Lema huwa anapenda sana kuleta mambo ya kidini katika siasa kana kwamba dini inaweza kutatua jambo lolote katika siasa, hivi huko CHADEMA kumegeuka kuwa nyumba ya ibada?! Lema aache kuwa delusional, apambane bila kutafuta huruma ya kidini.
Huwa nafuatiilia mafundisho yako redioni kuona nini unafundisha. Jana kuna mafundisho kuhusu amri ipi iliyo kuu umeteleza. Jibu la Yesu ni: KATIKA AMRI HIZI HUTEGEMEA TORATI YOTE NA MANABII. Wewe umetoa tafsiri potofu (really very bad hermeneutics, sijui kama ni makusudi tu ili kujiuza au ni...
Hii nchi chezea vyote usimguse kiongozi Mwandamizi yeyote. Nabii Tito alilitambua hili ndio maana huwa hajawahi kuwapinga. Mara nyingi huwasifia.
Pili usiguse watu watu wa Dini ya Kiislamu. Waislamu wana msimamo na hawayumbishwi kirahisi.
Kitendo cha Nabii Tito kumgusa Muhammad ameyakanyaga...
Ni majira na Nyakati zimefika kwamba wauwaji Wasiojulikana wameanza kujulikana! Kwa ukimyaa wa Viongozi kukemea na kuchukua hatua inaonyesha ndio Waasisi wa haya mauaji,kulinda utawala wao.
Historia inaonyesha kuwa ukiua watu damu zao zinadai malipo, Viongozi walikufa japo walipenda watawale...
Kwa mnaotazama na kusikiliza EA radio na EATV muda huu, Huyu aliyekuwa shabiki kindakindaki wa simba ametangaza rasmi kuhamia Yanga.
Karibu sana kwenye kambi ya ushindi, Karibu kwenye kambi ya makombe! Karibu kwa MABINGWA! Kila mtu huzaliwa mwananchi ni ujeuri tu na kukengeuka huwapeleka...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa kuna viti vimepangwa
Kana taarifa zina ukweli naomba nitoe pole Kwa Ndugu, jamas na waamini wote...
Serikali kweli IPO kazini Kwa kuchukua hatua ya haraka pale inapobainika mahali watu wanaenda isivyo. Kiboko ya wachawi amekuwa akimfanyia kazi ya Mungu kama kufanya uganga na ushirikina ufanyikavyo.
Pia soma: DOKEZO - Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya...
Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii;
✓ Unapofika utapigwa neno
(na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu), wakimaliza mtaambiwa TOA SADAKA. Halafu utaambiwa nunua maji na mafuta (ambavyo vitakugharimu tena...
Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?
Wadau hamjamboni nyote?
Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada...
Wadau hamjamboni nyote?
Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa.
Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu.
Kama yupo mtu miongoni mwenu...
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama Mungu wa wayahudi hatambui cheo cha mwanamke kuwa mchungaji, Nabii, au Mtume.
Unapozungumzia...
Kwenye nyakati tulizopo kumekuwa na utapeli mkubwa miongoni mwetu wakristo kuhusu mambo ya zaka na sadaka. Kuna viongozi baadhi hutumia biblia vibaya kuwatisha waumini wao kwamba inatakiwa sadaka (pesa) zote zipelekwe kanisani. Wengine wameenda mbali zaidi kuwa hata kile kidogo ulicho nacho...
Shalom....!
Najua JF imebeba Watu aina tofauti na Malengo tofauti wenye Imani tofauti...!
Ninahitaji kuwasiliana Nabii yoyote ambaye Mungu anamtumia, awe na Kanisa ama hana ni sawa...!
Kuna Unabii wa Kimungu nataka ku share na yeye.
Kama yupo hapa, anaweza tu kuja in box, tukaongea kama...
Salaam, Shalom.
Hii ni habari njema Kwa wakazi wa Dar es Salaam, Mungu amewaepusha mbali na dhahama ya mafuriko.
Iliarifiwa kabla juu ya janga kubwa la Mafuriko kuukumba mji mzima wa Dar na watu kuarifiwa kuhama,
Mtumishi mmoja amepata kibali Cha kuomba Kwa HAKI mbele za Mungu na kumsihi...
Habari wadau
Binafsi nashangaa sana watu hasa wasomi wenye smartphone wanaoamini story za ushirikina zama hizi
Ukweli ni kwamba ukijipa muda wako kujifunza zaidi kuhusu cognitive science and psychology, Human psychology na Science of Emotion ilivyo. watajua ukweli mwingi sana wa ubongo...
Anaitwa Boniface Victor au nabii Musa.
Huyu ambaye anapotosha umma.
Nimefuatilia Channel yake YouTube ni kama mtu aliyepagawa.
Anaongea vitu ambavyo havipo kabisa. Hawa vijana waliokosa ajira na kulowea makanisani wanaanzisha Imani za hovyo ambazo si za Kikristo lakini kwakuwa wafuasi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.