nabii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  2. Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Licha ya Umashuhuri wa jina lake, ambao mpaka leo hakuna mzee wa nyakati zake ambaye anamfikia kwa umaarufu na umashuhuri. Umashuhuri wa jina lake umebebwa na Ufuasi wa kufa kuzikana, machozi, jasho na damu kwa waumini wa dini zenye Chimbo lake ambazo ni...
  3. Nabii kiboko ya wachawi, naona anafanya maigizo

    Samahani nabii Kiboko ya uchawi, mbona nakusikiliza hapa hii kama futuhi? Aiseee huu ni mchezo wa kuigiza kabisaaa. Eti bibi katoka kijijini amefikia Kwa mwanae, Kuna watoto watatu wamefariki, wawili walishazikwa na Sasa Kuna msiba wa mtoto mwingine,baada ya kumpigia simu nabii ndio anasema...
  4. Nabii Shepherd Bushiri ametoka mbali aisee. Hamna utajiri unàtokana na kuembewa, ila utatajirika kwa kuvitumia vyema vipaji vyako na ufala wa watu.

    Huyu jamaa hajatajirika kwa kuombewa, amesota hadi akajua kutabiri. Aktafuta ka angle ambako ana ku screen hadi bibi na babu yako shamba huko, akaanza kutengeneza mpunga. Kamwe huwezi kutajirika kwa kuombewa, ila kwa kutumia karama na vipaji ulivyopewa na Mwenyezi Mungu.
  5. U

    Je, madai ya Nabii Hellen White kuoneshwa saa na siku ya kurudi Yesu yana ukweli wowote

    Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision ... we heard the voice of God like many waters, which gave us the day and hour of Jesus' coming"...
  6. Tuwe makini na manabii/mitume wanaotaka fedha wakuombee

    Shalom, Kumezuka watumishi wa Mungu wanaotumia vibaya redio zetu badala ya kutoa neno la Mungu na kufanya maombi sasa kama utaahitaji maombi wanakulazimisha njoo ofisini aka kanssan asubuhi mapema tukuombee. Style wanayotumia ni hii Wanapokamata redio wanaanza andika msg, kwenda namba. Hizi...
  7. M

    Kwa mtaji wa kuwa na Lema nadhani CHADEMA itapendeza kuwa taasisi ya kidini (kikristo)

    Kwenye maisha ukilazimisha fani ambayo sio yako lazima upate tabu sana. Ni wachache sana waliowahi kulazimisha na wakatoboa. Kwa mfano kuna mtindo wa kijana akiwa kazaliwa mrefu basi inaaminika anafaa kuwa basketballer kumbe labda kijana kipaji chake ni kingine. Mara nyingi wanamichezo...
  8. Maisha yamekupiga? Jiite Mtume, Kuhani au Nabii ndani ya miaka 3 una gari lako

    Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa. Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si kuwasema hao wanaoitwa watumishi wa Mungu. Sasa niko huru, naweza kujadili na kumsema au kumkemea mpuuzi au...
  9. Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  10. SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  11. Kama Akpan wa Coastal alitua simba, George Mpole kutotakiwa na Vilabu vikubwa nchini kweli Ni vigumu nabii kukubalika kwao

    Licha ya kuwa mfungaji Bora Tena kutokea timu ya kawaida kwenye ligi ngumu namba 5 Africa. George Mpole hakuonekana kuwa Lulu Tanzania. Sio Azam, Yanga Wala Simba zilizoonesha Nia ya kumfukuzia. Licha ya kupata namba Taifa stars na kutulia mabao muhimu. Sijaelewa tatizo lipo wapi? Leo mfungaji...
  12. M

    Nchi hii ushindwe tu Mwenyewe kutafuta chimbo la hela. Jiite tu Nabii

    Hapo ni Stand ya daladala Mbezi Louis kwenye foleni ya kusubiria Mwendokasi ya Kariakoo, huyu mwamba kila siku anawahi na spika yake na mic anapiga neno kisha anatembeza bakuli lake la sadaka. Tatizo hapo jirani kuna foleni nyingine ya mwendokasi ya kwenda Kivukoni ambapo napo kuna Mtaalam...
  13. Nyie wa Dar hampo Leaders mpokee miamala ya miujiza ya huyu Nabii?

    Kwenye harakati za kutumia remote control huku na huku nikaifikia channel ya Clouds nikakutana na tamasha huyu nabii huko viwanja vya leaders Club Dar. Watu wanapokea miamala ya miujiza kwenye simu zao mmoja apa kapokea 43,000/= mmoja ndo kanikata asee yeye kapokea dola 200M etc Anachosema...
  14. Je, lazima Nabii awe Mtakatifu?

    Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie. Utoto, ujana, muchknow, za Makonda vilimfelisha lakini nauona uongozi ndani yake kuliko hata vijana wengi ambao Mama wa...
  15. B

    Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake

    Mnyonge mnyongeni haki yake apewe. "Pamoja na ubinadamu wako nabii jiwe upumzike kwa amani."
  16. Ipi tofauti ya Ibilisi, Mnyama na nabii wa uongo?

    "Na yule ibilisi, mwenye kuwadanganya akatupwa katika ziwa la moto na kiberiti, alimo yule mnyama na yule nabii wa uongo. Nao watateswa mchana na usiku hata milele na milele" (Ufunuo wa Yohana 20:10) Naamini JF siwezi kosa majibu ya maswali haya tafakarishi ninayojiuliza baada ya kukisoma...
  17. Nakushukuru Nabi

    Habari zenu.. Kwanza pongezi ziende kwako kocha wetu nabii,mechi ya kwanza uliwasoma wapinzani ukawatandika 2 wakiwa kwao,Leo hii umeona ulinde ulicho nacho.. Nakusifu kwa kuwa bingwa wa kusoma mchezo na kuwasoma wapinzani. Nabii unastahili pongezi za dhati kutoka kwa wana yanga...
  18. K

    Nabii Mkongo aliyetabiri vifo Kenya!

    Huyu nabii ni mkongo mkimbizi yuko huko Iowa katabiri miezi minane imepita
  19. Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

    Tarehe 25 Mwezi April ni kumbukizi ya Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie kukumbuka siku yake ya kuzaliwa ambapo Maelfu ya waumini wa huduma ya Ngurumo ya Upako walisherekea kwa pamoja huku wageni kutoka nchi mbali mbali kutoka nchini Congo, South Africa, Kenya na maeneo mbali mbali ya pembezoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…