Inaonekana ni kipande kisichofaa cha filamu ya mapenzi . Lakini taarifa kuhusu 'kunatana' wakati wa tendo la ndoa ni jambo lililopo kwa karne na karne - huenda zingine kukawa na ukweli.
Safari ya kukimbizwa hospitali kwa dharura kamwe halijawahi kuwa jambo zuri, lakini pia siku kitu ambacho...
Naam, Nchi yetu kwa sasa inazidi kuharibu dhana nzima ya uongozi sababu ya uwepo wa Nadharia ya Gain acceptance yaani kuhitaji kukubalika. Pia Nadharia ya Referrent Power yaani kuiga nguvu ya uongozi.
Dhana hii ya Gain acceptance/ Referrent power inawaathiri sana viongozi na dhamira ya uongozi...
Gamboshi/Gambosi na Nadharia ya uchawi.
Kijiji cha Gambosi(Gamboshi) ni moja wapo ya kijiji ndani ya kata ya Gambosi wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu.
Jina halisi la kijiji hicho ni Gambosi wala si Gamboshi kama wengi ambavyo hutamka hivyo kiuhalisia kijiji hicho si GAMBOSHI Bali ni GAMBOSI...
Mafundisho ya uislamu, ukristo Na uyahudi KUHUSU chanzo Na Sababu ya binadamu kuwepo katika sayari ya Dunia wote mnayajua so sipo hapa Kwa ajili ya kuyarudia..
Nipo hapa Kwa ajili ya kuelezea Nadharia KUHUSU chanzo Na Sababu ya Maisha ya binadamu ulimwenguni ambazo zilitolewa Na watu walio...
Hivi umepata kujiuliza unapopita katika mitaa mbalimbali ya mjini Dar au mji mwingine wowote Tanzania, jina la mtaa au eneo husika limetokana na nini?
Kwa mfano, Kijito Nyama limetokana na nini? Au Mlalakuwa, Au Mtoni kwa Aziz Ali n.k, n.k. Labda utadhani imetokea tu ... just ipo ipo, hapana...
Habari wakuu,
Leo nawaletea mbinu ya kivita ambayo unaweza kuitumia kwa mkeo ili akusamehe kiulaini, mfano kama kakufumania, kakukuta na SMS za michepuko, au kosa lolote kubwa ambalo limeleta ugomvi na linatishia uhai wa ndoa au mahusiano yako,
Tumeambiwa Tuishi nao kwa akili,
Njia nzuri ya...
Je umewahi kujiuliza Furaha ni nini? Je umewahi kuwa na furaha? Ilikuaje ukawa na furaha? Je unakumbuka nini siku ile ulipopata matokeo yako ya kidato cha nne ? Bila shaka ulihabarishwa kuwa umefaulu na unatakiwa kujiunga na chuo au kuendelea na kidato cha tano, bila shaka ulipata Furaha kubwa...
Mabibi na mabwana zimekuwapo nadharia nyingi na zingine nyepesi nyepesi kuhusiana na vifo na wendazao.
Mtumishi huyu wa Mungu katika udadavuzi wake kwa hakika ana hoja za msingi:
Kwamba pana vifo vya aina 4:
1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa kwenye...
Umbali kutoka usawa wa bahari una uhusiano mkubwa sana na maisha ya viumbe hai, nadharia mbalimbali zinaonesha asili ya viumbe engi kuwa na ukaribu na maji na hata viumbe wanaoishi kwenye maji.
Kadiri umbali kutoka usawa wa bahari unavyoongezeka aina ya viumbe, mimea n.k hubadilika na uwezekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.