nafaka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Philemon2008

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya nafaka

    Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
  2. Mkulima na Mfugaji

    Kipindi cha Mama Samia ndio kipindi cha Wakulima wa Mazao ya Nafaka kutoka kimaisha

    Tokea Awamu hii iingie Madarakani naona imeamua kuwachia wakulima hasa wa nafaka wanufaike, kila siku ukienda sokoni bei ya nafaka iko juu, kwani mipaka imefunguliwa na ukichanganya na Athari za mabadiliko ya Tabia ya nchi. Kama Mkulima umeweza kuhifadhi angalau gunia 20 za Mahindi mwezi...
  3. Shujaa Mwendazake

    Uturuki na Urusi wakubaliana kupeleka nafaka bila malipo kwa nchi Masikini - Erdogan

    Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
  4. Shujaa Mwendazake

    Bei ya ngano yapanda juu baada ya mpango wa nafaka wa Bahari Nyeusi kuvurugwa

    Urusi ilisitisha makubaliano hayo baada ya Ukraine kushambulia meli zilizokuwa zikihakikisha usalama wa njia za baharini. Hatima ya ngano iliongezeka kwa karibu 8% siku ya Jumatatu baada ya Urusi kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya usafirishaji wa nafaka na Ukraine kufuatia shambulio dhidi ya...
  5. Shujaa Mwendazake

    Tusipotoshe: Meli za nafaka zilizoondoka jana zilikuwa ndani ya eneo la Uturuki

    Quote: "On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal." Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West...
  6. Sa 7 mchana

    Nataka kujua mawili matatu kuhusu biashara ya nafaka mpakani sirali (mpaka wa mara na kenya)

    Habari za muda huu wakuu, Swali kutoka kwa mwanetu yeye ana Account JF "Naomba kuuliza bei ya sasa ya maindi, maharagwe na mchele mpaka ni sirari" Mwisho wa nukuu
  7. Jelavic

    Ziko wapi nafaka za Ukraine mlizo dai ni kwaajili ya nchi masikin na zinazoendelea?

    Tukirudi nyuma kidogo, Tareh 22/6/2022 urusi na Ukraine kwa usimamizi wa uturuki na umoja wa mataifa waliingia mkataba wa makubaliano ambao urusi iliridhia nafaka za Ukraine ziruhusiwe kutoka Ukraine kupitia bahari nyeusi kwaajili program ya umoja wa mataifa ya kuhami nchi masikini dhidi ya...
  8. Balozi limited

    Namna ya kuanzisha na kufanya biashara ya nafaka

    Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida yake 3. Mtaji wake 3. Mahali pazuri kokote tz 4. Masoko na mauzo jumla na rejareja That is all...
  9. Balozi limited

    Msaada kwa wenye ujuzi wa biashara ya nafaka

    Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji, masoko, faida nk any thing about it. Thanks
  10. BARD AI

    Serikali: Bei ya Mchele imefikia Tsh. 3,500, Maharage 3,500, Mahindi 1,500 kwa kilo

    Serikali imetangaza ongezeko la bei katika baadhi ya bidhaa za vyakula, huku kushuka kwa uzalishaji ikitajwa kuwa sababu. Miongoni mwa bidhaa za chakula zilizopanda bei katika mwaka ulioishia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na mwaka ulioishia Agosti mwaka huu ni mchele, maharage, mahindi...
  11. S

    Urusi nafaka kwenda nchi masikini, kutoa mbolea ya bure

    Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50. Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
  12. Nyankurungu2020

    Miaka mitano ya hayati Magufuli, bei za nafaka hazikupanda namna hii. Sasa zimepanda na wananchi wanakula mlo mmoja na nusu

    Wanachi wataumia sana, hawana mtetezi. 👇 Nipashe ilitembelea maeneo mbalimbali ya Dar es Salam na kubaini kupanda bei za bidhaa zinazotumiwa na kwa mlo wa kila siku ambazo ni mchele, maharagwe, unga wa ngano, unga wa sembe, dona na choroko. Mchele kilo moja umepanda kutoka sh. 1,800 au 2,000...
  13. K

    SoC02 Biashara ya nafaka (mahindi) nje ya nchi ni fursa muhimu, kuzuia ni kuikataa fursa ambayo ni adimu kuipata

    MAANA YA NAFAKA. Nafaka ni mbegu zinazotokana na mimea aina ya nyasi zilimwazo mashambani kama mahindi, mtama, mpunga, ngano na hutumika kama chakula kwa ajili ya binadamu na hata mifugo. Kumekua na kasumba ya mara kwa mara ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku nafaka hasa mahindi kuuzwa nje...
  14. E

    Mrejesho wa biashara ya nafaka na elimu niliyoipata

    Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini tunakatishana tamaa kuliko uhalisia! Nilipata comment nyingi sana na wapi mahindi yanapatikana...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Onyo la Marekani kwa Waafrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea

    Marekani kashikwa pabaya. Onyo la Marekani kwa Afrika: msinunue kitu chochote kutoka Urusi isipokuwa nafaka na mbolea Getty ImagesCopyright: Getty Images Afrika imekuwa na msimamo wa kutoegamia upande wowote katika vita vya Ukraine na UrusiImage caption: Afrika imekuwa na msimamo wa...
  16. Vinci Dayot Upamecano

    Naanza upya na biashara ya Nafaka rejareja, nipeni Muongozo

    Ishini sana, Tabu sio jambo jema lakini hatuna budi kuzipitia. Kuna kibanda nimekiotea kipo soko la mtaani, hilo soko halina watu wengi saana ila pilika pilika zipo kimtindo pamoja na makazi ya watu sio uswahilini sana sio ushuani sana ni changanyikeni flani hiv nataka niweke kambi hapo...
  17. E

    Ili Kuchochea Kilimo, Serikali itoe ruzuku kwenye nafaka za kuuza nje

    Nakumbuka miaka ya nyuma wakati serikali ikinunua mahindi, ilikuwa ukipita njia ya kati, kuanzia pwani mpaka singida yalikuwa mashamba ya mahindi. Baada ya Serikali kusua sua katika kununua mahindi, mashamba hayo yamepotea. Mbali na serikali kutoa ruzuku kwenye mbolea bado mashamba haya...
  18. ryan riz

    Hatua ya kwanza ya makubaliano kati ya UN, UKRAINE na URUSI inaiwezesha URUSI kuuza nafaka na mbolea bila vikwazo

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema hatua muhimu ya kwanza imefikiwa katika juhudi za kuwezesha nafaka kusafirishwa kutoka Ukraine. Guterres ameeleza kwamba hatua hiyo imefikiwa kwenye mazungumzo ya mjini Istanbul kati ya wajumbe wa Urusi na Ukraine. Wajumbe wa Umoja wa...
  19. Lady Whistledown

    Kilimanjaro: 9 wajeruhiwa katika vurugu kati ya wafugaji na wakulima baada ya Mifugo kuharibu takriban ekari 1,800 za nafaka

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Stephen Kagaigai ameagiza kukamatwa mifugo 1,450 iliyoingizwa kwenye mashamba ya wakulima eneo la West Kilimanjaro, Wilaya ya Siha ambayo imeharibu zaidi ya ekari 1,800 za ngano na maharage. Kagaigai amechukua hatua hiyo leo Jumapili Julai 10, 2022 baada ya wafugaji...
  20. Gama

    Urusi na Uturuku zashindwa kupata muarobaini wa kusafirisha nafaka za Ukraine

    Serikali ya Urusi na ya Uturuki zilifanya kikao maalum kwa ajili ya kupata njia ya kusafirisha nafaka kupitia bahari nyeusi eneo ambalo limewekewa milipuko na Serikali ya Ukraine ili kujilinda na mashambaulizi ya Urusi. Ukrain imepandikiza milipuko katika bandari za Mikolaev na Odesa ambazo...
Back
Top Bottom