Hawa jamaa wanataka Waafrika tufe kwa njaa kwa sababu ya manufaa yao? Ni wakati Africa kufanya mambo yetu bila kupangiwa wala kushinikizwa na mataifa mengine
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
========
U.S. officials are cautioning African countries against buying grains plundered from Ukraine as some nations...
Ukraine imeishutumu Urusi kwa kuiba Nafaka Nchini humo ikisema kitendo hicho kinaongeza tishio la hali ya Chakula Duniani. Wizara ya Mambo ya Nje imedai Urusi inaiba mazao kutoka kwa Wakulima katika eneo la Kherson
Sehemu ya Taarifa ya Wizara inasema, "Kupitia vitendo vyake haramu, Urusi...
Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi.
Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii...
Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja
Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu.
Asante
"Niwaombe sana ndugu zangu wa Kilimanjaro, tupunguze kidogo matayarisho ya Mbege na vinywaji vingine kwa kutumia nafaka, tujue kwamba mwezi wa 10 hatukupanda, tutapanda Machi na kutakuwa na upungufu kidogo wa chakula,,"-Samia Source-Nipashe Tanzania.
Kwema wadau mimi kijana mfanyabiashara mdogo wa vinywaji baridi kama soda, maji n k. Lengo kuu la kuandika uzi huu ni kuomba ushauri wa kibiashara na kimaisha.
Nimepata wazo la kutaka kuhamia mjini Bariadi ili niendeleze maisha huko pamoja na biashara zangu
Kwa ambaye anapafahamu vizuri...
Habari wanajukwaa,
Naomba kufahamishwa ninapoweza kupata hii mashine ya kupandia mbegu kama alizeti, ufuta, mahindi nk.
Seed Planter Video
Eneo nilipo ni Dar es salaam. Ni vyema zaidi tukafahamishana na gharama iwapo inajulikana.
📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA
"CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
Kijana wenu baada ya kumaliza chuo nikaona nijimix kwenye harakati za maisha nipo Dar es Salaaam japo Nina mda mfupi sana hapa.
Nimezunguka masoko yote hapa dsm kuanzia mabibo mpaka mbagala nilikuja na idea nyingine kwa sababu mtaji sikua nao mkubwa nikashindwa kwa sababu ilihitajika sehemu ya...
Kiwanda kipya cha kusaga na kukoboa nafaka kilichopo Mbezi Luis DSM kinakodishwa. Kiwanda hiki kina machine za kusaga, kukoboa, na kupeta mahindi. Pia kina machine ya kushona mifuko/viroba.
Kina uwezo wa kusaga Tani moja kwa kila lisaa. Pia kuna godown/stoo ya kuhifadhi nafaka tani zaidi ya...
Kumekuwa na kelele sana juu ya anguko la bei ya mahindi kote nchini. Kiasi ambacho imebidi CCM iingilie kati. Nimewaona wabunge wote hasa wa CCM wakionyesha kutorodhishwa kwao jinsi NFRA inavyonunua mahindi toka kwa wakulima.
Ongezekeo hili la wingi wa mahindi ni mwitikio wa wakulima kwani...
Habari za muda huu wa wanaJF!
Kama yalivyo maelezo hapo juu.
Naomba kufahamu kwa Kiingereza majina ya mboga na nafaka zifuatazo:-
Mlenda, Bamia, Nyanyamshumaa, Mchicha, Kunde, Mbaazi, Dengu, Majani ya Kunde, Matembele, Bilinganya, Msusa, Figiri, Choroko, na Pilipili Hoho.
Natanguliza...
Habari zas sasa,
Naomba kujua kutoka kwa wabobezi humu, wapi hapa Dar naweza kupata motor/mashine nzuri kwa ajili ya kusaga na kukoboa nafaka? Aina ipi ya ya motor, na vifaa vingine associated ni bora zaidi? Bei ni kiasi gani, na duka gani ambalo halina vifaa fake na la kuaminika naweza...
Naombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Habari za mchana.
Naomba msaada wa mwongozo kuhusu biashara ya nafaka. Nipo Mwanza. Mtaji wangu milioni tano. Naomba kupata dondoo zote ikiwemo changamoto na wapi nitachukua mzigo kuja kuuza
Mchele uligundulika miaka 15,000 iliyopita katika mabonde nchini ya milima huko China na Brazil. Mbegu za awali Brazil zilipotea wenyeji hawakuwa makini sana katika kilimo cha mpunga.
Mchele ni nafaka iliyowatajirisha wafanyabiashara kwa miaka mingi. Miaka ya mwanzoni mchele ulikuwa ni...
Awali ya yote npende ktanguliza salamu, kwa yeyote mwenye connection za biashara za nafaka hasa mahindi, yaani nahitaji kuwa mnunuzi wa jumla kwa sehemu kama Geita, Rukwa na Shinyanga
Habar zenu jamani.
Kama kuna mtu anauzoefu wa kusafirisha mazao kwa kutumia mafuso katika mikoa hii Morogoro, Mbeya na Iringa. We can join together na ku-transport mzigo.
Nimechoka Kusafirisha mahindi kwa njia ya bus coz inanifanya nashindwa kusupply mzigo mwingi. Kwa wiki najikuta naleta...
Choo ni sehemu ya muhimu sana, iwe nyumbani, hotelini, ofisini, sokoni, safarini, nk. Utunzaji wa choo unahusisha usafi wake. Ukitaka kufahamu ustaarabu wa jamii angalia mpango lip wa vyoo na usafi wake.
Hata uishi kwenye nyumba yenye thamani ya mabilioni, kama choo chako ni kichafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.