nafasi ya kazi

  1. B

    Nafasi ya kazi ya udereva (gari za familia)

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24. Naomba kazi ya udereva kwa mtu binafsi au familia. Nina uwezo wa kumuendesha mtu binafsi au familia kwa muda wowote ambao muajiri atahitaji. Leseni ya udereva ni daraja D (class D). Elimu kidato cha sita (form six). Nina nidhamu ya hali ya juu kabisa...
Back
Top Bottom