Makatibu wa chama kwenye ngazi zote na vyama vyote wanateuliwa.
Wenezi wa chama wote wanateuliwa.
Wenyeviti wanapatikana kwa kura. Natafakari kwanini vyama vya siasa visibadili mfumo na nafasi zote zinazoambatana na mshahara basi zitangazwe watu waombe kama wanavyoomba huko serikalini...
Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao.
Nataka kupata majibu ktk maswali haya.
1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa?
2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema
Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo.
Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za...
Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi.
1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza
2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa).
3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
Huko kwenye page ya Yanga ni mwendo wa malalamiko ya waliolipia VIP na nyinginezo, uwanja umefungwa tangu saa 12 jioni baada ya watu wa bure 'kuteka' uwanja.
Waliolipia wakapambana mwisho wakaishia kula virungu, nia njema ya Yanga imewaponza, walisahau watanzania wanavyopenda mtelezo.
Anyways...
Baada kipigo cha Russia kwenye maficho ya NATO huko Ukraine NATO wameanza kumtafuta mchawi...
#BREAKING Polish Lieutenant General Jaroslaw Gromadzinski, a commander of Eurocorps, a joint military group of some EU and NATO states, has been removed from his post after a counter-intelligence...
Jana Tanapa wametoa nafasi za kazi lakini ambacho mimi mmeshangaa. Kuna limited age.
Mwenye diploma usizidi 25year na Mwenye Degree asizidi 30years.
Au baada ya kigezo Cha JKT kutolewa Kwa Sasa Kuna limited age au kwenye miongozo Yao ya kazi ipo ipo Kwa upande wao.
Serikali iliangalie hili...
Habari za leo.
Natafuta binti smart, mchangamfu, asizidi 27 kwa ajili ya kuuza liquor store mitaa ya mbezi beach. Awe na nida pamoja na wadhamin wawili.
Nichek PM
Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa.
Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
Habari,
Mimi ni msichana wa miaka 26, natafuta nafasi ya kazi ya maendeleo ya Jamii name elimu ngazi ya dilpoma au shirika lolote linalohusiana na maendeleo ya jamii.
Ninauzoefu niliwahi kujitolea katika shirika la FARAJA TRUST FUND liliopo morogoro linahusika na maswala ya USAID BORESHA...
Wakuu kuna nafasi za kazi .
Wanahitajika Gradute Engineers (Civil) wawili na Driver mmoja. Engineers wawe wame graduate mwaka jana 2023. Driver awe ana cheti cha NIT na awe amezaliwa kuanzia mwaka 1979 hadi 1988. Tupeane mawasiliano DM.
Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
Yanga wanaanza kuandamwa na majeruhi, wakitoa draw mbili na kufungwa mechi moja Simba anakuwa bingwa asipopoteza mechi hata moja, au yanga akipoteza mechi mbili simba akashinda zote basi Simba bingwa.
Ligi bado sana Yanga msijipe 100% ya ubingwa.
Mahojiano aliyofanya CDF Mstaafu Venance Mabeyo yamenifundisha kitu.
Nchi hii tuna shida kubwa sana ya watu kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi na uongozi ambao hawastahili kuwepo kwenye nafasi hizo kwa kukosa uwezo.
Hivi inakuwaje kwenye nchi tena yenye miaka zaidi ya 60 ya uhuru watu...
Mshauri wa kisheria wa serikali ni mwanasheria Mkuu wa serikali. Ilipotokea kifo cha Hayati Magufuli alipaswa kutoa dira ya kikatiba na kisheria. Alipaswa kusimamia uandaaji wa tangazo la kifo kwenye vyombo vya habari kujielekeza katika vifungu vya sheria vya kutangaza kifo, maambolezo na...
Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana:
Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa:
1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu usiofaa na watawala.
2. Kupachikwa jina CCM B.
3. Ipi hasa ilikuwa sura halisi ya ACT?
4. Vipi...