Habari, wanajamvi kutokana kutokua na tija na ufanisi kwa nafasi ya Naibu Waziri Mkuu , ninamshauri Mh Rais atengue nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kwa mamlaka yake na katiba nafasi hiyo ifutwe kabisa na vyombo vya dola vielekezo macho yao katika mipaka hasa nchi jirani mpaka kama Rusumo...
Watu wengi wamekuwa wakiifananisha BRICS na NATO, kitu ambacho si sahihi kabisa. Tofauti na NATO, BRICS haina makao makuu, na pia haina uhusiano na makubaliano ya kijeshi, badala yake, kundi hilo linajihusisha zaidi na masuala ya kiuchumi. Kundi hili la BRICS linaunganisha juhudi za nchi...
Hali ni tete, joto kali umeme hakuna,
Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO
1. Taa
2. Feni tatu na AC 1,
3. Fridge
4. TV mbili
5. Computer mbili za desktop
6. Oven ila haitumik mara nyingi
Yaweza ni cost kiasi gani?
Nimevuka mitihani ya stress za mapenzi, sasa moyo wangu ni wa jiwe wenye kuwafaa wanawake wote, hivyo basi mwanamke yeyote sina muda wa kufuatilia nyendo zake wala kukagua simu wala maswali, muhimu ni nafasi na muda wa kutosha wa kumnyandua basi.
Hii hali imeongeza utamu na ladha wakati wa...
Kwa Mujibu wa Jarida la Higher Education University Ranking,Tanzania imeingiza Vyuo Vikuu 2 kwenye List ya Top 10 Best Universities..
Vyuo hivyo ni Muhimbili University of Allied Sciences nafasi ya 3 na Ardhi University nafasi ya 10.
UDSM imeshika nafasi ya 21 kati ya vyuo 25 huku Udom...
Kwema Wakuu!
Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais.
Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
Wakuu kwema, nyuki wa mama mpo?
Kama ukipewa nafasi ya kumuondoa Waziri mmoja kwenye nafasi yake kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake, na Waziri huyu asiweze kurudi tena kwenye nafasi nyingine ya uongozi, ungemuengua nani?
Mzee wa kuja na tozo za kila aina nakusalimu, Nape na wewe (bonus)...
Kwema Wakuu,
Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa.
Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
Njoo kazini utapata nafasi
Tunachakata taka (Recycling)
Tunahitaji Waokotaji Taka (Waste Pickers), toka majiji na mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani.
Mwisho wa Maombi 30/6/2024
Tupigie Tafadhali +255 789 753 808. Usitume Sms. Au tuandikie africahomebinahb@gmail.com
Salam wanaspoti.
Jana ilitakiwa iwe fainali ya AFCON 2024 na leo ilikuwa ni sherehe tu ya kushangilia kombe lakini sasa kutokana na kuhangaika na nafasi ya tatu fainali inabidi ichezwe leo.
Timu zimekaa hotelini toka jumatano zinasubiri mechi ya fainali zaidi ya siku tatu hii yote eti...
Timu ya taifa ya Afrika Kusini maarufu kama Bafana Bafana wameshika nafasi ya tatu baada ya kuifunga DR Congo kwa mikwaju ya penati 6-5 baada ya droo 0-0 ndani ya dakika 90.
Golikipa Ronwen Williams wa Bafana Bafana kwa mara nyingine aliibuka shujaa baada ya kuokoa mikwaju miwili ya DRC ikiwemo...
Njoo Iringa kwenye machai. Tunza tiketi YA BASI nauli unarudishiwa ukifika.
1.nyumba bure
2.maji ya uhakika
Vigezo
1. Miaka 18+
2. Uwe na NIDA namba au cheti cha kuzaliwa au kadi ya mpiga kura au namba ya NSSF AU leseni ya udereva
Kazi ni kuchuma kipato ni kutokana na juhudi ya uvunaji lakni...
Simu yake imeharibika halafu akasema atarekebisha juujuu ili akambambikie mtu mwingine. Nikamuacha mara moja.
Mwingine namuuliza kitu gani unachokipenda maishani akanijibu yeye anataka avae na kupendeza. Nikaona huyu akili hana. Nikasonga mbele.
Ladies, wanaume tunapotaka kuoa tunakuwa...
Paul Makonda ambaye ni Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa amezungumza hayo akiwa Njombe mjini.
"Na sisi tukimaliza hii ziara tunampelekea ripoti Mwenyekiti wa chama Taifa ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tulipita mkoa fulani...
Hello wanabodi.
Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT)
Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma.
Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo ya masoko na mauzo
Kama una biashara pia naweza kukutafutia masoko au wateja nipate kamisheni...
Waziri wa habari, mawasiliano na teknolojia ya habari Mhe. Nape Nnauye, amevitaka vyombo vya Habari nchini kutoa nafasi sawa kwa wanasiasa wote bila ya ubaguzi.
“Vyombo vyote vya habari wapeni uwanja sawa wanasiasa watimize majukumu yao. Mtu akisemwa, wa upande wa pili apewe nafasi ya...
Kuna lawama baadhi ya watu huwa tunapewa kwamba tunataka kufanikiwa wenyewe, hatupendi ndugu wafanikiwe, anataka kuonekana peke yake ndie mwenye mafanikio kwao, n.k. ni kweli kuna baadhi ya watu hufanya hivi maksudi lakini sio wote.
Mtu unakuta ana kampuni yake, biashara yake ama yupo shirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.