kuweka watu wa kabila lako kwenye kampuni yako ama biashara yako binafsi ni ruksa maana mwisho wa siku hata hasara ni yako mwenyewe, Lakini ajabu mambo haya yanafanyika serikalini kwenye mjumuiko wa taifa zima bado mtu anaweka kipaumbele kwenye jamii anayotokea hata kama wapo wenye sifa chache...
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Wazungu kwa ujumla ni wabaguzi sana. Ukienda Europe, America ubaguzi ni kawaida sana.
Ila kuna maeneo ubaguzi umezidi sana hasa kwetu Sisi watu weusi. Russia ni miongoni mwa nchi ambazo ubaguzi umekithiri sana. Watu weusi Sisi ni takataka nchini Russia. Watu weusi wanabaguliwa sana Russia na...
Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake.
Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana.
Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
Salaam ndugu zangu,
Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini...
AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI,
AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE.
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
Wasalaam,
Kwanza nianze kwa kuwapongeza chama cha demokrasia na maendelea (CHADEMA) kwa uthubutu wao wa kuanzisha na kuratibu maandamano haya ya amani kama njia ya kufikisha ujumbe wao kwa serikali tawala na hata jamii ya kimataifa.
Kwa upekee sana nipende kuisifu serikali tawala na vyombo vya...
Kwa mujibu wa mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda amemueleza Rais kuwa Kuna wakimbizi wapo Hadi Serikalini na wamepewa nafsi za juu kabisa za kimaamuzi
Hili inashangza na kufikirisha Sana inakuwaje Hadi mkuu wa majeshi anawajua wakimbizi na wameteuliwa na wala hajawasiliana na mamlaka za...
GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM.
Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi.
Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt. Nchimbi hayupo miaka hii ya...
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)
Mama Samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda, leo January 19,2024 ameanza ziara yake kwa kuongea na Wakazi wa Tegeta Jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amesema Wabunge, Wawakilishi na Madiwani watapimwa kwa kazi wanazofanya na sio kwa maneno au kujipendekeza kwa...
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu
Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia wananchi wengi na kwa haraka zaidi, CCM anachapika vizuri mno na chepesi zaidi, ukweli ni kwamba...
Rais Samia, amekitaka chama chake kuweka mchujo kwa wawakilishi ili ambao wamekuwa hawafanyi vizuri kwa wananchi, wapigwe chini.
Kwenye hili nampongeza sana, hii itawafanya wabunge wetu wafanye kile wananchi wamewatuma huko bungeni.
Hata hivyo, shida yangu ni moja, kutokana na hoja hiyo hiyo...
Jana nilikusikia na kukusikitikia sana. Jinsi unavyojikaanga kwa mafuta yako mwenyewe. Jinsi unavyoonesha kuchoka na kukinai nafasi uliyonayo kwasasa chamani. Pale ulipozungumzia kuhusu mdahalo na viongozi wa CHADEMA.
Ngoja nikusaidie kwakuwa nilikuwa kiongozi mwandamizi chamani kabla yako...
Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati.
Pamoja na umahiri wake bado...
Pamoja na pilikapilika za utafutaji wa pesa ni muhimu ku enjoy life kila upatapo nafasi, siyo kila siku busy busy,
Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, wao muda wa kazi ni kazi inapigwa kwelikweli, lakini ikifika ijumaa jioni ni bata hadi jumapili, jumatatu kazi kama kawaida, kwa mtazamo wangu...
SADAKA YA KWELI NI IPI?
Mtoto mmoja alikuwa amesimama, bila viatu, mbele ya duka la viatu akitetemeka kwa baridi. Mwanamke mmoja alikuja na kusema:
"Rafiki yangu, unatafuta nini hapa au umependezwa na dirisha la dukahilo?"
Akajibu, "Nimekuja hapa kumuomba Mungu anipe jozi ya viatu." Mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.