nafuu

  1. S

    Swali moja tu kwa Felchesmi Mramba wa Nishati; huo umeme wa Ethiopia anaosema leo ni bei nafuu, mkataba unawazuia Ethiopia kupandisha bei milele?

    Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia hawana? Mkajibu kuwa kununua umeme ni sehemu ya kuimarisha usalama wa power supply nchini -...
  2. Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  3. R

    Mechi kusogezwa mbele ni nafuu kwa simba, vuta picha leo wangeweka rekodi ya kufungwa mara tano mfululizo,

    mechi sio ya kuiogopa ila ni rekodi mpya inayoenda kuwekwa Acha tuendelee kuwa na amani ya kufungwa mara nne mfululizo, acha tuishi nayo. Leo simba angeingia kwa Mkapa ingekuwa kujifedhehesha tu, kwa Yanga hii ni jambo la wazi kabisa simba angekandwa, Shida ingekuja kwenye rekodi mpya ya...
  4. Ipi rahisi, nafuu na salama zaidi kati ya kununua gari showrooms na kuagiza kutoka ng'ambo?

    Hebu mshauri mTanzania huyu anaekusudia kununua usafiri wake wa gari dogo sasa hivi. Ipi njia rahisi kwake kununua gari kwa urahisi, kwa unafuu wa fedha na muda na kwa usalama zaidi kati ya kuagiza kutoka ng'ambo na kwenda kuchagua tu sehemu mbalimbali yanapuuzwa magari nchini? Kwa niaba ya...
  5. Jitibu chunusi kirahisi sana ukiwa nyumbani kwa gharama nafuu kuanzia tsh. 100/-

    Chunusi na majipu ni matokeo ya maambukizi ya ndani, usawa wa homoni, au sumu ya ndani, ambayo husababisha kuvimba kwa follicles ya nywele na, kwa acne, tezi za sebaceous. Wanapaswa kutibiwa juu ya uso wa ngozi na ndani. Chunusi kwa ujumla hutokea wakati wa ujana na kusababisha vipele vyeupe...
  6. Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti

    Tanzania imekuwa na Gharama nafuu za kuunganisha Umeme kwa wananchi kupitia mwongozo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya eneo. Gharama ya kuunganisha umeme ni shilingi 320,960 kwa...
  7. Tunauza Vifaa Vya Umeme Kwa Gharama Nafuu

    .
  8. Nauza bulb Kwa bei nafuu

    Kampuni: Honor LED Watts 3 - 10,000 PC 10 Watts 5 - 12,000 PC 10 Watts 7 - 13,000 PC 10 Watts 9 - 14,000 PC 10 Free Delivery piga : 0614502969 Dar na mikoani
  9. Wana-Palestina wanapendaga kujifariji humu ni nyuzi za kuonesha kuwa wana nafuu richa ya kuchakazwa na Israel.

    Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo" Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo onesha mapungufu ya Israel ili tu mtuoneshe kuwa bado mna oxygen, lakini kiuhakika mko very...
  10. Jipatie Epson printer L3250 kwa bei nafuu

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:printing,scanning and photocopying Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  11. Karibu Chemka Hotspring. Unaweza kutembelea Chemka kwa gharama nafuu zaidi

    Leo nawaletea fursa nyingine hii ya kutembelea Hidden game iliyopo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Hai, Kijiji cha Rundugai, tunatoa ofa kwa wakazi wa Kilimanjaro na Arusha kutembelea Chemka Hot Springs kwa gharama nafuu sana zaidi Kwa TZS 35,000 unaweza kwenda kupumzusha akili katika paradiso...
  12. Malazi ya bei nafuu nchini Rwanda na Burundi!

    Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi. Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya: 1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi) 2. Gesti za bei nafuu lakini salama katika miji ya Kigali nchini Rwanda, Bunjumbura nchini Burundi, na Gitega nchini Burundi. Naamini...
  13. List y Ramani z Nyumba Zaidi y 450 Unazoweza Jenga TZ na Makadirio Gharama Yake (Nafuu, Kawaida, Bungalow, Ghorofa, Pangisha) Tanzania, Kenya, Uganda

    List hii ya nyumba 400 ambazo unaweza jenga... Vyumba 1, 2,3,4,5... Nyumba za gharama nafuu, kawaida za familia, bungalow, maghorofa, za kupangisha Mwaka Usiishie huja sogea mbele japo hatua moja kati ujenzi wako Piga/WhatsApp: +255-657-685-268 Siwezi Weka Details Zote hapa za nyumba 450 na...
  14. Mabadiliko NHIF kama huna uwezo utakufa, hakuna nafuu yoyote zaidi ya kutafuta pesa kwa nguvu kutoka kwa wananchi

    NHIF wamefuta Najali ambayo mtu mmoja alikua analipa 192,000/=, Wekeza 384,000 na Timiza 516,000/= Wametambulisha vifurushi vipya ambavyo ni Serengeti Afya 660,000 na Ngorongoro Afya 240,000 kwa mtu mmoja kwa mwaka. Wamebadili kifurushi cha watoto ambacho awali kwa mtoto ambaye bado hajaanza...
  15. Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  16. OFA KWA WAJASIRIAMALI, TUNACHAPA(PRINTING) PRODUCT LABEL KWA GHARAMA NAFUU

    Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na ubunifu(design) wa label za bidhaa za aina zote kwa gharama nafuu na ubora wa hali ya juu. LABEL NI...
  17. M

    Upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio nafuu ya simba kutoonekana madhaifu yake lakini timu yao ni dhaifu na kocha wao ni dhaifu pia!

    Huu upepo wa yanga kufanya vibaya kwa sasa ndio imekuwa nafuu kubwa kwa timu ya Simba kutotazamwa na watu wengi madhaifu yao pamoja na kocha wao! Kwa sasa wachambuzi na mashabiki wengi wa soka wamejikita kuijadili yanga kwa hali wanayopitia kitu ambacho kimewafanya viongozi wa Simba na kocha wao...
  18. G

    Gharama nafuu sio unafuu wa maisha, heri mji wenye gharama kubwa utazoweza kumudu kuliko mji wenye gharama nafuu utazosota kumudu

    Kigezo cha kusema kwamba sehemu ina maisha nafuu kwasababu vitu vyake ni gharama nafuu ni dhaifu with a few exceptions. Kila mkoa / nchi ina system yake kwenye matumizi na kipato, ni jambo la kuzingatia sana hasa kwa wale wanaojitafuta. Unaweza kuwa sehemu kama Mbeya, ni mkoa unaosifika kwa...
  19. E

    Viwanja bei nafuu dodoma

    Wewe mkazi wa Dodoma au popote ulipo, kama umekuwa ukiota kumiliki kiwanja Dodoma, sasa ndoto yako inaweza kutimia! Tunakupa fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kwa bei nafuu na chenye thamani. Wekeza leo kwa faida ya sasa na baadaye. Viwanja Vinavyopatikana: 1. Kiwanja Karibu na Hospitali ya...
  20. Jipatie Tovuti na Mfumo wa Accounting kwa Gharama Nafuu kabisa

    Habari za wakti huu; Je Biashara yako inahitaji TOVUTI? Je Biashara yako inahitaji mfumo wa Utunzaji wa kumbukumbu na uhasibu? Je Biashara ya inahitaji mfumo wa kutoa risiti za EFD? Je Biashara inahitaji kitu au huduma yoyote ya kiteknolojia? Kama Jibu ni Ndio Wasiliana nasi kwa simu au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…