Wakuu
Nafanya biashara ya kuchukua mzigo Dar. Changamoto ni gharama za usafiri unajikuta faida inaishia kwenye nauli.
Nielekezeni njia rahisi ya kusafirisha mizigo kutoka Dar kuja Mwanza kwa bei rahisi ila uhakika.
Achana na magari vishoka, wale wa kuunganisha unganisha wezi sana.
Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia.
Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
Habari,
kwa jina naitwa Anderson Mgaya ni kijana mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika Web Development na Application Development. Ikiwa unahitaji tovuti ya kisasa au programu itakayowezesha biashara yako au mradi wako kufikia viwango vya juu, niko tayari kufanya kazi na wewe kwa bei nafuu...
Wanawake ambao ni wafanyabiashara wa nguo za mitumba wamegundua aina mpya ya nguo za mitumba zenye gharama nafuu kwa watu wa kupato cha chini.
Wanawake hao wamekuwa wakienda Dampo/jalalani kutafuta nguo zilizotupwa na zilizoletwa na magari ya taka na hivyo kuchukua nguo hizo kwa kununua...
Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja.
Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato.
Unaweza kuboreshe...
Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako.
Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu:
🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee.
🔹 Huduma ya business Card design.
🔹 Huduma ya Flyer
🔹 Huduma ya poster...
Logo ni utambulisho wa biashara yako sokoni
Umuhimu wa Logo ni kama umuhimu wa kitambulisho
Logo inatumika kuonyesha umiliki wa bidhaa na huduma zako
Kufanya biashara bila logo ni sawa na kufanya biashara bila utambulisho
Karibu tukusaidie upate logo inayowakilisha biashara yako
Logo zetu...
Mpaka hivi sasa watu wengi wanatumia vifaa mbalimbali vya sayansi na teknolojia katika kufanya shughuli zao.
Ukuaji wa sayansi na teknolojia umekuwa hivi sasa kulinganisha na miaka kadhaa iliyopita. Uwekezaji katika matumizi ya vifaa vya sayansi na teknolojia utaleta matokeo chanya kwani dunia...
KOROSHO BOMBA ni wauzaji wa korosho kutoka Tandahimba, Mtwara kwa jumla na reja reja. Tunapatikana Mbagala Rangi Tatu, jijini Dar es salaam.
Bei zetu ni;
1) Korosho mbichi nyeupe ni Tsh. 15,000 kilo moja
2) Korosho za ku roast za chumvi au pilipili ni Tsh. 18,000 kilo moja
Delivery bure popote...
Habari Zenu Ndugu Zangu Wa Jukwaa Hili La Biashara Ni Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Wa Afya Na Mnaendelea Vizuri.
Bila Kupoteza Muda Ningependa Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada Iliyonifanya Hadi Nikafika Hapa.
Binafsi Mimi Ni Dalali/Middleman Ivyo Hii Ni Moja Ya Sehemu Ya Kazi Zangu Za Kila...
Habari wanajamvi,
Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
afya
afya tanzania
bila
bima
bima ya afya
bora
gani
gharama
gharama nafuu
huduma
huduma bora
jambo
kuambiwa
kufanya
maisha
nafuu
shirika
tanzania
tujitafakari
Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo
Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana
Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
Habari wakuu!!
Kwa wale wenye uhitaji wa kutengeneza website kwa ajili biashara pamoja na online radio karibu sana , tunatengeneza kwa ubora kabisa unaotaka!!
Huu ni mfano wa website pamoja na online radio yake ambayo tunakutengenezea lakini pia tunalink na radio kubwa kwa ajili ya matangazo...
Huu ni muendelezo wa Uzi wa Kuhoji Nishati gani kwa Tanzania ni Safi na Ina Uwezekano mkubwa kufanikiwa.
Kwenye huu Uzi taelezea ni jinsi Gani Nishati hii Safi na Bora kuliko Gesi inaweza kuwa na Gharama mpaka ya 0 Kwa mtumiaji, Na hapo bila / kabla ya Serikali Kushuka Bei ya Units. Kwahio...
Viatu ni vizuri na imara sana.
Bei: 12,000 tu
Napatikana Dsm Segerea mwisho.
Ukihitaji huduma ya delivery utaletewa kwa gharama zako.
Mikoani pia utatumiwa kwa gharama zako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.