nafuu

  1. J

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wamemshukuru Rais Magufuli kwa kuwarejeshea usafiri wa treni kwa nauli nafuu ya sh 16,000 tu

    Wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro wameishukuru serikali ya awamu ya 5 hususani mh Rais Magufuli kwa kuwarejeshea Huduma ya usafiri wa treni uliosimama kwa zaidi ya miaka 20. Wananchi hao wamesema sasa wana uhakika wa kwenda kula Krismas na mwaka mpya huko Moshi kwa sababu NAULI ya sh 16,000 kwa...
  2. Its Pancho

    Wapi kwenye nafuu? Kusoma chuo kikuu ama vyuo vya ufundi?

    Salaam wakubwa.. Hivi kwa Hali ya sasa, ni wapi kwenye uangalau iwapo ukisoma at least utapata maarifa Fulani kwenye maisha??? Yaani wapi utapata vitu vyenye application kwenye maisha? 1: chuo kikuu. (university) 2:Vyuo vya ufundi (technical).. Wapi unapoona panafaa kwa usawa wa sasa?? Pancho boy
  3. lucky lefty

    Oyaa Tax - usafiri wa bei nafuu na haraka Kisiwani Zanzibar

    Kwa mara ya kwanza nchini Zanzibar, Kampuni ya OYAA TECHNOLOGIES LIMITED Imetuletea wakazi wa Zanzibar huduma ya Taxi al maarufu kama OYAA TAXI. Mfumo huu ni kama mifumo mingine iliyozoeleka huko Bara na duniani kwingine kama Taxify,Ping na Uber. Ni huduma ya nafuu na haraka hasa ukizingatia...
  4. Corticopontine

    Lema na wenzako ilani ya CHADEMA mwaka 2015/2020 ukurasa wa 53, mkasome vizuri

    Vijana wa CHADEMA mna maana gani mnapoyakana maandishi yenu wenyewe au ndo uvivu wa kusoma? Ipitieni upya ilani yenu la sivyo mtakuwa kama akina Lema wanaopinga hata vivuli vyao Ilani yenu ilimaaanisha nn kufufua shirika la ndege la Tanzania au mlimaanisha ndege za kivita?
Back
Top Bottom