Habari wakuu.
Mimi ni Dalali wa mavitu yote lakini nipo na wazo ambalo hili ni Kwa wale Risk Taker kama Mimi.
Nahitaji mtu mmoja awe mwanaume au mwanamke ambaye yupo tayari Kwa huu mpango wangu.
Nipigie simu tuongee vizuri mkuu.
0754693556
Habari wanaJF,
Natumaini mnaendelea vizuri. Leo nimekuja kibiashara zaidi.
Kuna tenda mezani. Zinahitajika:
Pumba za Mahindi (Tani 74)
Mashudu ya Alizeti (Tani 22)
Hii ni tenda endelevu, nahitajika kusupply kila robo ya mwaka. Tunasupply kwa mikoa mitano nchini Tanzania, kwa mgawo tofauti...
Mwenye anauza printer ya Epson used yenye hali nzuri , na ikiwa na warranty itapendeza zaidi ...anicheki nipo moshi Kilimanjaro
Njoo na ofa yako
Mawasiliano. 0672701329
habar za mda huu wadau wote wa sekita ya madini
Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji muwekezaji katika uchimbaji wa dhahabu mkoan singida nina lesen pml kuna maduara tayar udhalishaji ni 1gram kwa tani hadi 5gram kwa tani inategemea ni duara lina urefu gani lkn maduara yanapata miamba...
Habari za humu wakuu, niko na swali hapa;
Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
Nahitaji mke wa pilli wa kuoa ndani ya miezi 5 tu kuanzia sasa hivi mwezi wa 3, mimi mkristo. Nina miaka 51. Mwanamke asiwe mchaga, mrangi au mpare. Mwanamke awe hajawahi olewa awe na umri 49- 51. Awe na mtoto 1 tu au asiwe naye. Awe anaishi kwake maana mm nipo kwangu. Ndoa haita husisha mali...
Habari zenu wakuu?
Nimekuwa nikijifunza english kwa mwaka sasa. Hasa pronouncing and listening skills.
Nimefanikiwa kwa kiwango kadhaa lakini changamoto kubwa ni kufanya mazoezi ya kutamka peke yangu. Watu ambao nimekuwa nikiwataka tuwe tunazungumza wananiona kama nimechanganyikiwa. Anyway...
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji mchai chai mbichi (Lemon grass)
Nahitaji kilo 500 max ila hata ukiwa na kilo 50 nachukua
Kama mzigo unao karibu Whatsapp 0688301635
Yeyote mwenye filamu ya bongo (Bongo movie) iitwayo THE AVENGERS iliyochezwa na wasanii wafuatao...
1. Jennifer Kyaka - Sterling.
2. Yusuph Mlela.
3. Jackline wolper.
4. n.k
Tafadhali mwenye hii filamu karibu Inbox.
Habari wakuu
Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10
Aina ya gari
Nissan dualis
Rumion
Crown
Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Nina changamoto mke wangu kaenda mkoa mwingine kaajiriwa nimebaki na beki tatu kuna muda upwiru unakaba sana halafu nikimwangalia huyu beki tatu ana jicho moja hivi dah Mungu anisaidie kwa kweli nisije vunja nae ile amri.Nauliza kuna mbinu yoyote ya kuondokana na upwiru ukiachana na ile ya...
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7. Kila kitu kinachohitajika ninacho.
Natanguliza shukran🙏
Nina miaka 33
Dini mkristo
Elimu Degree
Kazi muajiriwa
Natafuta mke asizidi miaka 30
Sijabadili Id kama wengine ni maisha yangu ya nyuma tuu karibuni.
Kigezo
Awe tuu na hofu ya Mungu.
Awe tayari kuzaa nitamuoa kabisa
Dini yeyote
Habari zenu wana jf, nimepata wazo la kuanzisha blog, nahitaji kufahamu faida na hasara kuhusu blog, kwa wale wanaojihusisha na hii kitu maana bado nahitaji kufahamu zaidi kuhusu blog. Karibu.
Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT.
Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC
Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga.
Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.